Divine Destiny Restoration

Divine Destiny Restoration We deliver love, care, support and truth via vulnerable and needy mission and advocating on eternity. We carry a unique and peculiar vision to advocate..

Everyone is God's work an have divine work to achieve on earth. Rebuilding lives for the Almighty

05/03/2026
MWAMINI MUNGU HAKIKA/Trust in God.Ni Mungu aliyewatokea Israel kwa mkono wake kutoka nchi ya utumwa kwa wokovu mkuu.Ni M...
05/03/2026

MWAMINI MUNGU HAKIKA/Trust in God.
Ni Mungu aliyewatokea Israel kwa mkono wake kutoka nchi ya utumwa kwa wokovu mkuu.
Ni Mungu aliyetoa maji na chakula jangwani.
Ni Mungu aliyempa Ibrahim Ahadi na akaitimiza.
Ni Mungu kwa neno la nabii Eliya mvua aliifunga miaka mitatu na baadaye kuifungua.
Ni Mungu aliyemtetea n'a kumwokoa Daud n'a Mkono wa adui zake waliokuwa wengi na wenye nguvu.
Ni Mungu aliyeondoa aibu ya Hannah na kumfanya mama wa watoto.
Ni Mungu aliyemfanya Esther kuwa Malkia katika nchi ya ugeni ingawa akiwa myahudi.
Ni Mungu aliyeponya, kuokoa, kutetea, kushindia, kulinda na kuhifadhi watu wake mbele za adui na watesi wake.
Naam hata wokovu na ukombozi wetu utatoka kwake kwa kuwa Yeye ni mwema na mwaminifu daima.
It's Well
TS Pascal Kizwalo
Divine Destiny Restoration Team
Rebuilding Lives
+255688 703111

FEBRUARY KEEP GROWING IN FAITHZABURI/PSALMS 20:2-4,7Kujua, kufahamu na kuamini katika ahadi za Mungu juu ya maisha yetu ...
03/02/2026

FEBRUARY KEEP GROWING IN FAITH
ZABURI/PSALMS 20:2-4,7
Kujua, kufahamu na kuamini katika ahadi za Mungu juu ya maisha yetu kuzidi kuongezeka kila iitwayo leo. Ili tupate utimilifu na udhihirisho wa ahadi zake.
(May our knowledge, understand on God's promises deep, grow so we may know, experience his divine blessings and promises)

[2]Akupelekee msaada toka patakatifu pake,
Na kukutegemeza toka Sayuni.
Send thee help from the sanctuary, and strengthen thee out of Zion;
[3]Azikumbuke sadaka zako zote,
Na kuzitakabali dhabihu zako.
Remember all thy offerings, and accept thy burnt sacrifice; Selah.
[4]Akujalie kwa kadiri ya haja ya moyo wako,
Na kuyatimiza mashauri yako yote.
Grant thee according to thine own heart, and fulfil all thy counsel.
[7]Hawa wanataja magari na hawa farasi,
Bali sisi tutalitaja jina la BWANA, Mungu wetu.
Some trust in chariots, and some in horses: but we will remember the name of the LORD our God.)
It's Well
TS Pascal Kizwalo
Divine Destiny Restoration Team
Rebuilding Lives

Kusudi la Mungu kwetu ni kuishi maisha ya usharika naye yenye kuleta faida na udhihirisho wa tabia, kusudi na uweza wa M...
27/01/2026

Kusudi la Mungu kwetu ni kuishi maisha ya usharika naye yenye kuleta faida na udhihirisho wa tabia, kusudi na uweza wa Mungu.
Kujali au kuona thamani ya watu ni mojawapo ya tabia au asili ya Mungu aliyeumba vitu vyote na kutupa uhai.
Kuwa baraka kwa watu wengine, kuonesha upendo wa Yesu Kristo, wema, huruma na tumaini kwao walio inama mioyo.
Karibu uwe sehemu ya utimilifu wa maono haya sasa kwa kuwa ni mapenzi ya Mungu kuwa tutende kazi iliyo njema.
Maisha huwa na thamani kubwa kipindi ambacho kuna watu wanaguswa na kupata mabadiliko chanya kupitia watu walio na sura na mfano wa Mungu.
It's Well
Divine Destiny Restoration Team Admin
Rebuilding Lives

FOCUSINGAyubu/Job42:1,Luka/Luke18:27Wakati mwingine huwa tunadhani kuwa Mungu anaweza mambo fulani na yapo mengine huend...
12/01/2026

FOCUSING
Ayubu/Job42:1,Luka/Luke18:27
Wakati mwingine huwa tunadhani kuwa Mungu anaweza mambo fulani na yapo mengine huenda hadi ajitafute ili apate kufanya au kutenda.
La muhimu kutambua ni kwamba Mungu anaweza mambo yote na lolote ambalo hatuwezi kwake sio gumu kabisa.
Kadiri tunapoishi tuamini Katika Uweza na msaada wake katika mambo yote maana lisilowezekana kwetu kwake linawezekana.
Ni Mungu anayewasaidia wanadamu wote na kuwapa wokovu wamwendeao.
Ishi kumtazama Mungu na kumtwika yeye fadhaa na lolote lijalo katika njia yako.

It's easy to assume that God's power and ability is limited when we are going through or encountering situational
Everyday we must remind ourselves that God is all powerful and able to do all things above our thought and understanding.
We have to lean on The Lord power and mighty, trusting Him with no doubt at all. Knowing that what is impossible to us it's easily handled and possible to Him.
It's Well
TS Pascal Kizwalo
Divine Destiny Restoration Team
Rebuilding Lives
+255620677111

Finish Well.We bless God for divine grace and mercy He has shown us at  on 29th December 2025.Where by we have a privile...
02/01/2026

Finish Well.
We bless God for divine grace and mercy He has shown us at on 29th December 2025.
Where by we have a privilege to held our December Outreach Programme which includes Helping the Needy and Homeless and Vulnerable children in Mwanzq.
23 homeless children were reaching with message of hope, truth, restoration, leaving the homeless living going back to their roots. Also we have a privilege to attend to our precious children from low family. Where by food was provided, schools needs distributed and MOSTLY we have a visitation of CASFETA TAYOMI Nyamagana members with Noel and New Year gifts to the ministry.
We want to convey our joy, gratitude and thanks to Ministry Team and our guest. God who is the rewarder of all men rewards your cheerful giving and love offering.
Happy New Year.
It's well
Divine Destiny Restoration AD
Rebuilding Lives

Happy new year to you all.May God fill this new year with blessings, joy, passion for truth, heart for humanity, mind fo...
02/01/2026

Happy new year to you all.
May God fill this new year with blessings, joy, passion for truth, heart for humanity, mind for peace and kindness, spirit for purity.
Life is worthy living for when we stand to our life purpose and calling. God help us to be a blessing to our today and future generation.
Blessing.
It's well.
TS Pascal Kizwalo
Divine Destiny Restoration Team
Rebuilding Lives

15/10/2025

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Joseph Shepa, Onsmo Kimati, Irene Nobert

ISAYA/ISAIAH40:31... bali wao wamngojeao BWANA watapata nguvu mpya; watapanda juu kwa mbawa k**a tai; watapiga mbio, wal...
02/09/2025

ISAYA/ISAIAH40:31... bali wao wamngojeao BWANA watapata nguvu mpya; watapanda juu kwa mbawa k**a tai; watapiga mbio, wala hawatachoka; watakwenda kwa miguu, wala hawatazimia.
But they that wait upon the LORD shall renew their strength; they shall mount up with wings as eagles; they shall run, and not be weary; and they shall walk, and not faint.
Wait on The Lord, Trust on Him and Surrender all to Him. His grace and mercy endures forever. Amen.
Hi Planet Earth

Every parent have a responsibility to raise the God fearing next generation
22/07/2025

Every parent have a responsibility to raise the God fearing next generation

Address

Isela
Mwanza

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 15:00
Sunday 16:00 - 20:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Divine Destiny Restoration posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Divine Destiny Restoration:

Share