South Nyanza Conference of SDA

South Nyanza Conference of SDA Official page of the South Nyanza Conference of Seventh Day Adventist Church

Moto unewaka Kambi la   na wenzi wao hapa South Nyanza Conference katika kanisa la waadventista wa Sabato Buswelu
01/06/2026

Moto unewaka Kambi la na wenzi wao hapa South Nyanza Conference katika kanisa la waadventista wa Sabato Buswelu

Sababu nyingine ya kumtukuza Bwana
31/05/2026

Sababu nyingine ya kumtukuza Bwana

 MKUTANO WA WENZI WA WACHUNGAJI SNC KATIKA ENEO LA ITONGOITALE WAVUTA WENGI KWA KRISTO.Ujumbe wa Matumaini uliokua ukien...
30/05/2026



MKUTANO WA WENZI WA WACHUNGAJI SNC KATIKA ENEO LA ITONGOITALE WAVUTA WENGI KWA KRISTO.

Ujumbe wa Matumaini uliokua ukiendelea kusikika kupitia Mahubiri yaliyoandaliwa na Wenzi wa Wachungaji katika Kijiji cha Itongoitale Wilayani Kishapu, umehitimishwa kwa kishindo kikuu huku waumini wapya zaidi ya 200 wakimpokea Kristo kwa njia ya Ubatizo wa Maji mengi.

Tunamshukuru Bwana kwa Mbaraka huu utakaowakusanya Wachungaji wote wa SNC pamoja na Wenzi wao kwa Juma la kulishwa na ku...
30/05/2026

Tunamshukuru Bwana kwa Mbaraka huu utakaowakusanya Wachungaji wote wa SNC pamoja na Wenzi wao kwa Juma la kulishwa na kupumzishwa Miguuni pa Bwana katika Kanisa la Waadventista wa Sabato Buswelu Central.

Unaalikwa kuendelea kuomba kwa ajili ya Kambi hili na makambi mengine yatakayoanza mapema mwezi ujao.

Sabato hii tunaungana na vituo kote ulimwenguni kumtukuza Bwana kwa mibaraka yake kwetu.
30/05/2026

Sabato hii tunaungana na vituo kote ulimwenguni kumtukuza Bwana kwa mibaraka yake kwetu.

Tunawaombea baraka za Bwana, wanapoanza majukumu yao mapya.
30/05/2026

Tunawaombea baraka za Bwana, wanapoanza majukumu yao mapya.

24/05/2026

Hongera Mtaa wa Sumve kwendelea kutekeleza Ujenzi wa nyumba ya mchungaji,

24/05/2026

ZIARA YA VIONGOZI SUMVE
Mei 23,2026

24/05/2026

Hongera Kirumba kwa kutekeleza agenda ya utume maeneo mapya

24/05/2026

Watu 20 wabatizwa
Mei 23,2026
Sumve

Address

401
Mwanza

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00

Telephone

+255620305729

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when South Nyanza Conference of SDA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share