USCF SAUT Mwanza Online

USCF SAUT Mwanza Online Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from USCF SAUT Mwanza Online, Religious organisation, Mwanza.

24/07/2026
Ukisoma vizuri kitabu kile cha Mathayo 11:28-29 maneno ya MUNGU yanasema hivi [28]Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na...
11/07/2026

Ukisoma vizuri kitabu kile cha
Mathayo 11:28-29 maneno ya MUNGU yanasema hivi
[28]Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha.
[29]Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi mtapata raha nafsini mwenu;
Ikawe kiu kwako katika ibada ya kesho karibu tumkumbushe MUNGU juu ya ahadi alizotuwekea hapo mwanzo(hatima nzuri ya elimu, biashara ndoa nk.) kumbuka wanafunzi yakobo hakukubali malaika aondoke na bila kumbariki ikawe kiu yako sasa usikubali kuondoka nyumbani mwa bwana bila ushuhuda wako kwa jina la yesu.

Usisahau Leo ni siku ya bible study ndani ya USCF SAUT MWANZA chapel nyamalango unakaribishwa sana.
08/07/2026

Usisahau Leo ni siku ya bible study ndani ya USCF SAUT MWANZA chapel nyamalango unakaribishwa sana.

Follow the USCF SAUT MWANZA channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VbCm97z7oQhlvVqqt32rmambo yalee. [2]La...
08/07/2026

Follow the USCF SAUT MWANZA channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VbCm97z7oQhlvVqqt32r
mambo yalee.
[2]Lakini kwa sababu ya zinaa kila mwanamume na awe na mke wake mwenyewe, na kila mwanamke na awe na mume wake mwenyewe.
[3]Mume na ampe mkewe haki yake, na vivyo hivyo mke na ampe mumewe haki yake.
[4]Mke hana amri juu ya mwili wake, bali mumewe; vivyo hivyo mume hana amri juu ya mwili wake, bali mkewe.
[5]Msinyimane isipokuwa mmepatana kwa muda, ili mpate faragha kwa kusali; mkajiane tena, Shetani asije akawajaribu kwa kutokuwa na kiasi kwenu.
[6]Lakini nasema hayo, kwa kutoa idhini yangu, si kwa amri.
[7]Ila nipendalo ni kwamba watu wote wawe k**a mimi nilivyo; walakini kila mtu ana karama yake mwenyewe itokayo kwa Mungu, huyu hivi, na huyu hivi.
[8]Lakini nawaambia wale wasiooa bado, na wajane, Ni heri wakae k**a mimi nilivyo.
[9]Lakini ikiwa hawawezi kujizuia, na waoe; maana ni afadhali kuoa kuliko kuwaka tamaa...

Address

Mwanza

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when USCF SAUT Mwanza Online posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to USCF SAUT Mwanza Online:

Shortcuts

Share