TAG-Lighthouse Community Church, Nyamhongolo, Mwanza.

TAG-Lighthouse Community Church, Nyamhongolo, Mwanza. A Pentecostal church with the vision of impacting the world with the true gospel of Jesus Christ.

TAG-LCC, Nyamhongolo, Mwanza.Karibu uabudu pamoja nasi🔥0754773512Zab 92:13-14 SUV[13]  Waliopandwa katika nyumba ya BWAN...
29/09/2025

TAG-LCC, Nyamhongolo, Mwanza.
Karibu uabudu pamoja nasi🔥
0754773512

Zab 92:13-14 SUV
[13] Waliopandwa katika nyumba ya BWANA Watasitawi katika nyua za Mungu wetu. [14] Watazaa matunda hadi wakati wa uzee, Watajaa utomvu, watakuwa na ubichi.

NYAMHONGOLO KWA YESU🔥🔥🔥TAG-Lighthouse City Church, Mtaa wa Bupumula,Karibu na kwa Mmarekani.Nyamhongolo inafikiwa kwa In...
19/09/2025

NYAMHONGOLO KWA YESU🔥🔥🔥
TAG-Lighthouse City Church,
Mtaa wa Bupumula,
Karibu na kwa Mmarekani.

Nyamhongolo inafikiwa kwa Injili ya kweli ya Yesu Kristo.

Kwaya ya Jehova Nissi kutoka Tunduma wako katika zamu kwa ajili ya kazi hii kubwa ya Ufalme.

TUNAANZA LEO🔥🔥🔥Habari Njema hazitaacha kuhubiriwa Nyamhongolo hadi Yesu atakaporudi.Tunazo siku tano tena zamu hii kwa a...
17/09/2025

TUNAANZA LEO🔥🔥🔥

Habari Njema hazitaacha kuhubiriwa Nyamhongolo hadi Yesu atakaporudi.

Tunazo siku tano tena zamu hii kwa ajili ya Mkutano wa Injili. Mungu ametupa neema kupata wageni kutoka TUNDUMA, SONGWE-KWAYA YA JEHOVA NISSI.

Kandonga M K Frank

TAG-Lighthouse City Church, Nyamhongolo, Mwanza.We are Family...Sisi ni Familia...Tulibarikiwa sana na huduma ya watoto ...
30/06/2025

TAG-Lighthouse City Church,
Nyamhongolo, Mwanza.

We are Family...
Sisi ni Familia...

Tulibarikiwa sana na huduma ya watoto jana. Walituhudumia kwa huduma mbalimbali zilizokuwa za baraka sana.

📲0754773512

TAG-Lighthouse City Church, Nyamhongolo, Mwanza.We are Family...Sisi ni Familia...Tuko mtaa wa Bupumula, karibu na kwa M...
30/06/2025

TAG-Lighthouse City Church,
Nyamhongolo, Mwanza.

We are Family...
Sisi ni Familia...

Tuko mtaa wa Bupumula, karibu na kwa Mmarekani.

📲0754773512

Dar es salaam🔥🔥🔥
31/05/2025

Dar es salaam🔥🔥🔥

TUNAMSHUKURU MUNGU KWA AJILI YA MAISHA YA BABA YETU WA IMANI MCH. DR. IMMANUEL LAZARO. JAPO AMELALA KATIKA BWANA, ATAEND...
18/05/2025

TUNAMSHUKURU MUNGU KWA AJILI YA MAISHA YA BABA YETU WA IMANI MCH. DR. IMMANUEL LAZARO. JAPO AMELALA KATIKA BWANA, ATAENDELEA KUISHI KATIKA HISTORIA YA KANISA LA TAG NA KANISA LA TANZANIA KWA UJUMLA.

FURAHA NA AMANI UWEPONI  MWA MUNGU✅Karibu sana hapa TAG-Lighthouse City Church, Nyamhongolo, Mwanza.✅Tuko Mtaa wa Bupumu...
30/04/2025

FURAHA NA AMANI UWEPONI MWA MUNGU

✅Karibu sana hapa TAG-Lighthouse City Church, Nyamhongolo, Mwanza.

✅Tuko Mtaa wa Bupumula karibu na kwa Mmarekani.

📱0754773512

Idara ya Muziki na Uimbaji inakukaribisha kwenye KONGAMANO LA KUINUA VIWANGO VYA IBADA.✅TAG-KILOLELI✅SAA 8:00 MCHANA-12:...
30/03/2025

Idara ya Muziki na Uimbaji inakukaribisha kwenye KONGAMANO LA KUINUA VIWANGO VYA IBADA.

✅TAG-KILOLELI
✅SAA 8:00 MCHANA-12:00 JIONI
✅ NI KWA AJILI YA WOTE








TAG-LCC, MWANZA SUNDAY SERVICETumekusudia kuinua kizazi cha kiungu kinachomwabudu Mungu katika roho na kweli na kumtumik...
17/03/2025

TAG-LCC, MWANZA

SUNDAY SERVICE

Tumekusudia kuinua kizazi cha kiungu kinachomwabudu Mungu katika roho na kweli na kumtumikia kwa moyo wa kupenda.

DIVINE GENERATION
(Watoto wetu watamcha Bwana).

Tuko Nyamhongolo, Mtaa wa Bupumula karibu na kwa Mmarekani.

📱0754773512

TAG-LCC, NYAMHONGOLO, MWANZA.PASTOR'S APPRECIATION DAY (Siku ya Kuwapongeza Wachungaji) imekuwa ya baraka sana. ✅Mungu a...
29/12/2024

TAG-LCC, NYAMHONGOLO, MWANZA.

PASTOR'S APPRECIATION DAY
(Siku ya Kuwapongeza Wachungaji) imekuwa ya baraka sana.

✅Mungu ametutia moyo kwa Neno lake
✅Tumekuwa na ushirika wa baraka sana

SOME GREAT MOMENTS JANA KWENYE HITIMISHO LA WIKI LA CA'S HAPA TAG-LCC, NYAMHONGOLO✅Tuliimba na kucheza✅Tulihudumiwa sana...
07/10/2024

SOME GREAT MOMENTS JANA KWENYE HITIMISHO LA WIKI LA CA'S HAPA TAG-LCC, NYAMHONGOLO

✅Tuliimba na kucheza
✅Tulihudumiwa sana kwa Neno la Mungu
✅Tulisikia shuhuda za matendo makuu ya Mungu. Baadhi ya vijana na washirika wengine walitoa shuhuda zilizonishangaza na kunitoa machozi. Nilitiwa moyo sana kwamba kazi ya utumishi tunayofanya si bure. Ni uwekezaji ambao hauna hasara.

Karibu TAG-LCC, Nyamhongolo, Mwanza.
Tuko Mtaa wa Bupumula.
📲0754773512

Address

Mwanza

Opening Hours

Wednesday 16:00 - 16:00
Friday 16:00 - 18:00
Saturday 14:00 - 18:00
Sunday 09:00 - 12:30

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TAG-Lighthouse Community Church, Nyamhongolo, Mwanza. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to TAG-Lighthouse Community Church, Nyamhongolo, Mwanza.:

Share