King Prophet Maziwa

King Prophet Maziwa God's word, prophecy, release and set free in the name of Jesus, Whatsapp,/ 0710703050/0742530117.

30/05/2026
Watu wengi Kwa kutokujua  au kutokusoma  husema kuwa , hakuna manabii wanawake. lakini ukisoma vizuri biblia utagundua m...
30/04/2026

Watu wengi Kwa kutokujua au kutokusoma husema kuwa , hakuna manabii wanawake. lakini ukisoma vizuri biblia utagundua manabii wanake wengi walikuwepo. Tunasoma!;

Kutoka 15:20
[20]Na Miriamu, nabii mke, ndugu yake Haruni, akatwaa tari mkononi mwake; wanawake wakatoka wote wakaenda nyuma yake, wenye matari na kucheza.
And Miriam the prophetess, the sister of Aaron, took a timbrel in her hand; and all the women went out after her with timbrels and with dances.

Address

Mwanza

Telephone

+255742530117

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when King Prophet Maziwa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category