Gerizimu International Ministry

Gerizimu International Ministry Religion ministry

Shukrani kwa wachungaji,Masunga TAG,Lusato  na Buyunge AIC,Padre Bilingi na Dionis(Mzungu)RC
21/12/2021

Shukrani kwa wachungaji,Masunga TAG,Lusato na Buyunge AIC,Padre Bilingi na Dionis(Mzungu)RC

Tamasha kwa udhamini wa kwa neema fm 98.1 Mwanza 🙏
21/12/2021

Tamasha kwa udhamini wa kwa neema fm 98.1 Mwanza 🙏

Ukombozi fm 📻 kuihubiri injiri ya kristo 🙏
21/12/2021

Ukombozi fm 📻 kuihubiri injiri ya kristo 🙏

Living water fm 📻 utukufu hadi utukufu🙏
21/12/2021

Living water fm 📻 utukufu hadi utukufu🙏

Miaka mitatu iliyopita tulifanya tamasha la vipaji kwa watoto na tulitoa Zawadi kwa washindi wa kuimba,kuhubiri,kukarima...
21/12/2021

Miaka mitatu iliyopita tulifanya tamasha la vipaji kwa watoto na tulitoa Zawadi kwa washindi wa kuimba,kuhubiri,kukarimani nk🙏

Semina ya mwanamke na uzao wake!kupitia huduma ya mwanamke na maombi iliyo chini ya Gerizimu,Mtumishi wa MUNGU Mch Ibrah...
21/12/2021

Semina ya mwanamke na uzao wake!kupitia huduma ya mwanamke na maombi iliyo chini ya Gerizimu,Mtumishi wa MUNGU Mch Ibrahim Amasi toka kahama Alihudumu.watu waliuona ukuu wa MUNGU 🙏

16/08/2021

Tunashinda kwa imani!!

Kinamama wa sengerema karibuni sana!!
03/12/2020

Kinamama wa sengerema karibuni sana!!

Ewe mama wa sengerema Karibu uombee watoto wako!!na familia yako!!🙏
30/07/2020

Ewe mama wa sengerema Karibu uombee watoto wako!!na familia yako!!🙏

16/04/2020

Kuna mambo mazuri yatakuja,kaa mkao wa kisubili.🙏

Tamasha la vipaji kwa watoto kuanzia miaka 5 Hadi 18,"MTOTO KATIKA MIKONO SALAMA"hakuna kiingilio.kila mtoto atakayefika...
21/12/2018

Tamasha la vipaji kwa watoto kuanzia miaka 5 Hadi 18,"MTOTO KATIKA MIKONO SALAMA"hakuna kiingilio.kila mtoto atakayefika atapewa zawadi.

Address

Sengerema
Mwamza
P.O.BOX32

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Gerizimu International Ministry posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share