New Life Gospel Community Church - TZ

New Life Gospel Community Church - TZ We glorify God by worshiping Him, spreading the Gospel and making Disciples of Christ, building a strong fellowship that is united in love and peace.

Sumbawangaaaaaaaaaaaaaaaaaa huyooooooo
29/03/2014

Sumbawangaaaaaaaaaaaaaaaaaa huyooooooo

Huu ni mwaka wa furaha kwangu k**a baba wa kiroho, japo sina picha za 1. Samwel na Suzan Jairo, 2. Mourice na Florance O...
29/03/2014

Huu ni mwaka wa furaha kwangu k**a baba wa kiroho, japo sina picha za 1. Samwel na Suzan Jairo,
2. Mourice na Florance Owino,
3. Yohana na Lucy Masatu,

Lakini naona kumbu kumbu za nyuso za wanangu wengine walioiingia ndoa kwa kuyaheshimu madhabahu, yaani

4. Daniel na Catherin Orio, Catherine akiwa pichani
5. Juma na Nuru Wilson, Nuru akiwa pichani,
6. Evaline na Elias, Evaline akiwa pichani

Je, nani sasa? Rozy, au Loy, au Miriamu, au Christina. Hii pikipiki, wapi? Sumbawangaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Address

Musoma
Musome
249

Telephone

+255 755 808 039

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when New Life Gospel Community Church - TZ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to New Life Gospel Community Church - TZ:

Share