Musoma International Christian Center - T.A.G

Musoma International Christian Center - T.A.G To spread the word of God worldwide Even as God’s children, I think we sometimes forget the great power that goes forth when He speaks.

God is speaking now, and for all eternity He will be speaking. God will never cease to speak to His people; He’s telling you to open your ears so that you can hear.

Karibuni Nyoote tumwabudu Mungu wetu aliyeziumba Mbingu na nchi
20/09/2025

Karibuni Nyoote tumwabudu Mungu wetu aliyeziumba Mbingu na nchi

Hata sasa wewe ni Ebeneza! Karibu uabudu nasi jumapili ya wiki hii mtumishi wa Mungu
01/07/2025

Hata sasa wewe ni Ebeneza! Karibu uabudu nasi jumapili ya wiki hii mtumishi wa Mungu

MADHABAHU HII YA MUSOMA INTERNATIONAL CHRISTIAN CENTER(MICC) KWA BISHOP SAMWEL NDAYAHOZE AMBAYE AMESHALALA KWA BWANA😭.HA...
16/12/2024

MADHABAHU HII YA MUSOMA INTERNATIONAL CHRISTIAN CENTER(MICC) KWA BISHOP SAMWEL NDAYAHOZE AMBAYE AMESHALALA KWA BWANA😭.HAPA NDIPO TULITIWA MOYO WATU WENGI,TULIJENGWA KIROHO NA KIMWILI, TUKAKUMBATIWA,TULITENDEWA MEENGI MEMA KWENYE MADHABAHU HII.USIITUKANE MADHABAHU ILIYOKUOMBEA NA KUKUTIA MOYO WAKATI ULIPOKUA UMEKATA MATAA , BALI IKUMBUKE NA KUIOMBEA ,USISAHAU WALIOKUSAIDIA WAKATI WA MAGUMU YAKO NA WALA USIWATUKANE ETI KWA SABABU UMEFANIKIWA, UTAPIGWA NA MUNGU ,USIWADHARAU WALIO JINYIMA KULA NA KUNYWA KUKUOMBEA HADI UMEFIKA HAPO!KWA SASA YUPO BISHOP GEORGE JAMES ANAIENDELEZA KAZI YA MUNGU MAHALI HAPA.TUNAZIDI KULIOMBEA KANISA ILI MUNGU AZIDI KULIINUA NA KULITUNZA KWA AJILI YA UTUKUFU WAKE!

MAAZIMISHO YA MIAKA 85 YA TANZANIA ASSEMBLIES OF GOD! JIMBO LA MARA MAGHARIBI HAPA MUSOMA INTERNATIONAL CHRISTIAN CENTER
23/06/2024

MAAZIMISHO YA MIAKA 85 YA TANZANIA ASSEMBLIES OF GOD! JIMBO LA MARA MAGHARIBI HAPA MUSOMA INTERNATIONAL CHRISTIAN CENTER

HATUTAIONEA HAYA INJILI YA YESU ILETAYO WOKOVU HAPA DUNIANI
14/01/2024

HATUTAIONEA HAYA INJILI YA YESU ILETAYO WOKOVU HAPA DUNIANI

Ibaada ya ushuhudiaji kutoka CA'S MICC ! Karibu Kijana tuihubiri injiri ya Yesu aliyefufuka kutoka kwa Wafu ili ayaguse ...
10/05/2023

Ibaada ya ushuhudiaji kutoka CA'S MICC ! Karibu Kijana tuihubiri injiri ya Yesu aliyefufuka kutoka kwa Wafu ili ayaguse maisha yako kitofauti

IBAADA YA CMF HAPA KANISANI KWETU MICC! Usikose ibaada zetu siku ya Jumatano,Ijumaa na Jumapili
10/05/2023

IBAADA YA CMF HAPA KANISANI KWETU MICC! Usikose ibaada zetu siku ya Jumatano,Ijumaa na Jumapili

Karibu Tutazame Ibada Hii Na Ikuhudumie Amini kuwa MUNGU NI KILA KITU
28/04/2023

Karibu Tutazame Ibada Hii Na Ikuhudumie Amini kuwa MUNGU NI KILA KITU

Kairbu Mpendwa kutazama ibada hii, iliyofanyika Musoma iliyoandaliwa na mimi Pale TAG Musoma International Christian Centre. KARIBU KUITAZAMA NA NAAMINI UTAB...

27/01/2022
22/01/2022

Tunakukaribisha KWENYE ibada ya jumapili TAG-MUSOMA INTERNATIONAL CHRISTIAN CENTER.
Ibada ya kingereza saa 1:00 hadi 3:00 Asubuhi
Ibada ya pili saa 4:00 Asubuhi hadi saa 6:00 Mchana.
Njoo ukutane na uwepo wa Mungu.

Tupo Musoma mjini mtaa wa Mkinyerero barabara ya kwenda majita jirani na Solar jua.
Karibu Sana.

Address

1506
Musoma

Telephone

+255754865880

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Musoma International Christian Center - T.A.G posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Musoma International Christian Center - T.A.G:

Share