Church of Christ in Africa -CCA-Diocese of Musoma

Church of Christ in Africa -CCA-Diocese of Musoma Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Church of Christ in Africa -CCA-Diocese of Musoma, Religious organisation, Musoma.

15/04/2020

Mungu alisema, "ikiwa watu wangu walioitwa kwa jina langu wataomba na kunyenyekea na kuacha njia zao mbaya, nitasikia kutoka mbinguni na kuiponya nchi yao "
Katika hili janga la corona, Mungu hayuko mbali nasi, bail k**a wana wa ufalme tulioitwa kwa jina la Mungu, tumsihi sana Jehova nae kwa upendo wake ataiponya nchi yetu dhidi ya roho ya mauti itokanayo na janga la corona.
Dayosisi ya Musoma Tanzania inaungana na waumini wote wa CCA johera katika interlacustrine region ya Afrika ya mashariki na kati kuiombea dunia wakati huu.
Huu ni wakati wa kanisa kuwapa watu ujasiri wa imani na kuwaondolea virusi vya hofu ili wasiishi kwa kuwaza ugonjwa na mauti yake bali kumtumainia Mwenyezi Mungu ili wasitetereke bali wafanywe kuwa imara k**a mlima wa sayuni.

YESU msalaba mara kar tipo na mar yweyo... yiena kuomi mondo asikie kata ji weya kenda
Analuwi ndalo duto jawarna aae richo na.... kata gimarach oyuda ONGE GIMA POGA KODI

15/03/2020

Kanisa la Kristo ktk Afrika dayosisi ya Musoma Tanzania inatoa wito kwa waumini wote katika makanisa yaliyopo ktk dayosisi ya Musoma kufanya maandalizi makubwa na ya ufanisi kwa ajili ya ugeni (ujio) wa Askofu mkuu Patrick Ligawa. Askofu mkuu atatembelea dayosisi ya Musoma mwezi mei mwaka huu (2020)
Ujio wa Askofu mkuu utafungua milango ya fursa na mwanzo mpya katika kujenga dayosisi iliyo imara kimuundombinu,kiutendaji,kiuchumi na kuchochea ustawi wa kiroho ktk makanisa yetu.
Mungu atupe nguvu na ufanisi katika maandalizi ya ugeni huu.

Address

Musoma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Church of Christ in Africa -CCA-Diocese of Musoma posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share