05/04/2026
Sisi + Mara, tunawatakia waumini wote Pasaka njema. " Ni nani atakayetuvingirishia lile jiwe mlangoni pa kaburi? (Marko.16:3). Jiwe ni mfano wa vikwazo katika maisha ya mtu binafsi, familia, kundi dogo au kubwa, kanisa, au katika nchi. Mungu ndio msaada wetu wa karibu atatuvingirishia jiwe.
Bishop Dkt.George M Okoth
SALA NA KAZI