Kanisa La Elim Pentekoste Masuguru-Muheza Bonde La Baraka

Kanisa La Elim Pentekoste Masuguru-Muheza  Bonde La Baraka Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Kanisa La Elim Pentekoste Masuguru-Muheza Bonde La Baraka, Religious organisation, Muheza.

Kwa neema ya Mungu, tutavuka salama. Abudu nasi katika ibada ya mkesha wa kuukaribisha mwaka mpya 2025.
30/12/2024

Kwa neema ya Mungu, tutavuka salama. Abudu nasi katika ibada ya mkesha wa kuukaribisha mwaka mpya 2025.

Ndugu , jamaa na marafiki mnakaribishwa katika ibada ya siku ya VIJANA ya kumbariki mchungaji Ibrahim G Vassale na Mama ...
17/10/2024

Ndugu , jamaa na marafiki mnakaribishwa katika ibada ya siku ya VIJANA ya kumbariki mchungaji Ibrahim G Vassale na Mama Mchungaji itayofanyika tarehe 27/10/2024;mda wa ibada ni kuanzia saa moja na nusu asubui, kwaya pamoja na waimbaji binafsi mnakaribishwa ;burudani mbalimbali zitakuwepo , vilevile ibada hiyo itaambatana na tamasha kubwa la kusifu na kuabudu litakalo anza majira ya saa Tisa mchana hadi saa 12 na nusu jion, Nyote mnakaribishwa
TIMOTHEO 4:12... Mtu asiudharau ujana wako.

Vijana wa kanisa la Elimu  pentecoste Masuguru(bonde la baraka) chini ya Mch Kiongozi Ibrahim G Vassale  wanakuletea tam...
14/10/2024

Vijana wa kanisa la Elimu pentecoste Masuguru(bonde la baraka) chini ya Mch Kiongozi Ibrahim G Vassale wanakuletea tamasha kubwa la kusifu na kuabudu hakuna kiingilio, kwaya pamoja na waimbaji binafsi mnakaribishwa

Karibu uabudu nasi
20/09/2024

Karibu uabudu nasi

12/01/2022

KANISA LA ELIM PENTECOSTE MUHEZA MASUGURU-BONDE LA BARAKA.
Linaendelea kukukaribisha kwa pendo la calvary kumwabudu mungu pamoja nasi.

KUTOKA KWA MCHUNGAJI KIONGOZI.
Mchungaji Kiongozi anasema kila mmoja awe na shauku kubwa ya kujaa roho mtakatifu na kuongozwa naye kufikia viwango vya kanisa la kwanza la kitabu cha matendo ya mitume. Bila kufikia viwango hivyo tutaonekana si kitu mbele za mungu na mbele za wanadamu Hivyo basi tujitenge na kila aina ya dhambi .tushiriki mafundisho na kudumu katika maombi.
KARIBU MGENI KANISA ELIM PENTECOSTE MUHEZA MASUGURU.

TUNAPENDA WAGENI
0713696589 - PIGA SASA

Yesu ni yeye yule jana leo na hata milele
12/01/2022

Yesu ni yeye yule jana leo na hata milele

Religious organisation

Address

Muheza

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kanisa La Elim Pentekoste Masuguru-Muheza Bonde La Baraka posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share