Neema Dangote Lutheran Church

Neema Dangote Lutheran Church Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Neema Dangote Lutheran Church, Religious organisation, NEEMA LUTHERAN CHURCH, Mtwara.

17/02/2025
25/03/2023

1 YOHANA 2:19

Walitoka kwetu, lakini hawakuwa wa kwetu. Maana k**a wangalikuwa wa kwetu, wangalikaa pamoja nasi. Lakini walitoka ili wafunuliwe kwamba si wote walio wa kwetu.

           2 falme 4:-5Basi, mwanamke mmoja miongoni mwa wake za wana wa manabii alimlilia Elisha, akasema, Mtumishi wak...
05/07/2022



2 falme 4:-5
Basi, mwanamke mmoja miongoni mwa wake za wana wa manabii alimlilia Elisha, akasema, Mtumishi wako mume wangu amekufa; nawe unajua ya kuwa mtumishi wako alikuwa mcha BWANA; na aliyemdai amekuja ili ajitwalie wana wangu wawili kuwa watumwa. Elisha akamwambia, Nikufanyie nini? Niambie; una kitu gani nyumbani? Akasema, Mimi mjakazi wako sina kitu nyumbani, ila chupa ya mafuta. Akasema, Nenda, ukaazime vyombo huko nje kwa jirani zako wote, vyombo vitupu; wala usiazime vichache. 4Kisha uingie ndani, ukajifungie mlango wewe na wanao, ukavimiminie mafuta vyombo vile vyote; navyo vilivyojaa ukavitenge.

ni roho sio kitu cha kawaida cha kuzoeleka, Biblia inasema “ mdaiwa ni mtumwa wa anayedai”. Hii inamaana mtu anayekudai anaweza kukutumikisha anavyotaka, atakuwekea masharti anayoyataka yeye na utayafuta sababu uko chini ya deni. Anayekudai atakuwekea hata kiwango cha ukomo cha amani yako, Hii ndiyo sababu unapokutana na mtu anayekudai moyo wako unakosa amani.

☑️ Wapo wengi wamehama makanisa Kwa sababu ya kudaiwa. unajisikiaje unapokaa ikaribu na mtu anayekudai wakati wa kumwabudu Mungu kanisani?. Hii ndiyo sababu Mungu anasema Kumb 28 “utakopesha wala hutakopa”.

Sio watu wengi hutazama madeni k**a roho, ndiyo sababu ni rahisi kunaswa katika mkono wa madeni. Roho ya madeni haichagui mtu wa kumvaa na kumwendesha, haijalishi ni mtu mkubwa au mdogo, maskini au tajiri unapovamiwa na roho hii unakuwa mtumwa. Kuna watu ambao hawawezi kuishi bila kudaiwa, hata k**a hawapendi kwasababu hii ni roho, itahakikisha baada ya kupata fedha unatumia haraka ili ukope tena, itahakikisha ukishalipa deni unakuwa na kiu ya kukopa tena.
Sasa maandiko hapo juu ya utaona kuna mtu aliitwa Elisha na alikutana na mmoja wa wake za manabii ambaye mume wake alifariki.

Mama huyu alikuwa anadaiwa katika namna ambayo k**a asingeweza kulipa watoto wake wangishia utumwani. Ndipo alipokutana na Elisha nabii ambaye aliachilia Neema ya utele iliyoshinda roho ya madeni. Hii inatudhihirishia ya kuwa mtu anaweza kutoka katika roho ya madeni kwa Neema ya Mungu inayoleta utele.

Habari njema ni kuwa leo roho ya madeni itakomeshwa kabisa kwenye maisha yako katika jina la Yesu Kristo.

Karibu maombi na maombezi kanisani

Neema Lutheran Church Mtwara Dangote
Nyuma ya kituoa Cha Mafuta Cha Olympic Petroleum msijute / hiyali Dangote ( kwa kweka)

Muda wa ibada kila jumapili Saa tatu asubuhi

Tuchangie; 0152328983500 CRDB BANK"Neema Lutheran Parish"
04/04/2019

Tuchangie; 0152328983500 CRDB BANK
"Neema Lutheran Parish"

Neema Lutheran Church we love you!!!
15/03/2019

Neema Lutheran Church we love you!!!

Tumetoka mbali, Mungu anajua kitu shida maisha,  ingawa maadui wananyemelea, Mungu ana nguvu ya kutuvusha.
23/11/2018

Tumetoka mbali, Mungu anajua kitu shida maisha, ingawa maadui wananyemelea, Mungu ana nguvu ya kutuvusha.

02/03/2018

Wapendwa, tarehe 25/03/2018 Sikukuu ya Mitende Kanisa la Neema DANGOTE tunatarajia kuwa na Harambee ya kukamilisha Kuta, mlio tayari kuanza kuchangia Ujenzi karibu vs A/C 0152328983500 Jina. Neema Lutheran Parish CRDB Bank.

Kwa kweli tumemwona Mungu akitupigania ktk nyakati zote, Usituache peke yetu, Karibu uchote Baraka kwa kuchangia hata Vifaa k**a tofari nchi sita, Saruji, Luvas, Trip ya Mchg @ trip 100,000/= barikiwa sana, By. Dean Rev. Yeriko

Michango inapokelewa kwa Akaunti Bank tu, Maombezi ya baraka Namba za Mchungaji. Mbarikiwe nyoote mlioanza kazi hii ya M...
30/05/2017

Michango inapokelewa kwa Akaunti Bank tu, Maombezi ya baraka Namba za Mchungaji. Mbarikiwe nyoote mlioanza kazi hii ya Mission hata sasa bado tunawategemea. Mungu wa baraka awabariki kwa baraka zote.

04/02/2017

2 Mambo ya Nyakati 20:21 Naye alipokwisha kufanya shauri na watu, akawaweka wale watakaomwimbia Bwana, na kumsifu katika uzuri wa utakatifu, wakitoka mbele ya jeshi, na kusema, Mshukuruni Bwana; kwa maana fadhili zake ni za milele.

Wabarikiwe wale wooote walio na moyo wa ukarimu na Upendo wa kusaidiana kujenga nyumba ya Bwana.  Tuko hatua hii sasa.
28/01/2017

Wabarikiwe wale wooote walio na moyo wa ukarimu na Upendo wa kusaidiana kujenga nyumba ya Bwana. Tuko hatua hii sasa.

20/01/2017

Warumi 10:15 Tena wahubirije, wasipopelekwa? K**a ilivyoandikwa, Ni mizuri k**a nini miguu yao wahubirio habari ya mema!

Address

NEEMA LUTHERAN CHURCH
Mtwara
DANGOTEMTWARA

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Neema Dangote Lutheran Church posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share