Kwaya ya Mt.Anthony Wapadua,Majengo Jimbo Katoliki la Mtwara

Kwaya ya Mt.Anthony Wapadua,Majengo Jimbo Katoliki la Mtwara KWAYA YA MT. ANTHONY WA PADUA, PAROKIA YA MT.PAUL - MAJENGO, JIMBO KATOLIKI MTWARA

08/02/2026
08/02/2026

Ndugu watazamaji Kalibu kwa kuangalia Wimbo huu wakilatin Ambao umeimbwa Na wanakwaya Wa kwaya ya Mt Anthony Wapadua Parokia ya Majengo Mtwara Pia usiache Kutu folo naku like kwanye Ukrasa wetu WaFacebook Istagram YouTube

16/11/2025

Taifa la Mungu karibu uungane nasi kwaya ya Mt. Anthony wapadua kutazama na kusikiliza misa hii ya kilatini (Sanctus Libera) katika Dominika ya 33 mwaka C wa Kanisa pia usiache kutufuatilia kwanye kurasa zetu nyingine za Instagram na You tube

17/02/2024

Wapendwa Karibuni Kwenye Ukurasa wetu wa Youtube Kutazama kazi yetu Nyingine IMANI KATOLIKI

Tumewaletea Maalumu hasa kwaajili ya kipindi hiki cha kwaresma kuiishi imani yetu katoliki kwa Matendo yanayompendeza MUNGU...

26/12/2023

Tunawatakia Heri ya sikukuu ya Noel wafuatiliaji wa Kurasa zetu..!

12/12/2023

KARIBUNI SANA WAUMINI WENZETU MWENDELEE KUTUFUATILIA

COMMENT NAMBA YAKO HAPO CHINI TUKUADD KWENYE GROUP LA KWAYA YETU ILI UWE WA KWANZA KUFUATILIA KAZI ZETU KARIBUNI NYOTE...!!!

Bwana...!!!

Basi kwa Furaha kubwa , Tunapenda Kuwashukuru wadau wote mnafuatilia Mitandao yetu ya Kijamii Leo Tumefikisha rasmi 10,0...
15/09/2023

Basi kwa Furaha kubwa , Tunapenda Kuwashukuru wadau wote mnafuatilia Mitandao yetu ya Kijamii Leo Tumefikisha rasmi 10,000 Followers katika page yetu ya kwaya hakika Mungu awabariki sana ,, Pia tuzidi kushirikiana katika kila wakati kwaajili ya uinjilishaji..

10K FOLLOWERS πŸ₯³πŸ₯³πŸ₯³πŸ₯³

We made itπŸ‘πŸ»πŸ‘πŸ»πŸ‘πŸ»πŸ‘πŸ»πŸ‘πŸ»

10,000 FOLLOWERS πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ₯³πŸ₯³πŸ₯³πŸ‘πŸ»πŸ‘πŸ»πŸ‘πŸ»

09/08/2023

UKWAKATA PAROKIA YA MT.PAULO MAJENGO MTWARA

TWENDE TUKATAZAME WIMBO HUU MZURI SHARE ,LIKE &COMMENT
01/05/2023

TWENDE TUKATAZAME WIMBO HUU MZURI

SHARE ,LIKE &COMMENT

"Kuwa na Amani sio kuwa nje ya Matatizo, Bali ni kuwa na uwepo wa Kristo mioyoni mwetu"WIMBO: Kaa Nami BwanaWAIMBAJI: Kwaya ya Mtakatifu Anthony wa Padua, Ma...

28/04/2023

*COMING SOOON....!!!!*πŸ₯³πŸ₯³
On YouTube Channel,
Kwaya ya Mt.Anthony wa Padua Mtwara, Usicheze Mbali ni Kesho Hiyoooo Karibu Tushiriki Kulitanga Neno la Mungu ,,,
Share ,like and Comment πŸ‘πŸ₯³πŸ₯³πŸ₯³

NAMI BWANA @ T.M.Sullusi🎢

28/04/2023

EE BWANA UTANIJULISHA NJIA YA UZIMA

NI UTUNZI WAKE BARAKA THOMAS MASHIBE,,

KUTOKA ZAB 16 1-2: 5,7-11

KARIBUNI TUSIKILIZE WIMBO HUU ,, TUMA UJUMBE WOWOTE PIA SAMBAZA KWA WOTE ILI WAPATE KUINJILIKA ZAIDI.

Address

Majengo
Mtwara

Telephone

+255684341818

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kwaya ya Mt.Anthony Wapadua,Majengo Jimbo Katoliki la Mtwara posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Kwaya ya Mt.Anthony Wapadua,Majengo Jimbo Katoliki la Mtwara:

Share