17/12/2022
Matukio mbalimbali katika picha leo tar 17/12/2022 Ibada ya kuwabariki watheolojia kuwa wachungaji. Baada ya ibada Baba Askofu Lucas Mbedule Judah alipanda mti wa kumbukumbu kwa ajili ya watheolojia waliobarikiwa kuwa Wachungaji.
KKKT- Dayosisi ya Kusini Mashariki ni Dayosisi yenye eneo la Mikoa Miwili Lindi na Mtwara
S. L. P. 469
Mtwara
Be the first to know and let us send you an email when South Eastern Diocese SED ELCT posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.