Mtwara Lutheran Church

Mtwara Lutheran Church Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mtwara Lutheran Church, Religious organisation, Mtwara.

Tukubali kuwa wanafunzi wa Neno la Mungu
06/07/2022

Tukubali kuwa wanafunzi wa Neno la Mungu

04/07/2022
Tarehe 29.09.2010 ni siku ya Kuingizwa kazini Msaidizi wa Askofu Mteule Mchungaji Y Ngwema.. Ibada itafanyika kanisa Kuu...
21/09/2019

Tarehe 29.09.2010 ni siku ya Kuingizwa kazini Msaidizi wa Askofu Mteule Mchungaji Y Ngwema.. Ibada itafanyika kanisa Kuu Mtwara Mjini kuanzia saa Moja asubuhi..... Karibuni sana

19/09/2019
Watoto wa Nyumbani wakiadhimisha siku yao ya Kuzaliwa kwa Praise and Worship Team...si ya kukosa Ni Jumapili Tarehe 8-9-...
04/09/2019

Watoto wa Nyumbani wakiadhimisha siku yao ya Kuzaliwa kwa Praise and Worship Team...si ya kukosa Ni Jumapili Tarehe 8-9-2019 Kanisa Kuu Mtwara

04/09/2019

Kwa kuwa Mwana wa Adamu alikuja kutafuta na kuokoa kile kilichopotea.

Mpango wa kuimalisha Mitaa ya Vijijini.. Mtwara-Miuta kwa Yesu Imewezekana

Asante Yesus
Luka 19:10

Maandalizi ya ibada yanaanzia  ...k**a moyo wako haujauandaa kwaajili ya kumwabudu Mungu ktk roho na kweli...ni kazi bur...
31/08/2019

Maandalizi ya ibada yanaanzia ...k**a moyo wako haujauandaa kwaajili ya kumwabudu Mungu ktk roho na kweli...ni kazi bure,maana k**a moyo wako hauna maandalizi usitegemee kumsikia Mungu akisema nawe.....Ibada ianze ndani ya moyo wako...uwe na utayari wa kutaka kukutana na nguvu ya Mungu...uwe na utayari wa kupokea kile ambacho Mungu amekiandaa kwa ajili yako siku ya leo...tamani kumuona Mungu ktk viwango vingine.

Mungu akubariki nakutakia maandalizi mema ya ibada.

Usiangalie magumu, shida, matatizo unayoyapitia wewe jua lazima ufikie kiti chako cha ufalme ulichokusudiwa na Mungu;Mfa...
30/08/2019

Usiangalie magumu, shida, matatizo unayoyapitia wewe jua lazima ufikie kiti chako cha ufalme ulichokusudiwa na Mungu;
Mfano; Daudi alipitia magumu mengi ikiwemo fedheha, matatizo na shida lakini alivumilia sababu alijua Mungu amemuandaa kuwa Mfalme. Pokea roho ya uvumilivu kwa Mungu in Jesus Name.

Address

Mtwara

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mtwara Lutheran Church posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share