Magomeni Parish SED ELCT

Magomeni Parish SED ELCT Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Magomeni Parish SED ELCT, Religious organisation, p. o. box 468, Mtwara.

19/10/2025
Ibada ya tarehe 19/10/2025 katika kanisa la Kkkt -Mtaa wa MAKOME, MUNGU Amejidhirisha sana kwetu ilikuwa siku ya furaha ...
19/10/2025

Ibada ya tarehe 19/10/2025 katika kanisa la Kkkt -Mtaa wa MAKOME, MUNGU Amejidhirisha sana kwetu ilikuwa siku ya furaha sana

19/10/2025
Hakika ilikuwa siku ya furaha  sana kwa watoto pamoja na idara ya wamama kwa kujumuika pamoja na washarika wa Mtaa wa MA...
19/10/2025

Hakika ilikuwa siku ya furaha sana kwa watoto pamoja na idara ya wamama kwa kujumuika pamoja na washarika wa Mtaa wa MAKOME Kusherekea sikukuu ya watoto kwa pamoja Mungu awabariki sana watumishi wa Mungu hakika mmeweka alama kubwa kwa hawa watoto, Mungu akubariki Mchungaji kiongozi MCH ELIHURUMA J MALEKO , kwa kuongoza tukio hili kubwa na MUNGU Awabariki wote mliguswa kwa namna moja ama nyingine kwa hawa watoto

Ilikuwa ibada nzuri na yenye baraka kubwa sana kwa watoto ilikuwa sikukuu ya mikael na watoto jumapili ya tarehe 12/10/2...
14/10/2025

Ilikuwa ibada nzuri na yenye baraka kubwa sana kwa watoto ilikuwa sikukuu ya mikael na watoto jumapili ya tarehe 12/10/2025 hapa Kkkt-Usharika wa Magomen Mtwara Mungu awabariki sana wote kwa kufanya watoto wafuraie sikukuu yao vizuri

1 wakorth 4 :1-51 Mtu na atuhesabu hivi, kuwa tu watumishi wa Kristo, na mawakili wa siri za Mungu. 2 Hapo tena inayohit...
21/09/2025

1 wakorth 4 :1-5

1 Mtu na atuhesabu hivi, kuwa tu watumishi wa Kristo, na mawakili wa siri za Mungu.

2 Hapo tena inayohitajiwa katika mawakili, ndiyo mtu aonekane kuwa mwaminifu.

3 Lakini, kwangu mimi, si kitu kabisa nihukumiwe na ninyi, wala kwa hukumu ya kibinadamu, wala sijihukumu hata nafsi yangu.

4 Maana sijui sababu ya kujish*taki nafsi yangu, lakini sihesabiwi haki kwa ajili hiyo; ila anihukumuye mimi ni Bwana.

5 Basi ninyi msihukumu neno kabla ya wakati wake, hata ajapo Bwana; ambaye atayamulikisha yaliyositirika ya giza, na kuyadhihirisha mashauri ya mioyo; ndipo kila mtu atakapoipata sifa yake kwa Mungu.

Karibu wapendwa siku ya jumapili ya tarehe 21/09/2025 hapa kanisani kwetu KKKT USHARIKA WA MAGOMENI MTWARA, Kutakuwa na ...
19/09/2025

Karibu wapendwa siku ya jumapili ya tarehe 21/09/2025 hapa kanisani kwetu KKKT USHARIKA WA MAGOMENI MTWARA, Kutakuwa na Tukio la kihistoria la uzinduzi wa album ya Bethel kwaya, hakika usipange kukosa kwanzia saa saba mchana njoo tuimbe pamoja, na tucheze wote kwa pamoja Ameen Ubarikiwe.

Ibada ya jumapili tarehe 14/09/2025 katika kanisa la Kkkt usharika wa Magomeni - Mtwara,  tunashukuru Mtumishi wa Mungu ...
19/09/2025

Ibada ya jumapili tarehe 14/09/2025 katika kanisa la Kkkt usharika wa Magomeni - Mtwara, tunashukuru Mtumishi wa Mungu kwa ujumbe mzito kwetu hakika tulibarikiwa sana na Mungu akubariki sana

Address

P. O. Box 468
Mtwara

Telephone

+255782484827

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Magomeni Parish SED ELCT posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Magomeni Parish SED ELCT:

Share