Kwaya ya Mt. Cesilia-Kcmc

Kwaya ya Mt. Cesilia-Kcmc Kwaya ya Mt. Cesilia-Kcmc, inahudumu katika kanisa katoliki KCMC, jimboni Moshi, mkoa wa Kilimanjaro. Kwaya hii huongoza ibada ya misa ya pili-Saa 10:30am

Ziarani Mwenge Catholic University
05/07/2017

Ziarani Mwenge Catholic University

Zoezi la upandaji miti limeendelea Jumamosi hii katika Parokia ya Kimashuku Jimboni Moshi, katika Shule ya Pamakius: Shu...
22/02/2016

Zoezi la upandaji miti limeendelea Jumamosi hii katika Parokia ya Kimashuku Jimboni Moshi, katika Shule ya Pamakius: Shule ya watoto wenye mahitaji maalum..tunawaandalia mazingira bora, ili waione dunia k**a mahali bora pa kuishi..takribani miti 100 ilipandwa hapa..zoezi linaendelea

14/02/2016

Hapa wanakwaya wanafanya mazoezi ya kuingia na kujipanga jukwaani, kabla ya mashindano ya uimbaji jimbo la Moshi, ambapo walishika nafasi ya kwanza kijimbo..Hongera kwao

14/02/2016

Wanakwaya ya Mt. Cesilia-Kcmc, wakiimba wimbo wa toba, utunzi wake Samwel Abado, katika mashindano ya uimbaji jimbo la Moshi, katika tamasha lililofanyika tarehe 23/11/2015..Kwaya hii iliibuka kidedea, na ndio washindi wa uimbaji jimbo la Moshi

Wanakwaya wa Kwaya ya Mt Cesilia-Kcmc, baada ya kumaliza zoezi la kurekodi katika studio za Redio Habari Maalum (RHM), A...
14/02/2016

Wanakwaya wa Kwaya ya Mt Cesilia-Kcmc, baada ya kumaliza zoezi la kurekodi katika studio za Redio Habari Maalum (RHM), Arusha

13/02/2016
Wanakwaya wa KMC-KCMC wakiwa katika zoezi la upandaji miti Mwenge University-Moshi
13/02/2016

Wanakwaya wa KMC-KCMC wakiwa katika zoezi la upandaji miti Mwenge University-Moshi

Address

P. O. Box 3010
Moshi
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kwaya ya Mt. Cesilia-Kcmc posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Kwaya ya Mt. Cesilia-Kcmc:

Share