Pastor Godlisten Mbise

Pastor Godlisten Mbise Tunamtaka Bwana na nguvu zake

Hakika kwa Yesu ndio sehemu salama kwa wote wenye shida, bado tunafuraha ya kipekee kabisa kumpokea mwokovu mpya maana s...
09/10/2020

Hakika kwa Yesu ndio sehemu salama kwa wote wenye shida, bado tunafuraha ya kipekee kabisa kumpokea mwokovu mpya maana sisi sote ni watoto wake. Halleluya njooni kwa Yesu nyote msumbukao na shida maana yeye jibu la kweli

Ni furaha kubwa mbingini pale mmoja anachukua maamuzi na kumpa Yesu maisha....... Injili ya yesu kristo isonge mbele. Ni...
09/10/2020

Ni furaha kubwa mbingini pale mmoja anachukua maamuzi na kumpa Yesu maisha....... Injili ya yesu kristo isonge mbele. Ni hapa

17/02/2020

Tarehe 29.02.2020 vijana wetu watafunga ndoa yao hapa kanisani muda wa saa 10am, hivo watu wote mnakaribishwa

Mchungaji kiongozi akisahinisha warusi cheti cha ndoa
20/01/2020

Mchungaji kiongozi akisahinisha warusi cheti cha ndoa

19/01/2020

Tunamshukuru Mungu kwa kupokea washarika wapya leo 19/01/2020

Tutavuna mpaka kieleweke
05/01/2020

Tutavuna mpaka kieleweke

21/06/2019

Our beautiful youth Roger Moleli and Pamela Chuwa are getting theirs weddings soon 7-9-2019. Prayers on them get their goal🙏🏻❤

Ilikuwa siku nzuri leo kwetu baada ya ubatizo wa maji mengi. Asante Mungu kwa maisha mampya ya watu wako hawa
03/05/2019

Ilikuwa siku nzuri leo kwetu baada ya ubatizo wa maji mengi. Asante Mungu kwa maisha mampya ya watu wako hawa

It was great day for us today to buried with Jesus and raise up again  and shine to the world
03/05/2019

It was great day for us today to buried with Jesus and raise up again and shine to the world

08/04/2019

Tunamshukuru Mungu kwa kuokowa watu wake, jana ilkuwa ibada nzuri sana baada ya watu hawa kumpa Yesu kristo maisha yao kuwa Bwana na mkwozi katika maisha yao. Hallelujah Yesu ni Jibu

Address

Moshi

Opening Hours

Monday 16:00 - 17:30
Tuesday 16:30 - 18:00
Wednesday 16:00 - 17:30
Thursday 16:00 - 17:00
Friday 16:00 - 18:00
Saturday 15:00 - 18:00
Sunday 08:00 - 10:30

Telephone

+255763724026

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pastor Godlisten Mbise posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Pastor Godlisten Mbise:

Share