Kanisa La Kibatisti La Biblia Kilmanjaro

Kanisa La Kibatisti La Biblia Kilmanjaro Huu ni kurasa maalumu kwa ajili ya Kanisa la Kibatisti la Biblia shanty town

09/12/2025
09/12/2025
09/12/2025

🙏

Wafilipi 4:13
07/12/2025

Wafilipi 4:13

Ilikua Jumapili ya baraka sana Na Vijana wetu walifanya jambo la baraka ambao ni mwanzo mwema katika kuanza safari yao y...
19/08/2024

Ilikua Jumapili ya baraka sana
Na Vijana wetu walifanya jambo la baraka ambao ni mwanzo mwema katika kuanza safari yao ya Ndoa

Zaburi 119:9-10Jinsi gani kijana aisafishe njia yake? Kwa kutii, akilifuata neno lako. Kwa moyo wangu wote nimekutafuta,...
14/08/2024

Zaburi 119:9-10
Jinsi gani kijana aisafishe njia yake? Kwa kutii, akilifuata neno lako. Kwa moyo wangu wote nimekutafuta, Usiniache nipotee mbali na maagizo yako. Moyoni mwangu nimeliweka neno lako, Nisije nikakutenda dhambi.

Psalm 119:9-11
Wherewithal shall a young man cleanse his way? by taking heed thereto according to thy word.
With my whole heart have I sought thee: O let me not wander from thy commandments.
Thy word have I hid in mine heart, that I might not sin against thee.

Programme za vijana katika kanisa letuKaribuni sanaMkumbuke Muumba wako siku za ujana wako, Kabla hazijaja siku zilizo m...
21/07/2024

Programme za vijana katika kanisa letu

Karibuni sana

Mkumbuke Muumba wako siku za ujana wako, Kabla hazijaja siku zilizo mbaya, Wala haijakaribia miaka utakaposema, Mimi sina furaha katika hiyo.(Mhubiri 12:1)

14.07.2024 Hata sasa ni wewe ni Ebeneza
16/07/2024

14.07.2024
Hata sasa ni wewe ni Ebeneza

18/10/2021

Ilikua Baraka sana

Eben-ezeri hata sasa Bwana anatupigania
26/04/2021

Eben-ezeri hata sasa Bwana anatupigania

Address

Shanty Town
Moshi

Telephone

+255742657437

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kanisa La Kibatisti La Biblia Kilmanjaro posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Kanisa La Kibatisti La Biblia Kilmanjaro:

Share