Moshi branch Lds

Moshi branch Lds welcome moshi branch LDS heaven father love you

26/12/2025

Welcome moshi branch tomorrow we have an activity

Alma 37;38
25/04/2025

Alma 37;38

Desturi isiyofaa ya kubatiza watoto wachanga na watoto walio chini ya umri wa uwajibikaji, ambao ni umri wa miaka minane...
11/03/2025

Desturi isiyofaa ya kubatiza watoto wachanga na watoto walio chini ya umri wa uwajibikaji, ambao ni umri wa miaka minane. Bwana analaani ubatizo wa watoto wachanga (Moro. 8:10–21). Watoto wanazaliwa bila hatia na pasipo dhambi. Shetani hana uwezo wa kuwajaribu watoto hadi wanapoanza kuwajibika (M&M 29:46–47) hivyo hawana haja ya kutubu au kubatizwa. Watoto yapaswa wabatizwe wafikiapo umri wa miaka minane (M&M 68:25–27). Matendo ya Mitume 19:4
Paulo akasema, Yohana alibatiza kwa ubatizo wa toba, akiwaambia watu wamwamini yeye atakayekuja nyuma yake, yaani, Yesu.

If Jesus Christ appears today and asks you what is your happiness when you are with him, what will your answer be?🤔Maish...
22/12/2024

If Jesus Christ appears today and asks you what is your happiness when you are with him, what will your answer be?🤔

Maisha yako yana maana na dhumuni. Urejesho unaoendelea wa injili ya Yesu Kristo unaleta nuru na uelewa kuhusu utambulisho wako wa kiungu. Wewe ni mtoto mpendwa wa Baba wa Mbinguni. Wewe ndiye mada ya mifano na mafundisho yote. Mungu anakupenda sana kwamba alimtuma Mwanawe ili akuponye, akuokoe na kukukomboa. Yesu Kristo alitambua asili takatifu na ustahili wa milele wa kila mtu. Alielezea jinsi gani amri kuu mbili za kumpenda Mungu na kumpenda jirani yetu ndio msingi wa amri zote za Mungu. Moja ya wajibu wa kiungu ni kuwajali wale walio katika shida. Hii ndio sababu wafuasi wa Yesu Kristo, “tunabebeana mizigo, … tunaomboleza na wale wanaoomboleza … , na kuwafariji wale wanaohitaji faraja.” Dini sio tu kuhusu uhusiano wetu na Mungu; pia ni juu ya uhusiano wetu sisi kwa sisi. Mzee Holland alielezea kwamba neno la Kiingereza dini linatokana na Kilatino religare, likimaanisha “kufunga” au maana ya wazi zaidi “kufunga tena.” Hivyo, “dini ya kweli [ni] kamba ambayo inatufunga sisi kwa Mungu na kwa kila mmoja.”

Moshi branch Lds Moshi branch
01/10/2024

Moshi branch Lds Moshi branch

Moshi branch be happy 😊😊
22/09/2024

Moshi branch be happy 😊😊

Alma 37;37 Kubatizwa ni kuzamishwa kabisa ndani ya maji. a Biblia inataja ubatizo wa watu mbalimbali. (Matendo 2:41) Mmo...
20/08/2024

Alma 37;37 Kubatizwa ni kuzamishwa kabisa ndani ya maji. a Biblia inataja ubatizo wa watu mbalimbali. (Matendo 2:41) Mmoja kati yao ni Yesu ambaye alibatizwa kwa kuzamishwa ndani ya Mto Yordani. (Mathayo 3:13, 16) Miaka mingi baadaye, mwanamume Mwethiopia alibatizwa katika “mahali penye maji” kando ya barabara aliyokuwa akisafiria.​—Matendo 8:36-40.

Yesu alifundisha kwamba ubatizo ni takwa kwa wafuasi wake. (Mathayo 28:19, 20) Mtume Petro pia alitaja jambo hilo waziwazi.​—1 Petro 3:21.

Moshi branch Lds  karibu kanisani njoo tujifunze kuusu yesu kristo.
15/07/2024

Moshi branch Lds karibu kanisani njoo tujifunze kuusu yesu kristo.

Address

Moshi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Moshi branch Lds posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share