Efatha Church Hai Kilimanjaro

Efatha Church Hai Kilimanjaro Kanisa la Uponyaji & Ukombozi kwa Damu ya Yesu Kristo

Tunaelekea kule Mwamba alipotuitaaaa…..  2023
01/10/2023

Tunaelekea kule Mwamba alipotuitaaaa…..
2023

Ni wakati wa watu wa Kilimanjaro kukutana na maachilio yao.Karibu kwenye mkutano huu wa maachilio utakaofanyika kuanzia ...
04/11/2022

Ni wakati wa watu wa Kilimanjaro kukutana na maachilio yao.

Karibu kwenye mkutano huu wa maachilio utakaofanyika kuanzia tarehe 16-19 mwezi huu wa Novemba katika kiwanja cha Mashujaa Moshi mjini karibu na keep left cha Arusha.

Mkutano huu utaongozwa na Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira.

Usikose ni wakati wako wa kutoka kwenye kila kifungo kilichokushikilia, makandamizo ya aina yoyote, kufunguliwa toka kwenye magonjwa, kufunguliwa kutoka kwenye dhambi inayokutesa

Karibu sanaaaaaaaaaaa

KUSANYIKO, KUSANYIKO, KUSANYIKO 2022.MUNGU wetu BABA yetu wa Mbinguni Anatupenda.Kaa tayari.
07/09/2022

KUSANYIKO, KUSANYIKO, KUSANYIKO 2022.

MUNGU wetu BABA yetu wa Mbinguni Anatupenda.

Kaa tayari.

29/08/2022
SEMINA YA KUWEKWA HURU INAYOANZA JULAI 7 HADI 9  2022 KANISA LA EFATHA SAYUNI-MOSHIITAONGOZWA NA MCHUNGAJI KIONGOZI MKOA...
02/07/2022

SEMINA YA KUWEKWA HURU INAYOANZA JULAI 7 HADI 9 2022

KANISA LA EFATHA SAYUNI-MOSHI

ITAONGOZWA NA MCHUNGAJI KIONGOZI MKOA WA MBEYA ,PHILIPO MOLLEL

KUANZIA SAA 9 ALASIRI -12 JIONI

WOTE MNAKARIBISHWA SANAA

23/06/2022

KANISA LA EFATHA BOMA HAI
UBATIZO WA MAJI MENGI kwa Wana wa Mungu tarehe 11/06/2022

KANISA LA EFATHA BOMA HAIUBATIZO WA MAJI MENGI kwa Wana wa Mungu  tarehe 11/06/2022Warumi 6:3 “Hamfahamu ya kuwa sisi so...
23/06/2022

KANISA LA EFATHA BOMA HAI
UBATIZO WA MAJI MENGI kwa Wana wa Mungu tarehe 11/06/2022

Warumi 6:3 “Hamfahamu ya kuwa sisi sote tuliobatizwa katika Kristo Yesu tulibatizwa katika mauti yake?

4 Basi tulizikwa pamoja naye kwa njia ya ubatizo katika mauti yake, kusudi k**a Kristo alivyofufuka katika wafu kwa njia ya utukufu wa Baba, vivyo hivyo na sisi tuenende katika upya wa uzima.

5 Kwa maana k**a mlivyounganika naye katika mfano wa mauti yake, kadhalika mtaunganika kwa mfano wa kufufuka kwake;

Tunayo furaha kubwa kukukaribisha katika siku thelathini na moja (31) za maombi ya kufunga na kuomba yatakayoanza tarehe...
30/04/2022

Tunayo furaha kubwa kukukaribisha katika siku thelathini na moja (31) za maombi ya kufunga na kuomba yatakayoanza tarehe 1/5/2022 mpaka tarehe 31/5/2022 maombi haya yatafanyika katika makanisa yetu yote ya Efatha Tanzania na nje ya Tanzania na yataongozwa na Mtumishi wa Mungu Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira pamoja na watumishi wengine.

Mwana wa Mungu kumbuka huu ni mwaka wetu wa maachilio hivyo andaa moyo wako sasa ili maombi yatakapoanza uweze kupokea haja za moyo wako.

Mithali16:1 "Maandalio ya moyo ni ya mwanadamu; Bali jawabu la ulimi hutoka kwa Bwana".

.

Address

Bomang'ombe
Moshi
1058

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Efatha Church Hai Kilimanjaro posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share