Pentecoste GOMBO La Chuo kilimanjaro

Pentecoste GOMBO La Chuo kilimanjaro Ebrania 10:7 "Ndipo niliposema, tazama nimekuja, Niyafanye mapenzi yako, MUNGU.''

Ukurasa wa NENO LA MUNGU chini ya Mchungaji Frank Z. Mtui.

Huduma inapatikana Kiboriloni Moshi

Namshukuru Mungu Kwa ajili ya huyu mama
31/07/2023

Namshukuru Mungu Kwa ajili ya huyu mama

Muda wa Mungu ukifika hakuna wa kuzuia kilichokusudiwa
31/07/2023

Muda wa Mungu ukifika hakuna wa kuzuia kilichokusudiwa

Kumtumikia Mungu kuna faida kubwa sana wapendwa, tambua Mungu amekuumba usije kupoteza muda hapa duniani bali yakupasa k...
26/04/2022

Kumtumikia Mungu kuna faida kubwa sana wapendwa, tambua Mungu amekuumba usije kupoteza muda hapa duniani bali yakupasa kujua nafasi yako na uitumikie.

Mungu awabariki sana

29/05/2021

Huwapa nguvu wazimiao, humwongezea nguvu yeye asiyekuwa na uwezo. Hata vijana watazimia na kuchoka, na wanaume vijana wataanguka; bali wao wamngojeao BWANA watapata nguvu mpya; watapanda juu kwa mbawa k**a tai; watapiga mbio, wala hawatachoka; watakwenda kwa miguu, wala hawatazimia.
Isa 40:29‭-‬31

Ni hasara kumwabudu Mungu halafu maisha yako yamejaa manunguniko hiyo ni ishara ya kumwabudu Mungu usiemjuwa mwisho wake...
20/03/2021

Ni hasara kumwabudu Mungu halafu maisha yako yamejaa manunguniko hiyo ni ishara ya kumwabudu Mungu usiemjuwa mwisho wake unakuwa mbaya ni kufia jangwani

Ili ushinde lazima ukubali kuwa tofauti na walioshindwa na utafute walioshindwa ujuwe mbinu za kushindana istoshe uwe um...
13/03/2020

Ili ushinde lazima ukubali kuwa tofauti na walioshindwa na utafute walioshindwa ujuwe mbinu za kushindana istoshe uwe umehamuwa kushindana ubarikiwe

01/03/2020

Mungu atakupigania nawe utanyamaza kimya

20/09/2018

Yohana 17:17-26

[17]Uwatakase kwa ile kweli; neno lako ndiyo kweli.
[18]Kama vile ulivyonituma mimi ulimwenguni, nami vivyo hivyo naliwatuma hao ulimwenguni.
[19]Na kwa ajili yao najiweka wakfu mwenyewe, ili na hao watakaswe katika kweli.
[20]Wala si hao tu ninaowaombea; lakini na wale watakaoniamini kwa sababu ya neno lao.
[21]Wote wawe na umoja; k**a wewe, Baba, ulivyo ndani yangu, nami ndani yako; hao nao wawe ndani yetu; ili ulimwengu upate kusadiki ya kwamba wewe ndiwe uliyenituma.
[22]Nami utukufu ule ulionipa nimewapa wao; ili wawe na umoja k**a sisi tulivyo umoja.
[23]Mimi ndani yao, nawe ndani yangu, ili wawe wamekamilika katika umoja; ili ulimwengu ujue ya kuwa ndiwe uliyenituma, ukawapenda wao k**a ulivyonipenda mimi.
[24]Baba, hao ulionipa nataka wawe pamoja nami po pote nilipo, wapate na kuutazama utukufu wangu ulionipa; kwa maana ulinipenda kabla ya kuwekwa msingi ulimwengu.
[25]Baba mwenye haki, ulimwengu haukukujua; lakini mimi nalikujua, na hao wamejua ya kuwa ndiwe uliyenituma.
[26]Nami naliwajulisha jina lako, tena nitawajulisha hilo; ili pendo lile ulilonipenda mimi liwe ndani yao, nami niwe ndani yao.

05/07/2018

Zab 121:2
Msaada wangu u katika Bwana, Aliyezifanya mbingu na nchi.

05/04/2018

WAKOLOSAI 2: 20-23
20 Basi ikiwa mlikufa pamoja na Kristo mkayaacha yale mafundisho ya awali ya ulimwengu, kwa nini kujitia chini ya amri, k**a wenye kuishi duniani,
21 Msishike, msionje, msiguse;
22 (mambo hayo yote huharibika wakati wa kutumiwa); hali mkifuata maagizo na mafundisho ya wanadamu?
23 Mambo hayo yanaonekana kana kwamba yana hekima, katika namna ya ibada mliyojitungia wenyewe, na katika kunyenyekea, na katika kuutawala mwili kwa ukali; lakini hayafai kitu kwa kuzizuia tamaa za mwili.

Address

Tella, Old Moshi Magharibi
Moshi

Telephone

+255762191564

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pentecoste GOMBO La Chuo kilimanjaro posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Pentecoste GOMBO La Chuo kilimanjaro:

Share