Jesus Christ Representative Ministry - JCRM

Jesus Christ Representative Ministry - JCRM Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Jesus Christ Representative Ministry - JCRM, Religious organisation, Moshi, Kilimanjaro, Moshi.

12/01/2021

I'm a citizen of heaven, i belong there. Phil 3:20

23/10/2018

We can complain and remain, or we can praise and be raised.

06/06/2018

NI SABATO KWA AJILI MWANADAMU AU MWANADAMU KWA AJILI YA SABATO?

Bwana Yesu apewe sifa na utukufu wote,

Moja ya swali ambalo watu wengi wamekuwa wakiuliza ni juu ya siku ya sabato. Kuna maandiko mengi ambayo Biblia imeyatoa juu ya “siku ya sabato.” Hatuwezi kupitia maandiko yote ila tutapitia machache.

Naamini yatakusaidia kuelewa zaidi. Binafsi watu wengi wamekuwa wakiuliza “siku sahihi ya kuabudu” ni ipi? Kwanza kuabudu hakuko katika siku. Wanaoabudu halisi ni wale wanaomuabudu Mungu katika Roho na kweli (Yohana 4:24).

K**a mtu hana Roho Mtakatifu na kweli ya Mungu haimo ndani yake, haijalishi anaenda kusali siku ipi, hawezi kumwabudu Mungu “katika Roho na kweli.” Kuwa na “kweli ya Mungu” siyo mtu kuwa na maandiko.

Mtu haingii katika ufalme wa Mungu kutokana na siku anayoenda kuabudu. Mtu anaingia katika ufalme wa Mungu kwa sababu amezaliwa mara ya pili, amezaliwa katika maji, na katika Roho (Yohana 3:3,5).

Hivyo k**a mtu hajazaliwa mara ya pili, hana neno wala Roho Mtakatifu, hawezi kuingia katika ufalme wa Mungu haijalishi anaenda kusali wapi na anasali siku ipi.

Turudi kwenye “Siku ya Sabato:”

Nataka tuangalie sabato k**a “sehemu ya agano.” “BWANA akasema na Musa, na kumwambia, Kisha nena na wana wa Israeli, na kuwaambia, Hakika mtazishika Sabato zangu, kwa kuwa ni ishara kati ya mimi na ninyi katika vizazi vyenu vyote; ili mpate kujua ya kuwa mimi ndimi BWANA niwatakasaye ninyi” (Kutoka 31:12—13).

Mungu anaendelea kumpa Musa maagizo na kumwambia atakayeinajisi Sabato hakika atauawa (Kutoka 31:14—15). “Kwa ajili ya hayo wana wa Israeli wataishika Sabato, kuiangalia sana hiyo Sabato katika vizazi vyao vyote, ni agano la milele” (Kutoka 31:16).

Maandiko haya yanatuambia kuwa kuiangalia Sabato “ni agano la milele.” Kumbuka agano ni makubaliano kati ya pande mbili au zaidi.

SWALI: Mungu anasema kuishika Sabato na kuiangalia “ni agano la milele.” JE NI AGANO LA MILELE KATI YA MUNGU NA NANI? Kati ya “Mungu na Israeli” au “Mungu na kanisa?” Kumbuka Mungu hakufunga agano lolote na kanisa.

Neno linasema, “Angalia, siku zinakuja, asema BWANA, nitakapofanya agano jipya na nyumba ya Israeli, na nyumba ya Yuda. Si kwa mfano wa agano lile nililolifanya na baba zao, katika siku ile nilipowashika mkono, ili kuwatoa katika nchi ya Misri; ambalo agano langu hilo walilivunja, ingawa nalikuwa mume kwao, asema BWANA” (Yeremia 31:31—32).

Nilitaka uone kuwa “agano jipya” Mungu alilifanya na nyumba ya Israeli, na nyumba ya Yuda.

Hivyo kushika Sabato k**a “agano la milele” Mungu aliwaambia wana Israeli, siyo kanisa. Katika Agano la Kale kulikuwa hakuna kanisa. Kanisa limeanza Yesu alipofufuka. Kwa sababu hiyo, sabato yetu k**a kanisa “ipo kwa Yesu, siyo katika siku.”

Yesu alisema, “Kwa maana Mwana wa Adamu ndiye Bwana wa Sabato” (Mathayo 12:8).

Maneno haya Yesu aliyasema baada ya Mafarisayo kuona wanafunzi wa Yesu walipokuwa wanavunja masuke na kuyala na kumwambia Yesu kuwa wanafunzi wake wanafanya lisilo halali “siku ya Sabato.”

Kwa Mafarisayo na watu wengine wa dini, k**a ilivyo sasa, Sabato ipo katika siku, siyo kwa Yesu. Lakini Sabato yetu ni katika Kristo kwani kila kitu (pamoja na Sabato) kiliumbwa kwa ajili ya Kristo (Wakolosai 1:16; Yohana 1:3).

Yesu, ambaye ni Mwana wa Mungu, aliyatenda mapenzi ya Mungu siku zote (hata siku ya Sabato) kwani Yeye ndiye “Bwana wa Sabato.”

“Kwa sababu hiyo Wayahudi wakamwudhi Yesu, kwa kuwa alitenda hayo siku ya sabato. Akawajibu, Baba yangu anatenda kazi hata sasa, nami ninatenda kazi” (Yohana 5:17).

Kitu cha msingi ambacho watu wanasahau ni kwamba hatukuumbwa kwa ajili ya Sabato bali Sabato iliumbwa kwa ajili yetu. Kuna watu wanaishi kana kwamba waliumbwa kwa ajili ya Sabato.

Yesu alipokuwa anajadiliana na watu wa dini juu ya Sabato, neno linasema, “Akawaambia, Sabato ilifanyika kwa ajili ya mwanadamu, si mwanadamu kwa ajili ya Sabato” (Marko 2:27).
Kuna watu ambao wameshika Sabato na wanajaribu kuishi chini ya sheria ya Musa lakini imani yao kwa Yesu haipo.

Kumbuka kuwa hakuna wokovu katika torati ya Musa. Hatuhesabiwi haki kwa matendo ya sheria bali ni kwa imani katika Kristo. Torati ni inakusaidia “kutambua dhambi” (Wagalatia 2:16; Warumi 3:20).

Hivyo sababu ya wana wa Israeli kuishika sabato ni kwamba kwao ni “agano la milele.”

SWALI: Je sisi wa mataifa tunapookoka na kumpokea Kristo k**a Bwana wetu tunatakiwa tuishi kwa kushika sabato na sheria zingine ambazo Mungu alimpa Musa kwa ajili ya wana wa Israeli? Tuangalie maandiko yanasemaje:

“Lakini baadhi ya madhehebu ya Mafarisayo walioamini wakasimama wakisema, Ni lazima kutahiri na kuwaagiza kuishika torati ya Musa. Mitume na wazee wakakusanyika kulifikiri neno hili” (Matendo 15:5—6).

Nilitaka uone mjadala wa “kuishika torati ya Musa” haujaanza leo. Ulianza tangu kanisa la kwanza na chimbuko lake ni “madhehebu ya Mafarisayo” na siyo Kristo. Hata wakati wa Yesu huo mjadala ulikuwepo (kumbuka hakuna jipya chini ya jua [Mhubiri 1:9]).

Maagizo ambayo wale wamataifa tulipewa ni “kujiepusha na unajisi wa sanamu, na uasherati, na nyama zilizosongolewa, na damu” (Matendo 15:20).

Mitume walisema, “Kwa maana ilimpendeza Roho Mtakatifu na sisi tusiwatwike mzigo ila hayo yaliyo lazima, yaani, mjiepeshe na vitu vilivyotolewa sadaka kwa sanamu, na damu, na nyama zilizosongelewa, na uasherati. Mkijizuia na hayo, mtafanya vema. Wasalamu” (Matendo 15:28—29).

Hayo ni maagizo ambayo mitume waliyatoa na ilimpendeza Roho Mtakatifu. Kumbuka neno linasema, “Mmejengwa juu ya msingi wa mitume na manabii, naye Kristo Yesu mwenyewe ni jiwe kuu la pembeni” (Waefeso 2:20).

Hivyo mambo ambayo ni ya LAZIMA kwetu sisi mataifa tuliomwamini Yesu hayo hapo juu. Maana yake mengine “siyo ya lazima” kwa ajili ya wokovu. Hii ni pamoja na kuishika Sabato kwa jinsi ya mwili na torati ya Musa.

SWALI: Je siku sahihi ya kuabudu ni ipi? Mara nyingi swali hili wanauliza ambao ni “wachanga kiroho” kwa sababu wanadhani Mungu anaabudiwa “katika siku” au “walioshika dini ya Mafarisayo” hivyo wanatafuta kuhesabiwa haki kwa sababu “wanaishika Sabato.”

Kinachotofautisha kwa nini kuna “wanaokusanyika” jumapili au jumamosi ni hiki: Kwa sababu wana wa Israeli walipewa maagizo ya kuishika Sabato k**a “agano la milele,” wao wamekuwa wakikusanyika Jumamosi.

Kwa wa mataifa ambao wamepewa neema ya wokovu na kumjua Kristo, wamekuwa wakikusanyika Jumapili kwa sababu kanisa lilianza baada ya Yesu kufufuka.

Neno linasema, “Ikawa jioni, siku ya kwanza ya juma, pale walipokuwapo wanafunzi, milango imefungwa kwa hofu ya Wayahudi; akaja Yesu, akasimama katikati, akawaambia, Amani iwe kwenu. Basi Yesu akawaambia tena, Amani iwe kwanu; k**a Baba alivyonituma mim, mimi nami nawapeleka ninyi. Naye akiisha kusema hayo, akawavuvia, akawaambia, Pokeeni Roho Mtakatifu” (Yohana 20:19; 21—22).

Siku hii ya kwanza (Jumapili) ndiyo siku ambayo Yesu alifufuka na ndiyo siku aliyowavuvia wanafunzi wake wakapokea Roho Mtakatifu. Kwa sababu hii, wengine wamekuwa wakikusanyika siku ya Jumapili.

Lakini kitu cha msingi kuliko vyote ni kuelewa kwamba kuabudu halisi siyo Jumapili wala Jumamosi. K**a tulivyoona, waabuduo halisi wanaabudu katika Roho na Kweli. Ukiwa na hivi viwili, utaweza kumuabudu Mungu k**a Mungu anavyotaka kuabudiwa. Ukiwa huna hivi, utamuabudu kwa kufuata mapokeo ya dini (ya wanadamu).

Mtu anaweza kuwa anakusanyika na wenzake Jumamosi au Jumapili na mwisho wa siku bado akaenda jehanum. Hivyo ni muhimu kuelewa kuwa uhalisia wa mahusiano yako na Mungu hautegemei siku ipi unayoenda “kusali.”

Unaweza kuishika sabato, unaweza kuacha kula vyakula fulani k**a Mungu alivyoagiza wana wa Israeli lakini fahamu kuwa wokovu wako haupo katika hivyo. Wokovu wako unategemea na imani yako kwa Kristo. Tunaokolewa kwa neema na ni kipawa kinachotoka kwa Mungu (Waefeso 2:8).

Yesu alisema wanaoingia katika ufalme wa mbinguni ni wale wanaoyatenda mapenzi ya Mungu (Mathayo 7:21). K**a huyatendi mapenzi ya Mungu, haijalishi unaishika Sabato au huishiki; haijalishi unasali lini mwisho ni ghadhabu ya Mungu.

Waandishi na Mafarisayo, walijitahidi sana kuishika torati ya Musa na kuishika sabato lakini pia ndio hao Yesu aliwaambia wanawafungia watu kuingia katika ufalme wa Mungu na ndio hao wanawafanya watu kuwa wana wa jehanum mara mbili zaidi yao wenyewe (Mathayo 23:13,15).

Ndio maana ni hatari sana kushika mapokeo ya dini lakini kiukweli moyoni huna pendo la Mungu ndani yako. Mwana—sheria alipomjaribu Yesu kwa kumuuliza amri kuu “katika torati” ni ipi, Biblia inasema:

“Akawaambia, Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa akili zako zote. Hii ndiyo amri iliyo kuu, tena ni ya kwanza. Na ya pili yafanana nayo, nayo ni hii, Mpende jirani yako k**a nafsi yako. Katika amri hizi mbili hutegemea torati yote na manabii” (Mathayo 22:37—40).

Watu wa dini walipata shida na Yesu kwani waliona anaitangua torati na haishiki sabato. “Basi baadhi ya Mafarisayo wakasema, Mtu huyo hakutoka kwa Mungu, kwa sababu haishiki sabato” (Yohana 9:16a).

Katika kitabu cha matendo ya mitume, tumeona kuwa “madhehebu ya Mafarisayo” ndiyo walikuwa wanasema watu wanatakiwa kuishika torati ya Musa. Hivyo kwa wao, waliona k**a Yesu “anaivunja torati.”

Hata sasa “madhehebu ya Mafarisayo” yapo na wao wanachoangalia k**a wewe ni wa Mungu au sio ni kuishika sabato na torati ya Musa. Sasa unaweza kuelewa kwa nini watu wengine ukikutana nao swali la kwanza atakuuliza ni hili: “unasali siku gani” au “siku sahihi ya kusali/kuabudu ni ipi?”

Kuna watu wanaamua wewe ni wa Mungu au siyo kutokana na siku unayoenda kusali. Hili dhehebu lilianza na mafarisayo wakati wa Yesu.

Kumbuka Yesu ambaye ndiye Bwana wa Sabato hakuja kuitangua torati wala manabii bali kutimiliza (Mathayo 5:17). Watu wa mataifa wakiamua kuishika torati ya Musa na sabato wanaweza lakini hii haiwafanyi “kuwa wana wa Israeli” na kuwa sehemu ya “agano la milele” ambalo Mungu alimwambia Musa.

Hivyo ndugu mpendwa, hakikisha una nafasi katika ufalme wa Mungu. Tafuta kujua nafasi yako ndani ya Kristo na una nguvu ya “kujiingiza katika ufalme wa Mungu.” “Torati na manabii vilikuwapo mpaka Yohana; tangu wakati huo habari njema ya ufalme wa Mungu hutangazwa, na kila mtu hujiingiza kwa nguvu” (Luka 16:16).

Mungu haabudiwi Jumamosi au Jumamosi, bali anaabudiwa katika Roho na Kweli. Kuna watu wengi sana wanakusanyika Jumamosi au Jumamosi lakini wanaishi maisha ya dhambi na ndani ya mioyo yao wamejaa uovu. Watu hawa hawamwabudu Mungu.

Kuna mambo ambayo Biblia inasema kanisa lazima liyashike. Hakikisha umeyashika hayo. Ila unaruhusiwa kuishika torati ya Musa aliyopewa kwa ajili ya wana wa Israeli (sheria zote 613). Ila hutahesabiwa haki kwa kuwa chini ya sheria bali tunaishi kwa imani.

Neno linasema, “kwa maana wale wote walio wa matendo ya sheria, wako chini ya laana; kwa maana imeandikwa, Amelaaniwa kila mtu asiyedumu katika yote yaliyoandikwa katika kitabu cha torati, ayafanye. Ni dhahiri ya kwamba hakuna mtu ahesabiwaye haki mbele za Mungu katika sheria; kwa sababu Mwenye haki ataishi kwa imani. Na torati haikuja kwa imani, bali, Ayatendaye hayo ataishi katika hayo” (Wagalatia 3:10—12).

Ukiendelea neno linasema, “Kristo alitukomboa katika laana ya torati, kwa kuwa alifanywa laana kwa ajili yetu; maana imeandikwa, Amelaaniwa kila mtu aangikwaye juu ya mti” (Wagalatia 3:13). Kwa hiyo anayechagua kuwa chini ya torati na kuhesabiwa haki kwa matendo ya sheria yuko chini ya laana na hawezi “kuishi kwa imani.”

Je! Wewe sabato yako ipo katika siku (Jumamosi) au ipo katika Kristo (Bwana wa Sabato)? Je! Unaishi kwa imani au chini ya matendo ya sheria?

Ubarikiwe,

06/06/2018

THE WORD OF GOD IS GOD

In the beginning was the Word, and the Word was with God, and the Word was God (John 1:1).

One of the extraordinary ways the Lord manifests Himself is in and through the Word. The Word of God created the universe. The Word of God is life. The Word of God is power. The Word of God is light. The Word of God is truth. The Word of God is God. Where the Word of God is, God is!

The Word of God isn’t like the word of a man. Centering your mind on the Word is centering your mind on God. The Bible says He keeps in perfect peace—peace of prosperity—the one whose mind is stayed on Him (Isaiah 26:3). The way to stay your mind on Him is meditating on the Word.

The Holy Spirit never does anything without the Word. For example, in Genesis chapter one, we read that in the beginning, God created the heaven and the earth. But the earth was without form and was empty and covered with darkness. Then the Spirit of God moved over the face of the waters, but nothing changed. The earth was still a chaotic mass until God said, “Let there be light” and light became. The Spirit of God caused the light to manifest. He acted on the Word. Until the Word is given, the Spirit does nothing.

Don’t ignore the Word; some Christians ignore the Word, and that’s so unwise. What you need for your next level or that miracle and promotion you so desire; what you need to prevail in any crisis and live victoriously every day, is the Word.

When you face challenges, when things get tough and rough, keep your confidence in the Word. Refuse to compromise. Get radical with your faith-affirmation and confession of the Word. As you speak, the Spirit will cause things to happen in accordance with your words, because the Word of God in your mouth is God talking! It’ll always prevail. Glory to God!

PRAYER
Dear heavenly Father, I thank you for the power of your Word in my life. Your Word produces life, light, health, wealth, prosperity, progress, advancement, and all the good things of life in me. My confidence is in your eternal Word, by which I live triumphantly every day, in Jesus’ Name. Amen.

FURTHER STUDY:Isaiah 55:11; John 1:14; Acts 20:32

16/05/2018

You can't look at God's word and your problem at the same time. Seeing is believing, what you believe is what God delivers.

07/05/2018

Katika Mithali 3:1-12 Mungu anatupa ahadi nzuri pale tutakapo zitii amri zake:

Mithali 3:1-12

Amri: 1 Mwanangu, usiisahau sheria yangu, Bali moyo wako uzishike amri zangu.
Ahadi: 2 Maana zitakuongezea wingi wa siku. Na miaka ya uzima, na amani.
Amri: 3 Rehema na kweli zisifarakane nawe; Zifunge shingoni mwako; Ziandike juu ya kibao cha moyo wako.
Ahadi: 4 Ndivyo utakavyopata kibali na akili nzuri, Mbele za Mungu na mbele ya mwanadamu.
Amri: 5 Mtumaini Bwana kwa moyo wako wote, Wala usizitegemee akili zako mwenyewe;
Ahadi: 6 Katika njia zako zote mkiri yeye, Naye atayanyosha mapito yako.
Amri: 7 Usiwe mwenye hekima machoni pako; Mche Bwana, ukajiepushe na uovu.
Ahadi: 8 Itakuwa afya mwilini pako, Na mafuta mifupani mwako.
Amri: 9 Mheshimu Bwana kwa mali yako, Na kwa malimbuko ya mazao yako yote.
Ahadi: 10 Ndipo ghala zako zitakapojazwa kwa wingi, Na mashinikizo yako yatafurika divai mpya.
Amri: 11 Mwanangu, usidharau kuadhibiwa na Bwana, Wala usione ni taabu kurudiwa naye.
Ahadi: 12 Kwa kuwa Bwana ampendaye humrudi, K**a vile baba mwanawe ampendezaye.

WHAT YOU NEED ISN’T A TOUCHTo whom God would make known what is the riches of the glory of this mystery among the Gentil...
25/04/2018

WHAT YOU NEED ISN’T A TOUCH

To whom God would make known what is the riches of the glory of this mystery among the Gentiles; which is Christ in you, the hope of glory (Colossians 1:27).

Some Christians unknowingly still live their lives on the basis of the revelations in the Old Testament. That’s not God’s plan for the new creation. Until and unless such Christians change their mentality, they’ll keep walking outside the glory of God without realizing it.

In the New Testament, you’ll never find the kind of things that some teach or practise in the Church today. For instance, someone desires a change in his life and says, “I just need a touch from God,” or “I’m praying that God will touch me.” These statements may sound nice and religious, but they don’t convey or express new creation realities. It does, however, explain why such people merely experience the glory occasionally in their lives, if they do at all, whereas, they ought to be basking in it.

Why ask for a “touch” from the Spirit when He lives in you in His fullness? Our opening verse says Christ in you, the hope of glory. The one you’re asking a touch from is mingled with your spirit; you’re one with Him: “But he that is joined unto the Lord is one spirit” (1 Corinthians 6:17). What you need isn’t a touch, but to be filled with the Spirit always, and the scripture shows us how in Ephesians 5:18-21 (study entire reference).

Christ is in you, and Christ is everything. You have the fullness of the Spirit. You’re replete with God. The Bible says you’re complete in Him, who is the head of all principality and power (Colossians 2:10). This is the revelation of Christianity. How much touch do you expect to get from someone who already dwells in you? His hands are in your hands, and His legs are in your legs. He sees through your eyes. You’re His living tabernacle. Glory to God!

Don’t major on the minors, thereby minimizing what God has maximized. Paul said, “When I was a child, I spake as a child, I understood as a child, I thought as a child: but when I became a man, I put away childish things” (1 Corinthians 13:11). Don’t ask for a touch. The Holy Ghost wasn’t sent to be beside you and touch you from time to time; He lives in you forever. Hallelujah!

PRAYER
Dear Father, I thank you for granting me an understanding of the transcendent life in Christ. I see with, and live by your Word, and your glory is revealed in, and through me by the Holy Spirit, who lives in me, in Jesus’ Name. Amen.

FURTHER STUDY:John 3:34; John 14:16-18; Ephesians 5:18-21

Get the most out of your social and online marketing efforts. Own, understand and activate your best audience through the power of the link with Bitly Enterprise.

24/04/2018

Luka 18:27
Yesu akajibu, "Yasiyowezekana kwa wanadamu kwa Mungu yawezekana."

Luke 18:27
But he said, "The things which are impossible with men are possible with God."

23/04/2018

“Jesus said, ‘Come, all you who are poor!’ Say to the Lord, ‘I have come, Lord Jesus, by Your order. Deliver me from this hardship! Deliver me from this setback! In the mighty name of Jesus Christ!”

23/04/2018

God never sends you into a situation alone. He goes before you, He stands beside you and He walks behind you. Whatever situation you have right now, be confident, God is with you! Comment Amen

23/04/2018

"Jesus Christ said, ‘Come unto Me all you who are sick!’ Say to the Lord, ‘I have come. Loose me from this infirmity. Loose me from this sickness. Loose me from this disease.’ Be loosed, in the name of Jesus Christ!"

HALLOW YOUR DAYAnd God blessed the seventh day, and sanctified it: because that in it he had rested from all his work wh...
10/04/2018

HALLOW YOUR DAY

And God blessed the seventh day, and sanctified it: because that in it he had rested from all his work which God created and made (Genesis 2:3).

Are you aware that you’re supposed to have a great day, every day? Sure! It’s God’s will for you to enjoy life every day. Every day for you should be a day of joy, a day of blessings, a day of thanksgiving and rejoicing.

Refuse to complain and gripe about your day. Don’t declare, “I’m having such a bad day.” Refuse to curse your day. Take a cue from the Lord. The Bible says He “...blessed the seventh day, and sanctified it...” (Genesis 2:3).

Make the best of your today; hallow your day. In other words, bless your day and tell it what it’ll produce for you. Psalm 68:19 says, “Blessed be the Lord, who daily loadeth us with benefits, even the God of our salvation. Selah.” Think about that! There’re blessings and benefits for you every day; expect them and speak them forth! Say, “Father, I thank you, for I receive all the favours and benefits you’ve ordained for me today. The lines are fallen unto me in pleasant places, and the land is subdued before me, in Jesus’ Name.”

Before you leave home, speak peace and productivity to your day; declare that the Spirit of God would lead you to the right places at the right time, to fulfil God’s will. Declare that He’ll bring divine opportunities your way, and you’re able to recognize and maximize each one of them.

Even now, say, “My day is blessed! I walk in the supernatural, and manifest the righteousness of God today. I walk worthy of the Lord this day, pleasing Him in every way, bearing fruits in every good work, and increasing in the knowledge of Him!” Hallelujah!

PRAYER
I’m anointed of God to bless. Therefore, I speak blessings to my day; I experience favours, kindness, prosperity, and productivity today. The good Word of the Lord is fulfilled in me today, and every step I take is a step of blessing. I’m blessed, and everywhere my name is called, it’s for increase and promotion, in the Name of the Lord Jesus. Amen.

FURTHER STUDY:Psalm 68:19 CEV; Lamentations 3:22-23

Get the most out of your social and online marketing efforts. Own, understand and activate your best audience through the power of the link with Bitly Enterprise.

Address

Moshi, Kilimanjaro
Moshi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jesus Christ Representative Ministry - JCRM posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Jesus Christ Representative Ministry - JCRM:

Share