Greater Glory Church - GGC

Greater Glory Church - GGC GREATER GLORY CHURCH (GGC) FOR GREATNESS. WHERE YOU CAN WORSHIP GOD IN SPIRIT AND TRUTH.

UMOJA NI NGUVU:BAADHI YA WAANGALIZI WA MAKANISA YA KIPENTEKOSTE KILIMANJARO.  PAMOJA NA KULA NA KUNYWA NA KUSHIRIKISHANA...
12/05/2026

UMOJA NI NGUVU:
BAADHI YA WAANGALIZI WA MAKANISA YA KIPENTEKOSTE KILIMANJARO. PAMOJA NA KULA NA KUNYWA NA KUSHIRIKISHANA UZOEFU WA KAZI YA MUNGU. TULIPATA NAFASI YA KUJIFUNZA NENO, TUKIANGALIA SIFA ZA KIONGOZI. KIONGOZI SIO CHEO, BALI NI TABIA. MKUFUNZI WA VYUO VYA BIBLIA MCHUNGAJI JOHN TU, ALITUFUNDISHA KWA KINA NA ILIKUA NZURI SANA.

WEWE NI MWANZILISHI WA KANISA LA KIROHO? UPO MKOA WA KILIMANJARO? TUWASILIANE.
PIGA SIMU 0620806409
KARIBU KWENYE UMOJA.

09/05/2026

UBATIZO KWA WALIOAMINI, NAKUMPOKEA YESU K**A BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YAO.

LEO TAREHE 8/MAY 2026.

MARKO 16:16 AAMINIE NA KUBATIZWA ATAOKOKA ASIYE AMINI ATAHUKUMIWA.

UBATIZO NI KITENDO CHA KIROHO NA NI AGIZO, MANENO YA MWISHO YA BWANA WETU YESU KRISTO KABLA HAJAPAA ALIWAAMBIA WANAFUNZI WAKE KATIKA MATAYO 28:18-20. AKISEMA AMEWAPA MAMLAKA YOTE, ENENDENI ULIMWENGUNI POTE MKAWAFANYE MATAIFA KUWA WANAFUNZI WANGU NA MKIWABATIZA KWA JINA LA MUNGU BABA, MWANA NA ROHO MTAKATIFU. MKIWAFUNDISHA YOTE MLIOJIFUNZA KWANGU. HAYA NI MAAGIZO YA YESU. BAADA YA KUAMINI NI UBATIZO.

Yn 3:23 SUV
[23] Yohana naye alikuwa akibatiza huko Ainoni, karibu na Salimu, kwa sababu huko kulikuwa na maji tele; na watu wakamwendea, wakabatizwa.

Mdo 2:37-38 SUV
[37] Walipoyasikia haya wakachomwa mioyo yao, wakamwambia Petro na mitume wengine, Tutendeje, ndugu zetu? [38] Petro akawaambia, Tubuni mkabatizwe kila mmoja kwa jina lake Yesu Kristo, mpate ondoleo la dhambi zenu, nanyi mtapokea kipawa cha Roho Mtakatifu.

UNAYO NAFASI KABISA YA KUIAMINI INJILI YA BWANA WETU YESU KRISTO, KUFANYA TOBA YA KWELI AMBAYO NI KUGEUKA BAADA YA KUAMINI. NA UKABATIZWA. USIFANYE MOYO WAKO KUA MGUMU. MWAMINI YESU NA KUPOKEA NEEMA YA WOKOVU LEO AMEEN.

GREATER GLORY CHURCH [GGC]
SOWETO KHAMBAITA BARABARA YA MASHINE KILIMANJARO-MOSHI.

MAWASILIANO: 0620 806 409 / 0657982394
BISHOP SEVERIN NA NEEMA KYARUZI.

KARIBU UABUDU PAMOJA NASI KILA JUMAPILI, IBADA KUU INAANZA SAA TATU KAMILI ASUBUHI MPAKA SAA SABA MCHANA.

KANISA KWETU NI FAMILIA.

NENO LA LEO:Omb 3:22-26 SUV[22]  Ni huruma za BWANA kwamba hatuangamii, Kwa kuwa rehema zake hazikomi. [23]  Ni mpya kil...
23/04/2026

NENO LA LEO:

Omb 3:22-26 SUV
[22] Ni huruma za BWANA kwamba hatuangamii, Kwa kuwa rehema zake hazikomi. [23] Ni mpya kila siku asubuhi; Uaminifu wako ni mkuu. [24] BWANA ndiye fungu langu, husema nafsi yangu, Kwa hiyo nitamtumaini yeye. [25] BWANA ni mwema kwa hao wamngojeao, Kwa hiyo nafsi imtafutayo. [26] Ni vema mtu autarajie wokovu wa BWANA Na kumngojea kwa utulivu.

ENDELEA KUMNGOJA BWANA KWA UTULIVU

BISHOP NEEMA KYARUZI.

KARIBU SANA UJIUNGE NA CHUO KIZURI SANA CHA KIMATAIFA CHA THEOLOGIA.CHUO CHA CALVARY REFORMED BIBLE INSTITUTE KWA TANZAN...
16/04/2026

KARIBU SANA UJIUNGE NA CHUO KIZURI SANA CHA KIMATAIFA CHA THEOLOGIA.

CHUO CHA CALVARY REFORMED BIBLE INSTITUTE KWA TANZANIA MAKAO MAKUU YAKE NI ARUSHA.

UPO MKOA WA KILIMANJARO - MOSHI NA UNATAKA KUSOMA THEOLOGIA KARIBU SANA.
CALVARY REFORMED BIBLE INSTITUTE KILIMANJARO - MOSHI CAMPUS IPO GREATER GLORY CHURCH [GGC]
KARIBU UJIUNGE NA MASOMO.

MUHULA MPYA WA MASOMO UNAANZA JULY/2026 KARIBU UJIUNGE SASA NA CHUO. NGAZI UNAYOITAKA KWANZIA NGAZI YA CHETI, DIPLOMA, DEGREE, MASTERS, DOCTORATE OF THEOLOGY.

KARIBU UJIUNGE NA CHUO KWA WEWE UNAYE TAKA KUNOA WITO WAKO NA UTUMISHI WAKO NA MUNGU AKUBARIKI SANA.

MAWASILIANO 0657982394 / 0620806409

CALVARY REFORMED BIBLE INSTITUTE
COUNTRY COORDINATOR.

BISHOP NEEMA KYARUZI.

NENO LA LEO:Warumi 16:17-20 SRUV[17]  Ndugu zangu, nawasihi, waangalieni wale wafanyao fitina na mambo ya kukwaza kinyum...
08/04/2026

NENO LA LEO:

Warumi 16:17-20 SRUV
[17] Ndugu zangu, nawasihi, waangalieni wale wafanyao fitina na mambo ya kukwaza kinyume cha mafundisho mliyojifunza; mkajiepushe nao. [18] Kwa sababu walio hivyo hawamtumikii Bwana wetu Kristo, bali matumbo yao wenyewe; na kwa maneno laini na ya kujipendekeza waidanganya mioyo ya watu wanyofu. [19] Maana utii wenu umewafikia watu wote; basi nafurahi kwa ajili yenu, lakini nataka ninyi kuwa wenye hekima katika mambo mema, na wasio na hatia katika mambo mabaya. [20] Naye Mungu wa amani atamponda Shetani chini ya miguu yenu upesi. Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo na iwe pamoja nanyi. [Amina.]

BISHOP SEVERIN NA NEEMA KYARUZI
GREATER GLORY CHURCH [GGC]
SOWETO KHAMBAITA BARABARA YA MASHINE KILIMANJARO-MOSHI.

NENO LA LEO:Warumi 16:1-4, 16 SRUV[1] Namkabidhi kwenu Fibi, dada yetu, aliye mhudumu wa kanisa lililoko Kenkrea; [2] il...
07/04/2026

NENO LA LEO:

Warumi 16:1-4, 16 SRUV
[1] Namkabidhi kwenu Fibi, dada yetu, aliye mhudumu wa kanisa lililoko Kenkrea; [2] ili mmpokee katika Bwana, k**a iwapasavyo watakatifu; mkamsaidie katika neno lolote atakalohitaji kwenu; kwa sababu yeye naye amekuwa msaidizi wa watu wengi, akanisaidia mimi pia. [3] Nisalimieni Priska na Akila, watenda kazi pamoja nami katika Kristo Yesu; [4] waliokuwa tayari hata kukatwa kichwa kwa ajili ya maisha yangu; ambao ninawashukuru, wala si mimi tu, ila na makanisa ya Mataifa yote pia; nisalimieni na kanisa lililomo katika nyumba yao.
[16] Salimianeni kwa busu takatifu. Makanisa yote ya Kristo yawasalimu.

BISHOP SEVERIN NA NEEMA KYARUZI.
GREATER GLORY CHURCH [GGC]
SOWETO KHAMBAITA BARABARA YA MASHINE KILIMANJARO-MOSHI.

TUNA WASALIMU KWA BUSU TAKATIFU. ✋️ 👐

HERI YA PASAKA 2026YESU AMEFUFUKA KWELI KWELI HALELUYA: Isaya 53:10-12 SRUV[10]  Lakini BWANA aliridhika kumchubua; Amem...
06/04/2026

HERI YA PASAKA 2026

YESU AMEFUFUKA KWELI KWELI HALELUYA: Isaya 53:10-12 SRUV
[10] Lakini BWANA aliridhika kumchubua; Amemhuzunisha; Utakapofanya nafsi yake kuwa dhabihu kwa dhambi, Ataona uzao wake, ataishi siku nyingi, Na mapenzi ya BWANA yatafanikiwa mkononi mwake; [11] Ataona mazao ya taabu ya nafsi yake, na kuridhika. Kwa maarifa yake mtumishi wangu mwenye haki Atawafanya wengi kuwa wenye haki; Naye atayachukua maovu yao. [12] Kwa hiyo nitamgawia sehemu pamoja na wakuu, Naye atagawana nyara pamoja nao walio hodari; Kwa sababu alimwaga nafsi yake hata kufa, Akahesabiwa pamoja na hao wakosao. Walakini alichukua dhambi za watu wengi, Na kuwaombea wakosaji.

BISHOP SEVERIN NA NEEMA KYARUZI.
GREATER GLORY CHURCH [GGC]
SOWETO KHAMBAITA BARABARA YA MASHINE KILIMANJARO-MOSHI.

31/03/2026

UPO MKOA WA KILIMANJARO / ARUSHA
IJUMAA HII, IJUMAA KUU.
WACHUNGAJI, WATUMISHI WOOTE WA MUNGU KARIBUNI.

MINISTERS & CHURCH LEADERS CONFERENCE

Theme: REFUSING TO QUIT 2026
(Galatians 6:9)

A powerful gathering designed to encourage, strengthen, and equip pastors and church leaders to remain faithful in the calling of God.

Guest Speakers:
• Dr. Kemba J. Lucas (USA)
• Antara Haggins (USA)

📅 Date: April 3rd, 2026
⏰ Time: 9:00 AM – 4:00 PM

🍽 Meals and drinks will be provided

📍 Venue: Greater Glory Church
Soweto Khambaita, Mashine Road
Kilimanjaro – Moshi

Hosted by:
• Calvary Reformed Bible Institute (CRBI)
• Greater Glory Church (G.G.C)
• Agape Tabernacle World Outreach Ministries (ATWOM – USA)

📞 Contacts:
0763 723 470 / 0620 806 409

MKUTANO WA WACHUNGAJI NA VIONGOZI WA KANISA

KAULI MBIU:KUKATAA KUKATA TAMAA 2026
(Wagalatia 6:9)

Mkutano maalum wa kuwatia moyo, kuwaimarisha, na kuwawezesha wachungaji na viongozi wa kanisa kudumu kwa uaminifu katika wito wa Mungu.

Wageni Wazungumzaji:
• Dr. Kemba J. Lucas (Marekani)
• Antara Haggins (Marekani)

📅 Tarehe: 3 Aprili 2026
⏰ Muda: Saa 3 Asubuhi – Saa 10 Jioni

🍽 Chakula na vinywaji vitakuwepo

📍 Mahali: Greater Glory Church
Soweto Khambaita, Barabara ya Mashine
Kilimanjaro – Moshi

Waandaaji:
• Calvary Reformed Bible Institute (CRBI)
• Greater Glory Church (G.G.C)
• Agape Tabernacle World Outreach Ministries
(ATWOM – USA)

📞 Mawasiliano:
0763 723 470 / 0620 806 409

26/03/2026

MKUTANO WA WACHUNGAJI NA VIONGOZI WA KANISA

KAULI MBIU:
KUKATAA KUKATA TAMAA 2026
(Wagalatia 6:9)

Mkutano maalum wa kuwatia moyo, kuwaimarisha, na kuwawezesha wachungaji na viongozi wa kanisa kudumu kwa uaminifu katika wito wa Mungu.

Wageni Wazungumzaji:
• Dr. Kemba J. Lucas (Marekani)
• Antara Haggins (Marekani)

📅 Tarehe: 3 Aprili 2026
⏰ Muda: Saa 3 Asubuhi – Saa 10 Jioni

🍽 Chakula na vinywaji vitakuwepo

📍 MAHALI: GREATER GLORY CHURCH (GGC)
Soweto Khambaita, Barabara ya Mashine
Kilimanjaro – Moshi

WAANDAAJI:
• Calvary Reformed Bible Institute (CRBI)
• Greater Glory Church (G.G.C)
• Agape Tabernacle World Outreach Ministries
(ATWOM – USA)

📞 *Mawasiliano:*
0763 723 470 / 0620 806 409 / 0657982394

BISHOP SEVERIN NA NEEMA KYARUZI

24/03/2026

NENO LA LEO:

MSHUKURU MUNGU KWA KILA JAMBO, MAANA HAYO NI MAPENZI YAKE.

MSHUKURU MUNGU AMEKUPA KUIONA SIKU YA LEO. MSHUKURU MUNGU KWA ULINZI WAKE KWAKO. MSHUKURU MUNGU HATA KWA YALE BADO HAJAKUTENDEA.

MUNGU NI MWAMINIFU, NA UAMINIFU WA MUNGU NI KIZAZI BAADA YA KIZAZI HALELUYA.

GREATER GLORY CHURCH [GGC]
SOWETO KHAMBAITA BARABARA YA MASHINE KILIMANJARO-MOSHI.

MAWASILIANO: 0763723470 / 0657982394

BISHOP SEVERIN NA NEEMA KYARUZI.

NENO LA  LEO:Isaya 55:10-11 SRUV[10]  Maana k**a vile mvua ishukavyo, na theluji, kutoka mbinguni, wala hairudi huko; ba...
23/03/2026

NENO LA LEO:

Isaya 55:10-11 SRUV
[10] Maana k**a vile mvua ishukavyo, na theluji, kutoka mbinguni, wala hairudi huko; bali huinywesha ardhi, na kuizalisha na kuichipuza, ikampa mtu apandaye mbegu, na mtu alaye chakula; [11] ndivyo litakavyokuwa neno langu, litokalo katika kinywa changu; halitanirudia bure, bali litatimiza mapenzi yangu, nalo litafanikiwa katika mambo yale niliyolituma.

NENO LA MUNGU LINAFANIKIWA KWENYE KILA JAMBO, KILA ENEO AMBAPO MUNGU ANALITUMA. AU AMBAPO LINATUMIWA NA KUWEKWA KWENYE MATENDO. MTAJI MKUBWA IKIWA NI IMANI ISIYO YUMBISHWA NA MAZINGIRA ULIYOPO, UNAYOYAPITIA.

WORD WORKS: SHIKA NENO, KUWA MTENDAJI WA NENO.

GREATER GLORY CHURCH [GGC]
SOWETO KHAMBAITA BARABARA YA MASHINE KILIMANJARO-MOSHI.

MAWASILIANO: 0763723470 / 0657982394

BISHOP NEEMA KYARUZI.

Address

Moshi

Telephone

+255763723470

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Greater Glory Church - GGC posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share