Kanisa la Maskani ya Bwana - Moshi

Kanisa la Maskani ya Bwana - Moshi Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Kanisa la Maskani ya Bwana - Moshi, Church, Tulivu Street, Soweto, Kilimanjaro/Tanzania, East Africa, Moshi.

Karibu uungane nasi katika wiki ya maombi ya kufunga na kuomba , mahali ni Soweto Mtaa wa Tulivu kila siku kuanzia saa 1...
09/04/2025

Karibu uungane nasi katika wiki ya maombi ya kufunga na kuomba , mahali ni Soweto Mtaa wa Tulivu kila siku kuanzia saa 10:30 jioni hadi saa 11:30 jioni. Na jumamosi itakua ni saa 8:00 mchana hadi saa 10:00 jioni. Njoo uhudumiwe na Bwana.

IBADA YA MATENDO MAKUU – JUMAPILI HII!Karibu uungane nasi katika Ibada ya Matendo Makuu Jumapili hii, kuanzia saa 8:00 M...
04/04/2025

IBADA YA MATENDO MAKUU – JUMAPILI HII!
Karibu uungane nasi katika Ibada ya Matendo Makuu Jumapili hii, kuanzia saa 8:00 Mchana hadi 11:30 Jioni, katika Kanisa la Maskani ya Bwana Soweto, Mtaa wa Tulivu – Moshi.
Hii si ibada ya kawaida, bali ni wakati wa kipekee kuona uweza na utukufu wa Mungu ukidhihirika kwa nguvu!
Unahitaji mguso wa kipekee kutoka kwa Mungu?
Unatamani kuona mabadiliko ya kweli katika maisha yako?
Unasikia kiu ya kiroho, uponyaji, faraja, na kuinuliwa?
Basi hii ni ibada yako!
Njoo pamoja na familia na rafiki zako – shuhudia matendo ya miujiza, ibada yenye nguvu, Neno la Mungu lenye uzima, na uwepo wa Mungu wa ajabu.
Mahali: Kanisa la Maskani ya Bwana – Soweto, Mtaa wa Tulivu, Moshi
Siku: Jumapili hii
Muda: Saa 8:00 Mchana hadi 11:30 Jioni
“Kwa maana yeye aliyeahidi ni mwaminifu.” – Waebrania 10:23
Usikose – kuna jambo la kipekee Mungu amekuandalia. Karibu ujionee MATENDO MAKUU ya Mungu kwa macho yako!

Tunakukaribisha sana katika ibada hii maalumu, njoo ukutane na Bwana maswali uliyo nayo yapate kujibiwa.
30/01/2025

Tunakukaribisha sana katika ibada hii maalumu, njoo ukutane na Bwana maswali uliyo nayo yapate kujibiwa.

Verse of the day... Jiungamanishe na Mungu aliye hai ili ishara na uponyaji viambatane nawe...
11/03/2024

Verse of the day... Jiungamanishe na Mungu aliye hai ili ishara na uponyaji viambatane nawe...

Happy Women's Day
08/03/2024

Happy Women's Day

05/03/2024

23/02/2024

Masaa Machache yamebaki kuanza mkesha wetu. Mtu wa Mungu usipange kukosa tafadhali, Mungu ana kusudi na wewe usiku wa Leo... Mpe nafasi ya kukutana na Maisha yako usiku wa Leo akuhudumie kupitia watumishi wake aliowapaka Mafuta

Usipange Kukosa mtu wa Mungu…
20/02/2024

Usipange Kukosa mtu wa Mungu…

Onjeni mwone ya kuwa Bwana yu mwema; Heri mtu yule anayemtumaini. Zaburi 34:8
18/02/2024

Onjeni mwone ya kuwa Bwana yu mwema; Heri mtu yule anayemtumaini.
Zaburi 34:8

Ufunuo 21:3
13/02/2024

Ufunuo 21:3

25/03/2020

Tunatoa wito kwa kila aliyemwamini Yesu Kristo kuendelea kuliitia jina la Bwana. Kila atakayetii na kuendelea kuliitia jina la Bwana, Mungu atamuokoa na kumwondoa katika maangamizo.

Na itakuwa kila atakayeliitia jina la Bwana ataokolewa.Matendo ya Mitume 2:21

kwa kuwa, Kila atakayeliitia Jina la Bwana ataokoka.Warumi 10:13

Address

Tulivu Street, Soweto, Kilimanjaro/Tanzania, East Africa
Moshi
25114

Telephone

+255715668422

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kanisa la Maskani ya Bwana - Moshi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category