God’s Mercy Christian Centre

God’s Mercy Christian Centre Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from God’s Mercy Christian Centre, Church of Christ, Kiboriloni-kwa Kisaringo, Moshi.

We believe Jesus is God created heaven and earth,We believe biblical way to eternal life,We are teaching the word of Jesus Christ,We are bringing others to Jesus Christ Christ,We preach good news of Gospel to every creature.

06/10/2025

Sema kitu na Kocha wa Yanga?

Imedhaminiwa na .co.tz

Waefeso 5:22-25Enyi wake, watiini waume zenu k**a kumtii Bwana wetu. Kwa maana mume ni kichwa cha mkewe, k**a Kristo nay...
07/10/2024

Waefeso 5:22-25
Enyi wake, watiini waume zenu k**a kumtii Bwana wetu. Kwa maana mume ni kichwa cha mkewe, k**a Kristo naye ni kichwa cha Kanisa; naye ni mwokozi wa mwili.Lakini k**a vile Kanisa limtiivyo Kristo vivyo hivyo wake nao wawatii waume zao katika kila jambo.Enyi waume, wapendeni wake zenu, k**a Kristo naye alivyolipenda Kanisa, akajitoa kwa ajili yake.

07/10/2024

Waefeso 5:22-25
Enyi wake, watiini waume zenu k**a kumtii Bwana wetu.Kwa maana mume ni kichwa cha mkewe, k**a Kristo naye ni kichwa cha Kanisa; naye ni mwokozi wa mwili.Lakini k**a vile Kanisa limtiivyo Kristo vivyo hivyo wake nao wawatii waume zao katika kila jambo.Enyi waume, wapendeni wake zenu, k**a Kristo naye alivyolipenda Kanisa, akajitoa kwa ajili yake.

Just JESUS
24/08/2024

Just JESUS

Congratulations father in Christ for you hold of instruction, you didn’t let her go.
09/02/2023

Congratulations father in Christ for you hold of instruction, you didn’t let her go.

2022:Mwaka  wa mafanikio -Songa mbele  maishani (Kutoka 14:15)BWANA akamwambia Musa, Mbona unanililia mimi? Waambie wana...
09/05/2022

2022:Mwaka wa mafanikio
-Songa mbele maishani (Kutoka 14:15)BWANA akamwambia Musa, Mbona unanililia mimi? Waambie wana wa Israeli waendelee mbele.

•Haya ni mambo yaliyowatokea wana wa Israeli na mara nyingi hutokea na sisi katika maisha yetu.

•Kuna muda wa kuomba na kuna mda wa kutokuomba(yaani muda wa kusonga mbele)
•Ubao mdogo unaweza ukaizuia Treni iliyoacha kusonga mbele ila Treni inayokwenda inaweza kubomoa ukuta imara wa matofali,Hivyo:-
-watu walio katika mwendo huzalisha upenyo
ndani yao wenyewe,husababisha upenyo
katika mazingira yao.Upako wa mafanikio
upo katika maisha ya watu wanaosonga
mbele
•Kuna vitu vilikuwa vinatokea ukianza kuomba,mambo yalikuwa yanafunguka lakini leo ni k**a milango imefunga kwa sababu:-
-Umeacha kuomba
-Umeacha kumtumikia Mungu
-Umeacha kuvuna nafsi
-Umeacha kumsifu Mungu na kumwabudu

•Mtu wa Mungu SONGA MBELE
-Inuka katika maombi na matoleo
-Pambana na roho ya uvuvi
-Hudhuria vipindi vya kuboresha ndoa na
familia
-Katika maneno yako kiri ushindi Isaya
49:1-2,Mithali 6:2
-Maombi ya vita (Zab 68:1)

Kwa ushauri,maombi na maombezi piga namba
📞+255 69 204 2621
📞+255 762 009 010
Mch.Emmanuel Elia

Mwaka 2022{mwaka wa  mafanikio} Zaburi 118:25 Ee BWANA, utuokoe, twakusihi; Ee BWANA, UTUFANIKISHE twakusihi. G.M.C.C(Go...
16/01/2022

Mwaka 2022{mwaka wa mafanikio} Zaburi 118:25 Ee BWANA, utuokoe, twakusihi; Ee BWANA, UTUFANIKISHE twakusihi.
G.M.C.C(God is Mercy Christian Center)

26/07/2021

Kwa neema ya Mungu mmekuwa kumbukumbu ya baraka kwa kanisa la GMCC,Hongereni sana,haikuwa rahisi ni mkono wa Bwana.Waebrania 13:4Ndoa na iheshimiwe na watu wote, na malazi yawe safi; kwa maana waasherati na wazinzi Mungu atawahukumia adhabu.Mungu kakusudia kuwapa mafuta ya furaha badala ya maombolezo Isaya 61:3.

Nafsi ni msijara,ni  sehemu ya kusajili  vitu. Zaburi 119:11,Wakolosai 3:16.Nafsi  imebeba vitu  3   (1)Nia.Warumi 12:2 ...
27/06/2021

Nafsi ni msijara,ni sehemu ya kusajili vitu. Zaburi 119:11,Wakolosai 3:16.
Nafsi imebeba vitu 3
(1)Nia.Warumi 12:2
(2)Utashi. Yoshua 24:15
(3)Hisia. Kumb 11:16
Angalizo:shetani huingiza mapando yake kwenye nafsi ya mtu kupitia Tamaa,moyo,ndoto mbaya,kutazama na kuskiliza Mizuki na filamu za kidunia,Nafsi 2 au zaidi kufungana -2 Wakorintho 6:14 ,1 Wakorintho 6:16

Hebrews 11:6 But without faith it is impossible to please him: for he that cometh to God must believe that he is, and th...
29/05/2021

Hebrews 11:6 But without faith it is impossible to please him: for he that cometh to God must believe that he is, and that he is a rewarder of them that diligently seek him. Lakini pasipo imani haiwezekani kumpendeza; kwa maana mtu amwendeaye Mungu lazima aamini kwamba yeye yuko, na kwamba huwapa thawabu wale wamtafutao.

29/05/2021
Kanisa la GMCC lililoko mkabala na uwanja wa mashujaa-Mashujaa hall,linakukaribisha kwenye ibada ya shukrani jumapili  t...
29/05/2021

Kanisa la GMCC lililoko mkabala na uwanja wa mashujaa-Mashujaa hall,linakukaribisha kwenye ibada ya shukrani jumapili tarehe 30/05/2021.Njoo tumshukuru Mungu pamoja kwa yote aliyofanya hadi kufikia nusu ya mwaka.Usipange kukosa,njoo na mwenzako

Address

Kiboriloni-kwa Kisaringo
Moshi
25113

Opening Hours

Monday 06:00 - 07:00
Tuesday 06:00 - 07:00
16:30 - 18:00
Wednesday 06:00 - 07:00
16:30 - 18:00
Thursday 06:00 - 07:00
Friday 06:00 - 07:00
Sunday 09:00 - 12:00

Telephone

+255692042621

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when God’s Mercy Christian Centre posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to God’s Mercy Christian Centre:

Share