28/07/2026
Tunamshukuru Mungu kwa maisha yake, huduma yake ya uaminifu, na mchango wake mkubwa katika Kanisa. Kumbukumbu zake zitaendelea kuishi mioyoni mwetu. Bwana alitoa, Bwana ametwaa; jina la Bwana lihimidiwe. Pumzika kwa amani, mtumishi mwema wa Kristo. 🕊️🤍
.
.