Karismatiki Katoliki

Karismatiki Katoliki POKEENI ROHO MTAKATIFU, (YOHANE 20:22b)

30/12/2024
11/09/2024

Tumsifu Yesu Kristo. Karibuni katika kundi la Whatsapp, ili kukua kiroho zaidi, katika maisha ya sala, maombi na Maandiko Matakatifu, na Maadili mema. Tuma ujumbe kwa Whatsapp na ujitambulishe unatoka Parokia gani au Jimbo. +255746264016

06/03/2024

*KUGEUZWA KUWA MTU MWINGINE*

DAY 19: *MBUZI KUWA KONDOO...*

Mwl Triple J

"...Mataifa Yote Watakusanyika Mbele Zake; Naye Atawabagua K**a Vile MCHUNGAJI Abaguavyo KONDOO na MBUZI; *atawaweka KONDOO Mkono Wake wa KUUME, na MBUZI Mkono Wake wa KUSHOTO."*
(Mathayo 25:32-33)
..Kwa Wachungaji Wanajua Ukitoa Ng'ombe, Basi Kundi *Jingine Kubwa la Wanyama ni KONDOO na MBUZI*
..Kiukweli, Hakuna KAZI Ngumu K**a Kuchunga MBUZI, *Heri Upewe KONDOO 1000 Kuliko Kupewa MBUZI 10!*

*SIFA 5 ZA MBUZI...*
-Hawasikii
-Wasumbufu
-Hawatulii Sehemu Moja
-Hawafati Maelekezo
-Walafi Sana

*SIFA KUU 3 ZA KONDOO...*
-Wasikifu
-Watulivu na Wapole
-Wafuasi wa Mchungaji Wao
..Ndivyo Hata Kanisa, Limejaa Watu Wa Aina Mbili, *Wale Yesu Anawaita KONDOO na Wengine ni MBUZI*

I). *WATU AINA YA KONDOO...*
-Wasikivu kwa Mchungaji Wao (Yesu)
-Watiifu Kwa Mchungaji
-Wanafata Kile Neno Limesema
-Sio Wakaidi Katika Neno
-Sio Walafi Wala Wakorofi
-Wanaogozwa na Neno, Hawajiogozi Wenyewe
-Wapole na Wanyenyekevu
-Wanajulikana kwa Mungu
-Wanawajali Wengine hasa Wagonjwa, Wafungwa n k

ii). *WATU AINA YA MBUZI...*
-Hawasikii Chochote Kuhusu Mchungaji Wao
-Walafi Kupitia Kiasi
-Hawatulii Na Mke/Mme Mmoja
-Wanahudhuria Semina, Jumuiya na Kanisani Lakini Hawana badiliko Lolote!
-Hawako Tayari Kuwasaidia Wengine Hasa Wahitaji
-Leo Utawakuta Kanisa Hili, Kesho Wako Kwa Kanisa Jingine
-Maneno na Matendo Yao Haviendani
-Hawatii Amri Wala Sheria ya Mchungaji Wao (Yesu)
-Wabinafsi Kwa Karama Walizojaliwa
-Wakorofi na Wagomvi

Mungu Asema Wazi...
"KONDOO Wangu WAISIKIA SAUTI Yangu; *Nami NAWAJUA, Nao WANIFUATA."*
(Yoh 10:17)

*JIULIZE MWENYEWE...*
-Wewe ni Msikifu ?
-Wewe Mungu Anakujua?
-Wewe ni Mfuasi wa Kweli?

K**a Jibu ni NDIO Basi Wewe ni KONDOO, *K**a Jibu ni HAPANA Tambua Wewe ni MBUZI-MTU!*
..Na MBUZI Mwisho Wao ni Katika MOTO wa MILELE *pale Mungu Atakavyowabagua na Kuwatenga!*

"...Atawaweka KONDOO Mkono wake wa KUUME, *na MBUZI Mkono wake wa KUSHOTO."* (Math 25:33)
..Kwaresma Ni Muda Wa Mabadiliko.

27/02/2024

I degree what every evil yoke that the enemy has placed in your life be broken in Jesus Name.

26/02/2024

Zaburi 91:11.

Neno lako Mungu linaponya. Unatupa malaika zako watulinde daima na watuongoze. Mungu tunaamini uko upande wetu, tunafunika barabara zote, za angani, ardhini na majini. Tulinde zidi ya huyo muovu ibilisi, hana mamlaka zidi ya usafiri wetu, juu ya familia zetu, juu ya watoto wetu, juu ya viongozi wetu, juu ya watu wote wa Mungu, tunamseta chini ya Msalaba wa Bwana wetu Yesu Kristo ambao ndio Kinga yetu na Wokovu wetu. Amina.

26/02/2024

Mungu awabariki nyote.

26/02/2024

Mungu anakuwazia mema. Amini nawe utabarikiwa.

Address

Moshi

Telephone

+255746264016

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Karismatiki Katoliki posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share