21/03/2022
Tumsifu Yesu Kristo.
Tunapenda kutoa taarifa kwamba kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu tumehamisha shughuli zote zilizokuwa zikiendelea katika ukurasa huu hivyo tutatumia ukurasa mpya unaoitwa Miito Mitakatifu Tanzania.
Karibuni sana.