Christian UNION Tanzania

Christian UNION Tanzania 💒 Ibada za Pamoja
📍Kusifu na Kuabudu
📍Maombi kwa Njia Semina
📌 Kuwa Wamoja k**a Kristo alivyo mmoja

LANGASANI TPC,MSITU WA TEMBO, KIYUNGI,MAGADINI,KAHE,MIKOCHENI,SAMANGA,CHEKERENI,MABOGINI,RAU,NEWLAND,MSEREKIA,MTAKUJA,

11/01/2026

Praise team imesha wasili katika viwanja wa TPC SOCIAL HALL

Usipange kukosa

# THE LOVE OF GOD
UNION MOSHI V #

10/01/2026

Bado masaa machache kuelekea katika ibada Kubwa ya Kongamano la kusifu na kuabudu .
Litakalo fanyika katika ukumbi wa TPC Social Hall - Moshi

Weka ratiba zako vizuri
Usipange kukosa

LOVE OF GOD
UNION MOSHI

🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Kesho ndio kesho karibu sana Mungu atatuhudumia mwenyewe ni siku na mwaka wa kukumbukwa katika maisha yako. K**...
10/01/2026

🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

Kesho ndio kesho karibu sana Mungu atatuhudumia mwenyewe ni siku na mwaka wa kukumbukwa katika maisha yako.

K**a uko mbali karibu kwa support ya maombi na fedha kuwezesha ibada hii kubwa ya kumpa Mungu utukufu.

LOVE OF GOD 2026

“Tunawatakia kheri na baraka za Mwaka Mpya.Mungu awatangulie, awape amani, upendo na neema tele katika mwaka huu mpya wa...
01/01/2026

“Tunawatakia kheri na baraka za Mwaka Mpya.
Mungu awatangulie, awape amani, upendo na neema tele katika mwaka huu mpya wa 2026.

# LOVE OF GOD
UNION MOSHI

🕹️🕹️🕹️SEMINA SEMINA SEMINA!!!! *USHARIKA WA MABOGINI*❤️❤️BWANA AMETUFANYIZIA NAFASI TENA!!! UONGOZI WA CHRISTIAN UNION M...
30/12/2025

🕹️🕹️🕹️SEMINA SEMINA SEMINA!!!! *USHARIKA WA MABOGINI*❤️❤️
BWANA AMETUFANYIZIA NAFASI TENA!!! UONGOZI WA CHRISTIAN UNION MOSHI V UMETUANDALIA SEMINA NZURI
👉KUANZIA TAREHE 4-11 JANUARY 2026!!!
*MWALIMU HARRISON HURBETH ATAFUNDISHA*
🕹️BAADA YA SEMINA TUTAKUTANA TPC SOCIAL HALL KWENYE KONGAMANO TAREHE 11/1/2026

UNION MOSHI V #

🕹️🕹️🕹️SEMINA SEMINA SEMINA!!!! USHARIKA WA NEWLAND❤️❤️BWANA AMETUFANYIZIA NAFASI TENA!!! UONGOZI WA CHRISTIAN UNION MOSH...
27/12/2025

🕹️🕹️🕹️SEMINA SEMINA SEMINA!!!! USHARIKA WA NEWLAND❤️❤️
BWANA AMETUFANYIZIA NAFASI TENA!!! UONGOZI WA CHRISTIAN UNION MOSHI V UMETUANDALIA SEMINA NZURI KUANZIA TAREHE 4-11 JANUARY 2026!!!

*MWALIMU ATAFUNDISHA*
BAADA YA SEMINA TUTAKUTANA TPC SOCIAL HALL KWENYE KONGAMANO!!!

UNION MOSHI V #

TUNAWATAKIA SIKUKUU NJEMA YA KUMBUKIZI YA KUZALIWA KWA MWOKOZI WETU. Nakuombea akazaliwe na kwenye maisha yako, Kazi yak...
25/12/2025

TUNAWATAKIA SIKUKUU NJEMA YA KUMBUKIZI YA KUZALIWA KWA MWOKOZI WETU.

Nakuombea akazaliwe na kwenye maisha yako, Kazi yako, Masomo yako, Huduma yako. Na lolote utakalo

SEMINA SEMINA SEMINA!!!!USHARIKA WA MAGADINI MTAA WA MAJENGO🕹️🕹️*MWALIMU WA SEMINA NI MARTIN ALAIS!!!! BAADA YA SEMINA T...
20/12/2025

SEMINA SEMINA SEMINA!!!!
USHARIKA WA MAGADINI MTAA WA MAJENGO
🕹️🕹️*MWALIMU WA SEMINA NI MARTIN ALAIS!!!!
BAADA YA SEMINA TUTAKUTANA KWENYE KONGAMANO TPC SOCIAL HALL 💕

20/12/2025

🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

Mambo yana zidi kunoga katika maandalizi makubwa ya ibada ya kusifu na kuabudu 11/01/2025.

Naomba mkaribishe rafiki na ndugu yako katika ibada hii ya kukumbukwa.

Karibu pia kwa sapoti ya maombi na kifedha kufanikisha ibada hii.

Love of God 2026

🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Mungu wetu ni mwema azidi kutufundisha kumpenda yeye zaidi ya vyote tulivyo navyo, tupambanie ufalme wake kwanz...
20/12/2025

🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

Mungu wetu ni mwema azidi kutufundisha kumpenda yeye zaidi ya vyote tulivyo navyo, tupambanie ufalme wake kwanza kwa akili zetu zote naye atatuzidisha Mara dufu katika Mambo yetu.

~Naomba tuendelee Kush are matangazo ni sadaka yako kwa Mungu watu kufikiwa na habari njema.

love of God

#11/01/2026 TPC SOCIAL HALL

“Tunawatakia mapumziko mema na yenye barakakatika Siku ya Uhuru. Mungu aendelee kulilinda na kulibariki taifa letu. Heri...
09/12/2025

“Tunawatakia mapumziko mema na yenye baraka
katika Siku ya Uhuru. Mungu aendelee kulilinda na kulibariki taifa letu. Heri ya Siku ya Uhuru!”

LOVE OF GOD 2026
WA MUNGU 2026
UNION MOSHI V@

KONGAMANO KONGAMANO!!! JANUARY 2026!!!🕹️MTUMISHI WA MUNGU NA MWIMBAJI *GOODLUCK MSUYA*  SIKU HIYO!!!TUTASIFU NA KUOMBA S...
03/12/2025

KONGAMANO KONGAMANO!!! JANUARY 2026!!!🕹️
MTUMISHI WA MUNGU NA MWIMBAJI *GOODLUCK MSUYA* SIKU HIYO!!!
TUTASIFU NA KUOMBA SANA
UNION MOSHI V #

Address

TPC
Moshi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Christian UNION Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Christian UNION Tanzania:

Share