Lango La Washindi Ministry

Lango La Washindi Ministry KARIBU KWA HUDUMA YA MAOMBI NA KUFUNGULIWA . HUDUMA INAPATIKANA BOMA NG'OMBE, MOSHI.

JUMA PILI YETU YA KUMSHIKURU MUNGU NJOO TUMSHUKURU MUNGU KWA MWAKA MZIMA HUU
22/12/2025

JUMA PILI YETU YA KUMSHIKURU MUNGU NJOO TUMSHUKURU MUNGU KWA MWAKA MZIMA HUU

IF THERE IS NO ONE TO PRAY THERE IS A GOD TO ANSWER
10/01/2025

IF THERE IS NO ONE TO PRAY THERE IS A GOD TO ANSWER

Usikose ibada hii
30/10/2024

Usikose ibada hii

Hii upaswi kuikosa njooo upoke neema
10/09/2024

Hii upaswi kuikosa njooo upoke neema

Mbingu kupigana Vita yako ni kesho
14/08/2024

Mbingu kupigana Vita yako ni kesho

KONGAMANO LA KUCHUKUA KILICHO CHAKO NA KUTAWALA ULIMWENGU WAKO WA ROHO HII SIO YA KUKOSA
10/06/2024

KONGAMANO LA KUCHUKUA KILICHO CHAKO NA KUTAWALA ULIMWENGU WAKO WA ROHO HII SIO YA KUKOSA

Karibu Alhamisi hii huabudu nasi saa kumi kamili
04/06/2024

Karibu Alhamisi hii huabudu nasi saa kumi kamili

KARIBU MWEZI WA TANO NI MWEZI WA UREJESHO YALIYO CHUKULIWA,KUCHELEWESHA,KWAMISHWA,KUZUILIWA MWEZI WA TANO HACHA MUNGU AK...
01/05/2024

KARIBU MWEZI WA TANO NI MWEZI WA UREJESHO YALIYO CHUKULIWA,KUCHELEWESHA,KWAMISHWA,KUZUILIWA MWEZI WA TANO HACHA MUNGU AKAKUREJESHE KATIKA JINA LA YESU SEMA AMINA NAIWE KWANGU

Nguvu hiliko kwenye kushiriki meza ya bwana usikose jpili hii wewe ulipo hai boma ngombe uduma ipo magadini mnara wa vod...
19/04/2024

Nguvu hiliko kwenye kushiriki meza ya bwana usikose jpili hii wewe ulipo hai boma ngombe uduma ipo magadini mnara wa voda

Kuondoa  Haina za mauti kwenye Maisha Yako katika ulimwengu wa ROHO:Mauti ni nini(@)Mauti ni roho ya kifo (msiba)  inayo...
10/04/2024

Kuondoa Haina za mauti kwenye Maisha Yako katika ulimwengu wa ROHO:
Mauti ni nini
(@)Mauti ni roho ya kifo (msiba) inayo kuja kuhua na kuondoa uhai wa mtu au huai wa vitu vyake aliyo nayo mipango uliyo nayo mafanikio aliyo nayo
(@)Roho ya mauti inayo uwezo mkubwa wa kuingia ndani ya mtu ndani ya vitu na kuhua lengo lake ni kuhua kabla ya wakati mungu alio kupangua kuishi dunia
(@)K**a inauwezo wakuingia inauwezo wakuja nak**a inauw Kuna maali himetoka au kunamti kahiamuru hije kwako
(@)Naroho ya mauti na huaribifu tunayo zungumza ni shetani mwenyewe
(@)Usifanye maombi ya uzembe maombi ya uzembe Yana matokeo mabaya
(@)Shetani afanyi kazi peke yake anafanya na waganga wachawi washirikina walogaji wasoma nyota wapiga bao wapiga ramli wanaokuchukia
Ayubu 28
22 : Uharibifu na Mauti husema, Tumesikia habari zake kwa masikio yetu.
23 : Mungu ndiye aijuaye njia yake, Naye anajua mahali pake.
(@) popote mauti ilipo huaribifu upo utembea pamoja ufanya kazi pamoja
(@) maranyingi ndani Yako uzungumza mbona Hali hii siyo ya kawaida
(@) Na unaweza ona vitu vinavunjika tu mara kwa mara tambua mauti haipo mbali na wewe
(@) mauti na huaribifu Wana weza kuongea na nasikilizana na wanaongea
(@)Mauti na huaribifu na zungumza habari zako zote maana ni shetani mwenyewe
(@)Mauti na huaribifu wanahuwezo wa kusikia Unapo homba zungumza naemwamuru
(@)Unapo taka kuomba Kaa chini ANDIKA habari zako zote alafu simama huombe kwa ufasaa juu ya habari zako ukimkemea mauti kwenye Maisha yako
Waefeso 6
10 : Hatimaye, mzidi kuwa hodari katika Bwana na katika uweza wa nguvu zake.
11 : Vaeni silaha zote za Mungu, mpate kuweza kuzipinga hila za Shetani.
12 : Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.
(@) Ingia kwenye ulimwengu wa ROHO Sema nipo juu yao mauti na huaribifu hamuru kwamaana alijuu Yako ni mkuu kuliko wao
(@)Kumbe kwenye ulimwengu wa ROHO wanazo habari zako zote maana yule asie kupenda alipeleka tarifa zako zote tarifa za uchumi wako watoto wako na Kila ulicho nacho
(@)mauti na huaribifu wanazo njia za kuingilia wanazo malango ya kuingilia na wakishaingia kazi yao ni kuhuwa na kuharibi ndani ya mtu kunanjia za mauti
(@)Kuna mauti ya mda mfupi na muda mrefu
( ya muda mrefu uja na roho ya umaskini
(@)Mauti inamaali pa kukaa Ina maali pakujificha
(@)Maali mauti imekaza mapepo yapo hapo shetani yupo hapo
(@)Katika Maisha tunayo hishi mara nyingi roho mtakatifu Huwa hanasema kabla ya hatari ila tunashindwa kuelewa
(@)Unapaswa kungangana na mungu zungumza naye
(@) jitaidi kuondoa njia zao na makao yao kwa dam ya YESU
(@)Mauti inaweza hambiwa Kaa kwenye Figo gafla Fingo zinafeli hata mkiweka zingine zitafel k**a ujaondoa mauti kwanza
Waebrania 2
14 : Basi, kwa kuwa watoto wameshiriki damu na mwili, yeye naye vivyo hivyo alishiriki yayo hayo, ili kwa njia ya mauti amharibu yeye aliyekuwa na nguvu za mauti, yaani, Ibilisi,
15 : awaache huru wale ambao kwamba maisha yao yote kwa hofu ya mauti walikuwa katika hali ya utumwa.
(@)Kuharibiwa kwa alikuwa na mauti kabla ije kwako Kuna alie ibeba mauti hiyo
(@)Njia za mauti na malango yake uwa zinatengenezwa
(@)Jizoeze kuomba sawa sawa Ili upate kushinda roho ya mauti
(@)Mauti ya yesu kifo Cha yesu inanguvi ya kuaribi shetani na wafuasi wake
(@)Na mwenye nguvu hii ya mauti ni shetani na tumepewa huwezo wa kumwaribu kwa dam ya YESU
(@) ndo maana biblia inasema YESU alidhiriswa kuzivunja kazi za shetani
Waebrania 5
7 : Yeye, siku hizo za mwili wake, alimtolea yule, awezaye kumwokoa na kumtoa katika mauti, maombi na dua pamoja na kulia sana na machozi, akasikilizwa kwa jinsi alivyokuwa mcha Mungu;
(@)K**a mauti inaweza kuingia ndani ya mtu basi mtu hatolewe ndani ya hiyo mauti
(@)Nilazima kutenga muda wa maombi ya kutosha kuombea Maisha yako na ndoto zako mwanangu punguza muda wako wa kulala Ili utumie kwenye maombi
Warumi 8
26 : Kadhalika Roho naye hutusaidia udhaifu wetu, kwa maana hatujui kuomba jinsi itupasavyo, lakini Roho mwenyewe hutuombea kwa kuugua kusikoweza kutamkwa.
27 : Na yeye aichunguzaye mioyo aijua nia ya Roho ilivyo, kwa kuwa huwaombea watakatifu k**a apendavyo Mungu.
28 : Nasi twajua ya kuwa katika mambo yote Mungu hufanya kazi pamoja na wale wampendao katika kuwapatia mema, yaani, wale walioitwa kwa kusudi lake.
udhaifu mkubwa tulionayo hatujui kuomba hipasavyo na roho mtakatifu ndie anaeweza kukusaidia kuomba ipasavyo
(@) Ili huombe muda mrefu unamwitaji roho mtakatifu
Kumbuka popote mauti yupo shetani yupo lazima kuakikisha tunaondoa mauti hii ya muda mrefu inayo kuja kwa Nia ya kukufanya maskin

UKOMBOZI WA VIFUNGO VYA ARDHI SEEM 7 Njia mbaya zinazo muhusisha mtu na ardhi na kufungwa kwake ombea ardhi tunaondoa as...
02/04/2024

UKOMBOZI WA VIFUNGO VYA ARDHI SEEM 7 Njia mbaya zinazo muhusisha mtu na ardhi na kufungwa kwake

ombea ardhi tunaondoa asira ya bwana
tembea kwenye njia mbaya nakutenda dhambi ardhi hinatunza kumbukumbu
Kumbukumbu la Torati 30
19 : Nazishuhudiza mbingu na nchi juu yenu hivi leo, kuwa nimekuwekea mbele yako uzima na mauti, baraka na laana; basi chagua uzima, ili uwe hai, wewe na uzao wako;
tenda dhambi jua Ardhi hinatunza kumbukumbu
mbaya na dhambi tulizo zitenda mfano uzinzi
Makundi Aya ni yakuyaombea na kufanya matengenezo ni makundi hambayo yapo hatarini
(1) yeyote anae ishi bila ndoa ya kanisani uyo ni mzinzi na ni mzinzi mzoefu anaezini Kila siku mbele za mungu
(2)Yeyote mwenye ndoa za Mila ndoa zote za Mila inashikiliwa na miungu nau ni mlango wa kurusu magonjwa ya kurithi
(3)Yeyote mwenye ndoa ya serikali maombi ya kushulikia ulifungia wapi na nina alikufungisha hapa utashindana na miungu ya taifa lako
(4) Familia zote tunazotoka kwenye ndoa nyingi hapa uta jiombea wewe na familia kwa ujumla
(5)Watoto wote tulio zaliwa nje ya ndoa ya kikristo wote wapo kifungoni
(6)Uzinzi wa jinsia Moja ni hatari na kifungo
(7)Uzinzi wa wanyama
(8)Kujichua ni hatari nikifungo hicho
(9)Kubaka au kubakwa wanausika wote
10)bibi arusi na bwana arusi walio fanya uzinzi kabla ya ndoa
11)ulifunga ndo na mtoto yupo tumboni ni kosa kubwa
Na mtoto wa kundi Ili akiwa wakike atajikuta anapendwa na wababa k**a ni WA kiume najikuta napendwa na majimama
12)uzinzi wenye haibu kati ya ndungu na ndungu nidhambi kubwa
13)yeyote alie zini na mganga wa kienyeji
Mambo ya Walawi 20
6 : Na mtu yule atakayewaendea wenye pepo, na wachawi, ili kuzini pamoja nao, nitakaza uso wangu juu ya mtu yule, nitamtenga na watu wake.
alie zini na mganga utashanga unasingiziwa wewe ni mchawi
14)ni wale walio ishi kwanza ndo wakaja Waka funga ndoa ni wazinzi wazoefu alie zoea kuzini mara kwa Maria
Kumbuka dhambi inamshara
15)wale wenye kuangalia picha za ngono ni madhabahu ya kuzim kabisa na kwatarifa Yako pepo la uzinzi lonakaaga kwenye macho
Ezekieli 23
48 : Hivyo nitaukomesha uasherati katika nchi hii, ili wanawake wote wafundishwe, wasifanye mambo ya uasherati wenu.
49 : Nao watawalipa ninyi malipo ya uasherati wenu, nanyi mtachukua dhambi za vinyago vyenu; nanyi mtajua ya kuwa mimi ndimi Bwana MUNGU.
niwapi ulipo anguka ukatubu k**a ni gesti au kwenye nyumbani,shambani kumbuka ulifungwa hapo
yenye mambo magum na mtu uwa inatembea na mtu
Mambo ya Walawi 19
29 : Usimnajisi binti yako, ili kumfanya awe kahaba; isiwe hiyo nchi kuuandama ukahaba, na nchi kujawa na uovu mkuu.
Mambo ya Walawi 18
1 : Bwana akanena na Musa, na kumwambia,
2 : Nena wewe na wana wa Israeli, uwaambie, Mimi ndimi Bwana, Mungu wenu.
3 : Nanyi msifanye matendo k**a yale ya nchi ya Misri mliyokaa; wala msifanye matendo k**a yale ya nchi ya Kanaani, nitakayowapeleka; wala msiende katika amri zao hao.
4 : Mtazifanya hukumu zangu, nanyi mtazishika amri zangu, ili mwenende katika hizo; mimi ndimi Bwana, Mungu wenu.
5 : Kwa ajili ya hayo mtazishika amri zangu na hukumu zangu; ambazo mtu akizitumia ataishi kwa hizo; mimi ndimi Bwana.
6 : Mtu ye yote aliye wa kwenu asimkaribie mwenziwe aliye wa jamaa yake ya karibu ili kumfunua utupu; mimi ndimi Bwana.
7 : Utupu wa baba yako, wala utupu wa mama yako, usifunue, maana ndiye mama yako; usifunue utupu wake.
8 : Utupu wa mke wa baba yako, usifunue; maana, ni utupu wa baba yako.
9 : Utupu wa umbu lako, binti ya baba yako, au binti ya mama yako, kwamba alizaliwa nyumbani mwenu au kwamba alizaliwa kwengine, utupu wa hao usifunue.
10 : Utupu wa binti ya mwanao mume, au wa binti ya binti yako, utupu wao hao usifunue; kwa kuwa ndio utupu wako mwenyewe.
11 : Utupu wa binti ya mkewe baba yako, aliyezaliwa na baba yako, yeye ni umbu lako, usifunue utupu wake.
12 : Usifunue utupu wa umbu lake baba yako; maana, yeye ni jamaa aliye karibu.
13 : Usifunue utupu wa umbu la mama yako; maana, yeye ni jamaa ya mama yako ya karibu.
14 : Usifunue utupu wa ndugu ya baba yako, usimkaribie mkewe huyo; yeye ni shangazi lako.
15 : Usifunue utupu wa mkweo mwanamke; yeye ni mke wa mwanao; usifunue utupu wake huyo.
16 : Usifunue utupu wa mke wa nduguyo; maana, ni utupu wa nduguyo.
17 : Usifunue utupu wa mwanamke na binti yake; usimtwae binti ya mwanawe mume, au binti ya binti yake, ili kufunua utupu wake; hao ni jamaa ya karibu; ni uovu mkuu.
18 : Wala usitwae mwanamke pamoja na nduguye, awe mtesi wake, na kufunua utupu wake, huyo wa pili atakapokuwa yu hai.
19 : Nawe usimkaribie mwanamke kufunua utupu wake wakati wa kutengwa kwa ajili ya unajisi wake.
20 : Usilale na mke wa mwenzio, ukajitia unajisi naye.
21 : Nawe usitoe kizazi chako cho chote na kuwapisha kwa Moleki, wala usilinajisi jina la Mungu wako; mimi ndimi Bwana.
22 : Usilale na mwanamume mfano wa kulala na mwanamke; ni machukizo.
23 : Wala usilale na mnyama ye yote, ili kujitia unajisi kwake; wala mwanamke asisimame mbele ya mnyama ili kulala naye; ni uchafuko.
24 : Msijitie unajisi katika mambo hayo hata mojawapo; kwa maana hizo taifa nitakazozitoa mbele zenu zimekuwa najisi kwa mambo hayo yote;
25 : na hiyo nchi imekuwa najisi; kwa ajili ya hayo naipatiliza uovu wake juu yake, na hiyo nchi yatapika wenyeji wake na kuwatoa.
26 : Kwa hiyo mtazishika amri zangu na hukumu zangu, wala msifanye machukizo hayo mojawapo; yeye aliye mzalia, wala mgeni aketiye kati yenu;
27 : (kwa kuwa hao watu wa nchi wameyafanya machukizo haya yote, hao waliotangulia mbele zenu, na hiyo nchi imekuwa najisi;)
28 : ili kwamba hiyo nchi isiwatapike na ninyi pia, hapo mtakapoitia unajisi, k**a ilivyoitapika hiyo taifa iliyotangulia mbele yenu.
29 : Kwani mtu awaye yote atakayefanya machukizo hayo mojawapo, nafsi hizo zitakazoyafanya zitakatiliwa mbali na watu wao.
30 : Kwa ajili ya hayo yashikeni mausia yangu, ili kwamba msifanye kabisa desturi hizi zichukizazo mojawapo, zilizotangulia kufanywa mbele zenu, wala msijitie unajisi katika mambo hayo; mimi ndimi Bwana, Mungu wenu.
inaweza tapika Maisha ya mtu na kazi ya mtu
Unapo zaidi katika ardhi watu wanatapikwa na ardhi zao
Yoeli 1
10 : Shamba limeharibika, nchi inaomboleza; maana nafaka imeharibika, divai mpya imekauka, mafuta yamepunguka.
11 : Tahayarini, enyi wakulima; Pigeni yowe, enyi watunzaji wa mizabibu; Kwa ajili ya ngano na shayiri, Maana mavuno ya mashamba yamepotea.
12 : Mzabibu umesinyaa, mtini nao umevia; Nao mkomamanga na mtende na mtofaa; Naam, miti yote ya mashamba imekauka; Maana furaha imekauka katika wanadamu.
13 : Jikazeni mkaomboleze, enyi makuhani; Pigeni yowe, enyi wahudumu wa madhabahu; Njoni mlale usiku kucha katika magunia, Enyi wahudumu wa Mungu wangu; Kwa kuwa sadaka ya unga na sadaka ya kinywaji Zimezuiwa katika nyumba ya Mungu wenu.
14 : Takaseni saumu, iteni kusanyiko la dini, Wazee na wakusanye wenyeji wote wa nchi; Waende nyumbani kwa Bwana, Mungu wenu, Na kumlilia Bwana,
Yoeli 1
15 : Ole wake siku hii! Kwa maana siku ya Bwana inakaribia, nayo itakuja k**a uangamivu utokao kwake aliye Mwenyezi.
16 : Je! Chakula hakikukatiliwa mbali mbele ya macho yetu? Naam, furaha na kicheko mbali na nyumba ya Mungu wetu?
17 : Mbegu zinaoza chini ya udongo wake; ghala zimeachwa ukiwa; mabanda yamevunjika; kwa maana nafaka imekauka.
18 : Jinsi wanyama wanavyougua! Makundi ya ng'ombe yamefadhaika, kwa sababu hawana malisho; naam, makundi ya kondoo yamepata mateso.
(@)Dhambi ya uzinzi ufunga milango ya baraka
(@)Lazima tuombe mungu aturejeshe tuliyo poteza uzinzi unamalizia vitu kwenye Maisha ya mtu
(@)Kwajili ya dhambi ya uzinzi utajikuta Kila unacho panga kinaishia njiani ukifungua biashara inakufa
(@)Ardhi inayo tapika kitu Cha mtu inatabia bizi

Address

Magadini Street
Moshi
25312

Opening Hours

Thursday 16:00 - 18:30
Sunday 09:00 - 13:30
16:00 - 18:30

Telephone

+255620193190

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Lango La Washindi Ministry posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Lango La Washindi Ministry:

Share

Category