KKKT MLIMA KOLA

KKKT MLIMA KOLA Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from KKKT MLIMA KOLA, Church, Morogoro.

*SEMINA YA NENO LA MUNGU KWA WATU WOTE**Somo:* _Nguvu ya Pasaka_-——————————————Ni kuanzia Jumapili leo tarehe 29/03/2026...
29/03/2026

*SEMINA YA NENO LA MUNGU KWA WATU WOTE*
*Somo:* _Nguvu ya Pasaka_
-——————————————
Ni kuanzia Jumapili leo tarehe 29/03/2026 hapa *_KKKT USHARIKA WA MLIMAKOLA Morogoro_* .
Karibu sana katika semina hii kubwa itakayoongozwa na Mtumishi wa Mungu *Dr.William Kopwe.*

*Muda:saa9:30Alasiri*

Karibu sana,usitamani kukosa semina hii kubwa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
_*Upatapo Ujumbe huu,Mjulishe na mwingine*_

🔥🔥*NI JUMAMOSI HII*🔥_IBADA MAALUM YA MAOMBI MWEZI FEBRUARY,2026_Tunaendelea kuwakaribisha sana katika Ibaada hii ya Maom...
10/02/2026

🔥🔥*NI JUMAMOSI HII*🔥
_IBADA MAALUM YA MAOMBI MWEZI FEBRUARY,2026_
Tunaendelea kuwakaribisha sana katika Ibaada hii ya Maombi kwa watu wote, itakayofanyika Siku ya Jumamosi,kuanzia saa 9: 30Alasiri hapa *KKKT MLIMAKOLA*

Usitamani kukosa Ibada hii. Endelea kuwakaribisha na wengine!!

29/12/2025

Ninachukua fursa hii kumshukuru sana Bwana Mungu Aliyetulinda na kututunza na kutuwezesha kuchukua kombe la timu ya football! Ndugu zangu, hata michezo ikichezwa kwa kumtanguliza Bwana, pia ni *jambo la kiroho!*
Hivyo ninawapongeza sana waandaaji wa mashindano haya, ninawapongeza wote waliohusika kuiandaa timu yetu, ninawapongeza walioifadhili timu yetu kwa namna yoyote ile, ninawapongeza washarika wote, na
SANA SANA, NINAWAPONGEZA SANA WACHEZAJI WETU WALIOCHEZA KWA BIDII KUBWA, BILA KUKATA TAMAA!

Ushindi huu ni wetu sote, na kwa pamoja tunamtukuza Bwana kwa ushindi huu.
Hakika tutaandaa siku ya kuwapongeza mashujaa wetu.

Ninawaombea wachezaji wetu na vijana wote *mzidi kuimarika kiroho na katika michezo!*

Baada ya kupokea kombe, tulirudi Madhabahuni kumshukuru Bwana 🙏🏻

Bwana Mungu Azidi kutubariki sana sisi sote🙏🏻

(Ni maneno ya Mchungaji Kiongozi ).

*SEMINA YA NENO LA MUNGU* 🔥🔥🔥🔥_KKKT MLIMAKOLA_ *Jumapili-Jumatatu* 28-29/12/2025Atahudumu Mtumishi *Mwl. Emilian Katubay...
28/12/2025

*SEMINA YA NENO LA MUNGU* 🔥🔥🔥🔥
_KKKT MLIMAKOLA_

*Jumapili-Jumatatu* 28-29/12/2025
Atahudumu Mtumishi *Mwl. Emilian Katubayemo* _saa9:30Alasiri-12:00Jioni_

*Jumanne-Jumapili* 30/12/2026-04/01/2026 pAtahudumu mtumishi *Mwl.Ahadi Mwambene*

Muda:*9:30Alasiri-12:00Jioni*

Karibuni sana katika semina hii kubwa ya kumaliza mwaka 2025 na kuanza mwaka2026 wapendwa.

*Njoo tuombe pamoja, njoo upokee maarifa na Mungu akubariki sana*

Kumbukumbu za ibada ya Jumapili
23/12/2025

Kumbukumbu za ibada ya Jumapili

Mkono wa Pongezi kwa waliofanikisha  Darasa la kipaimara katika kipindi chote cha mafundisho.
23/12/2025

Mkono wa Pongezi kwa waliofanikisha Darasa la kipaimara katika kipindi chote cha mafundisho.

Kumbukumbu za Ibada ya Kipaimara
23/12/2025

Kumbukumbu za Ibada ya Kipaimara

Address

Morogoro

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when KKKT MLIMA KOLA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category