Kwa Mtulla Duka La Kanzu

Kwa Mtulla Duka La Kanzu Kanzu za watoto kuanzia miezi 4,6 na kuendelea zinapatikana kwetu, tupo mtaa wa Karume mkoani Morogo

Asalam alaykum, karibu dukani kwetu. Mzigo bado upo, kuna majuba,nusu kanzu (za watoto) pamoja na kanzu. Tupo mtaa wa ka...
09/03/2019

Asalam alaykum, karibu dukani kwetu. Mzigo bado upo, kuna majuba,nusu kanzu (za watoto) pamoja na kanzu. Tupo mtaa wa karume mkabala na masjid haq(mtaa wa karume)

Asalaam alaykum, karibu dukani kwetu "kwa mtulla duka la kanzu". Mzigo mpya wa joho umewasili, wahi ujipatie kwa bei naf...
28/06/2018

Asalaam alaykum, karibu dukani kwetu "kwa mtulla duka la kanzu". Mzigo mpya wa joho umewasili, wahi ujipatie kwa bei nafuu zaidi. Pia tunazo kanzu aina zote, za wakubwa na wadogo, mpya na za mtumba, majuba, kofia na vilemba. Hakika hutajuta kununua bidhaa dukani kwetu. Kwa mawasiliano tafadhali piga 0716775730 au tembelea dukani kwetu. TUPO MOROGORO MJINI, TUNATAZAMANA NA MSIKITI WA RADIO IMAAN(MASJID HAQ) , MTAA WA KARUME, NYUMA YA SOKO KUU LA MOROGORO

19/06/2017
Asalam alaykum,New product arrives at KWA MTULLA DUKA LA KANZU , Karibuni saana
22/04/2016

Asalam alaykum,New product arrives at KWA MTULLA DUKA LA KANZU , Karibuni saana

Asalam alaykum, mzigo mpya umewasili karibu ujipatie bidhaa k**a hizi kwa bei nafuu
06/12/2015

Asalam alaykum, mzigo mpya umewasili karibu ujipatie bidhaa k**a hizi kwa bei nafuu

20/09/2015

Asalam alaykum warahmatullah wabarakatuhu...... Karibu dukani kwetu ujipatie kanzu nzuri kwa bei nafuu, majuba mabaibui, kofia na vingine vingi

Asalam alaykum, karibu dukani kwetu tunayo majoho, kofia na miswala. Bei zetu ni nafuu mno
29/08/2015

Asalam alaykum, karibu dukani kwetu tunayo majoho, kofia na miswala. Bei zetu ni nafuu mno

09/08/2015

Asalam alaykumTumeleta majuba ya aina mbalimbali, ya wakubwa na ya wadogo karibuni

07/07/2015

Asalam alaykum Mzigo mpya umewasili, karibun

31/05/2015

Address

KARUME
Morogoro
0716

Telephone

0716775730

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kwa Mtulla Duka La Kanzu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share