Efatha Church - Mang'ula

Efatha Church - Mang'ula Efatha ni kanisa la ukombozi na uponyaji kwa damu ya Yesu.

06/05/2023
SIKU YA SHEREHE YA WATOTO;Efatha Church - Mang'ula.17/12/2022MUFANYIENI SHANGWE BWANA KWA SIFA NA NA FURAHA. UKIWA NYUMB...
17/12/2022

SIKU YA SHEREHE YA WATOTO;
Efatha Church - Mang'ula.
17/12/2022
MUFANYIENI SHANGWE BWANA KWA SIFA NA NA FURAHA. UKIWA NYUMBANI MWA BWANA.

ZABURI 100:
1 Mfanyieni Bwana shangwe, dunia yote;
2 Mtumikieni Bwana kwa furaha; Njoni mbele zake kwa kuimba;
3 Jueni kwamba Bwana ndiye Mungu; Ndiye aliyetuumba na sisi tu watu wake; Tu watu wake, na kondoo wa malisho yake.
4 Ingieni malangoni mwake kwa kushukuru; Nyuani mwake kwa kusifu; Mshukuruni, lihimidini jina lake;
5 Kwa kuwa Bwana ndiye mwema; Rehema zake ni za milele; Na uaminifu wake vizazi na vizazi.

SIKU YA SHEREHE YA WATOTO;Efatha Church - Mang'ula.17/12/2022.PICHA ZA NYIMBO ZA TENZI;EFESO 5:19 mkisemezana kwa zaburi...
17/12/2022

SIKU YA SHEREHE YA WATOTO;
Efatha Church - Mang'ula.
17/12/2022.
PICHA ZA NYIMBO ZA TENZI;
EFESO 5:19 mkisemezana kwa zaburi na tenzi na nyimbo za rohoni, huku mkiimba na kumshangilia Bwana mioyoni mwenu;

SIKU YA SHEREHE YA WATOTO;Efatha Church - Mang'ula.17/12/2022.PICHA ZA MATUKIO YA IBADA.
17/12/2022

SIKU YA SHEREHE YA WATOTO;
Efatha Church - Mang'ula.
17/12/2022.
PICHA ZA MATUKIO YA IBADA.

08/12/2022

NENO LA SIKU TAREHE 8 - 10/12/2022
SOMO; KUKUSANYIKA IBADANI.

ILI UPOKEE ISHI MAISHA YA TOBA

Dunia tunayo ISHI ina uovu WA Kila aina

Unapo Tubu mala Kwa mala uovu uondoka.

- omba TOBA Kila uovu unao zuia wee KUPOKEA. Iwe uovu WA kuzaliwa, kuiga kunena, kuona,kusikia NK

2 Wakorintho 7:10
[10]Maana huzuni iliyo kwa jinsi ya Mungu hufanya toba liletalo wokovu lisilo na majuto; bali huzuni ya dunia hufanya mauti.
Siku 3

By MCH JIMMY Efatha

30/11/2022

NENO LA SIKU
TAREHE 30/11/2022
SOMO; KUKUSANYIKA IBADANI.

Ili uweze kupokea mbere za Mungu zingatia Hilo
- kiu; ya Roho mtakatifu
- njaa; ya kula neno la Mungu
- maamuzi; ya kuja kanisani
- shauku; ya kupokea
- kuzingatia; kile umefundishwa na kufanyia kazi.
Mathayo 5:6
[6]Heri wenye njaa na kiu ya haki;
Maana hao watashibishwa.
Blessed are they which do hunger and thirst after righteousness: for they shall be filled.
Asante

By Mchungaji jimmy

26/11/2022

NENO LA LEO TAREHE 26/11/2022 KUKUSANYIKA SIKU YA SABATO.
1. SABATO YA AGANO LA KALE. (SABATO YA KWANZA)
2. SABATO YA AGANO JIPYA (SABATO YA PILI)
- siku ya kwanza ya juma. Ya SABATO ya Sheria
- siku ya pili ya juma. Ni SABATO ya neema au wokovu.

Nimuhimu KUKUSANYIKA siku ya pili ya juma kuabuadu.

Matendo13:44
[44]Hata sabato ya pili, watu wengi, karibu mji wote, wakakusanyika walisikie neno la Mungu.

Karibu ibada kesho.(Efatha). Saa 2 asb - 6 mch

Address

Mgudeni/Mang'ula, Jirani Na Shule Ya Sekondari Mang'ula
Morogoro
EM2022

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Efatha Church - Mang'ula posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Efatha Church - Mang'ula:

Share