KITUO HURU CHA "Maombi"

KITUO HURU CHA "Maombi" Kituo Huru Cha Maombi kwa kila mtu apendae neno la uzima

Yesu ndiye kimbilio katika maisha yetu ya kila siku
yatupasa tujikane sisi wenyewe na kisha tufuate nyayo zake daima

07/04/2017

Lakini mtu yeyote anayeshika neno la Mungu, huyo ndiye aliye na upendo kamili wa Mungu ndani yake. Hivi ndivyo tunavyoweza kuwa na hakika kwamba tunaungana naye....

07/06/2016

kusimama katika neno kwa kumaanisha ni njema zaini

18/09/2015

mungu ni kimbilio la maisha yetu.

30/07/2015

Ee mungu bariki Kazi ya mikono yeti.

14/02/2015

mungu ni mwema maishani mwetu

02/01/2015

mtegemee mungu kwa kila jambo ulitendalo.

30/09/2014

yesu ndiye mlinzi wa familia zetu daima

14/09/2014

jumapili njema yenye baraka. mungu atulinde na kutupatia hekima na busara maishani mwetu.

26/08/2014

OMBA HEKIMA IWEZE KUKULINDAN mithali 4:1-9

mwanamke mwenye hekima hujenga nyumba yake, lakini mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe.

mwenye mwenendo mnyoofu humcha mungu, lakini mpotovu humdharau mungu.

mwanamke mpumbavu hujiadhibu mwenyewe kwa kuropoka ropoka mambo ya mumewe, lakini mwenye hekima hulindwa na maneno yake.endelea MITHALI 14:1-9

25/08/2014

maombi kwanza usingizi baadae..

MUNGU NDIYE ANAYEJUA KUPENDA HAPA ULIMWENGUNI. hivyo.....
24/08/2014

MUNGU NDIYE ANAYEJUA KUPENDA HAPA ULIMWENGUNI. hivyo.....

24/08/2014

HEKIMA HEKIMA HEKIMA
katika maisha haya ya kidunia tujitahidi sana kumuomba mungu atupatie hekima, akili na busara. hivi ni bora zaidi maana mtu mwenye hekima ana...soma methali 8:1-36

Address

Morogoro
680

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when KITUO HURU CHA "Maombi" posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share