STAN Bible online

STAN Bible online Mambo makuu usiyo yajua Imani ni bola kuliko Matumaini

Changia maoni yako
15/11/2022

Changia maoni yako

18/05/2021

Ni kweli hakuna anayependa kuona mwingine akifanikiwa au kuvuka hatua moja kwenda nyingine,,,, lakini haya yote mwenye uwezo wa kuyaruhusu ama kuyapuuza na kuyaacha yapite pia ni wewe, watu wengi wamekuwa wakibaki njia panda nini wafanye au wasimame wapi kwa sababu ya aina ya marafiki walionao wengine wamekuwa wepesi wa kuskiliza sana maneno na maamuzi ya watu wengine kuliko kufata nini maono Yao yanasema, usiogope kusemwa vibaya kwa sababu ya kutaka kufanya jambo sahihi kwenye maisha yako eti kisa watanionaje!!! fanya maamuzi sahihi kwenye maisha yako sababu mwisho wa siku maisha hayo utayaishi wewe mwenyewe kila mtu ana hatma ya maisha yake hivyo hakikisha hatma ya maisha yako haiishii pabaya kwa sababu ya kuhofia chuki za watu wasiopenda maendeleo ya watu wengine,,, mtangulize Mungu katika kila hatua ya mafanikio kwenye maisha yako, katu hautokuwa na Cha kukubaisha na utatembea kifua mbele.

01/12/2020



Lazima ufaham kuwa....
Binadamu tumeumbwa kwa kutegemeana. Kuna vitu viko ndani yako kwa ajili ya wengine, pia kuna vitu unahitaji kutoka kwa wengine. Rafiki unahitaji kupendwa, unahitaji kufarijiwa, unahitaji kuthaminiwa, unahitaji kusikilizwa. Yote haya bila watu huwezi kuyapata.
Ijapokuwa watu ni muhimu sana kwa mafanikio yetu, lakini wanaweza kugeuka na kuwa mwiba mkubwa kwa mafanikio yetu. Watu ambao tulizani watatutia moyo kipindi kigumu ndio haohao wanatukatisha tamaa. Marafiki ambao tuliwaamini ndio hao wanatusaliti. Watu ambao tunazani watatuhamasisha kupiga hatua katika mafanikio yetu, ndio hao wanaturudisha nyuma.
Watu ni muhimu kwa mafanikio yetu, lakini pia inatakiwa kuwa makini sana ni watu wa namna gani wamekuzunguka. K**a usipokuwa makini na watu waliokuzunguka itakuwa ngumu sana kwako kufanikiwa.


25/11/2020

Official page Nkiliye Media
NEWS & UPDATE | LIVE EVENT | LIVE PROGRAM |
INTERVIEWS

12/11/2020

Siku zote maisha ni mtililiko wa jambo flan ambalo linawez kuwa zuri au baya kwa wakati wake, k**a mvua inapoanza kunyesha maji ya kwanza yanayotililika kwenye bati ni yale yanazoa uchafu wa bati, ndivyo hivyo kwenye maisha upo wakati vitu vitakavyokutokea ni vitu ambavyo havitakupendeza au kukupendezesha kwa watu, ila kitu pekee kitakachohitajika ni uvumilivu wa kuvumilia kinachotililika kuwa kinaandaa mazingira ya kuleta kitu kitakachopendwa na kuitajika na watu wengi.

-KUJIFUNZA KWAKO NDIO KUELEWA KWAKO-

Usikose kusikiliza live kupitia page hii

10/11/2020

Mungu atusaidie katika mambo mabaya tunayowaza kuwafanyia wengine.



26/10/2020

Pesa ni moja kati ya kitu chenye thamani katika mzunguko mzima wa maisha ya kila mwanadamu, kuna baadhi ya mambo unashindwa kufanya na kuna baadhi ya mambo huwezi kushilikishwa kutokana na kitu kinaitwa pesa.
Mungu afungue milango ya pesa katika maisha yako, k**a unaamini ``AMEEN"

!
!
!

20/10/2020

Ni siku nyingine tena chukua nafasi ya kumshukuru Mungu maana bado ipo sababu ya wewe kuwa hai, amekupa pumzi usiyolipia je, wewe ni nani ushindwe kumrudishia utukufu.



19/10/2020

Kuna utofauti mkubwa wa kila mwanadamu kutokana na uwezo alionao ndani yake, Kuna jambo lingine ni la kawaida lakini kutokana na kutokuwa na uwezo wa kulifanya kunakupa shida na kuchukua muda mwingi kuliwaza uku ukipoteza muda, chagua jambo moja kisha uamue kutokana na uweza wa hilo unaloliamua.
wa pichani unaweza kuchukua muda kujaribu lakini bado ukashindwa. Uwezo wako umeishia hapo.



09/10/2020

Nkiliye.com
!
Ukiwa mweusi unaweza kuwa mweupe, ukiwa mnene unaweza kuwa mwembamba ila ukiwa mfupi imetosha....
Kwenye maisha ukitaka kufanikiwa jaribu kuwa msiri na mpambanaji utafanikiwa, shida inayokukwamisha umekuwa muwazi mpaka mipango yako ya kwenda kukopa unashilikisha mtu mwisho wa siku anakukatisha tamaa unaanza kuona mkopo m-baya,,,

!
!
!
!

Address

Morogoro

Telephone

0682848364

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when STAN Bible online posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share