Canaan Christian WC

Canaan Christian WC CALVARY ASSEMBLIES OF GOD (CAG)
Canaan Christian Worship Center (CCWC)
SUA Road, Morogoro, Tanzania.

Pastor Stan will be in the house...
12/08/2026

Pastor Stan will be in the house...

12/08/2026

My assignment

Wednesday service with Pastor Evance Mnembuka
12/08/2026

Wednesday service with Pastor Evance Mnembuka

12/08/2026

My assignment

Save the date

12/08/2026

Kijana Joshua John Benjamin ambae ni mwanafunzi wa chuo kikuu Mzumbe, Morogoro ambae yuko kwenye program ya mentorship ya kanisa letu akihubiri katika mitaa ya mji wa Morogoro.

Tunamshukuru Askofu wetu Dr. Elibariki Makundi kwa maono haya ya kuanzisha program maalum ya kulea na kukuza vipawa vya wanafunzi wa vyuo vilivyopo katika mji huu wa Morogoro. Kwa hakika vijana hawa wameendelea kuwa baraka vyuoni mwao, kwa vijana wenzao, kwa kanisa na hata kwenye familia zao.

Tunaendelea kuwaombea vijana wetu wote walioko masomoni, waweze kufanikiwa katika masomo yao lakini pia kuendelea kuukulia wokovu ili Kristo aliye ndani yao apate kuonekana kwa mataifa.

Ni kesho saa 10 jioni, usikose!!
11/08/2026

Ni kesho saa 10 jioni, usikose!!

Wiki hii ikawe ya ushindi katika kila utakachogusa kukifanya
11/08/2026

Wiki hii ikawe ya ushindi katika kila utakachogusa kukifanya

11/08/2026

Hisia

Address

Manzese Street
Morogoro

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Canaan Christian WC posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Canaan Christian WC:

Shortcuts

Share