The PISON Ministry-Tanzania

The PISON Ministry-Tanzania Th Churchlove Gather Founded by Bro ENE MZAVA is about demonstrating the love of God through Christ

19/01/2023
01/03/2017

Thamani ya mtu haipo katika idadi ya vipande vya shilingi vilivyo katika mikono yake bali hupimwa kwa zawadi ya hazina iliyowekwa na Mungu ndani ya mtu. Sio kila mtu anaweza kuliona hili,inahitajika neema ya nguvu ya mafunuo kuweza kulitambua hili ndio maana watu wengi wanaishi kwa kuiga watu,kuishi kwa mitazamo ya watu kwa jinsi wao wanavyotaka yeye aishi na hivyo kuacha kuishi na kufanya yale wanayopaswa kufanya kulingana na uwezo na nguvu ulio ndani ya mtu.

ulivyo usiruhusu wakutafute ulivyo.
ndoto zako.
ni cha muhimu kuliko walicho nacho ndio maana haukuwa nacho ila ukawa nacho ulichotakiwa uwe nacho.
.

01/01/2017

The PISON Ministry-Tanzania,

Published by Ene Mzava 28 June 2016 at 08:47 ยท Wakati wa majaribu,shida na taabu ni wakati wa kifursa wa kuonyesha nafasi ya kiimani katika mahusiano kati ya mwanadamu na Mungu.Imani ipo katika kuisemea nafasi katika mahusiano hivyo basi ukubwa wa imani,udogo wa imani au kutokuwepo kwa imani ndani ya mtu hukamilisha tafsiri ya kimaana ya aina ya mahusiano aliyonayo mtu na Mungu. Ayubu 1:10,11,12,20-22. Ayubu 2:9-10

Like Comment S

01/01/2017

SURA YA MWAKA 2017:

2017 ni mwaka ambao ni mkubwa wenye changamoto kubwa,mapito makubwa,maadui wakubwa,vihoja vikubwa,maneno makubwa.Wenye uvumilivu na waliotambua na kukaa katika nafasi zao ndio watakao stahilimili na kupata mafanikio zaidi kwani changamoto watakazokumbana nazo hazitawafanya wapoteze muda kwayo bali itakua ni njia ya kujifunza na kuwa karibu na Mungu zaidi na zaidi.Shukuru kwa changamoto zinazokuja mbele yako.Omba Mungu aiinarishe nafasi uliyonayo au akuweke katika nafasi unayopaswa uwepo maana bila hivyo hakuna chochote cha kudumu utakacho kifanya. Kuwa makini na watu wa karibu yako k**a vile mpenzi,wapenzi,marafiki,jirani n.k wasije wakatumika kwa maneno yao au kwa matendo katika kukuondoa katika nafasi/mahusiano yako na Mungu,sio kwa matendo tuu mabaya hata pia maneno jaribu kuyapuuza na kuwa mbali nayo-ongeza juhudi katika kumjua Mungu. #2017 Expectchallenges. . . Anointed Feelings. 2017-THE YEAR OF SPIRITUAL MATURITY.(You must meet with God through challenges) HAPPY NEW YEAR-2017.

19/10/2016

"Whatever makes men good Christians makes them good citizens." - T.B Joshua.

13/09/2016

"When we doubt the Father in Heaven, we are doubting His Word and when we doubt His Word, it is because we believe something else that is contrary to that Word." - TB Joshua

26/08/2016

Tanzania kwa sasa ipo katika kipindi ambacho WENYE NGUVU (Living Christians) wanao wajibu wa KUWABEBA WASIO NA NGUVU.

kwa ajili ya Amani ya Tanzania izidi kuonekana.

kwa ajili ya Jeshi la Polisi lifanye kazi yake kwa ufanisi na viwango vinavyotakiwa zaidi.

WENYE MACHO HAWATAONA WALA WENYE MASIKIO HAWATASIKIA-

UPDATE KUTOKA VIKINDU: Wamek**atwa jumla ya majambazi 14 na wengi wao ni askari wastaafu.- Kiongozi wao ni Kanali Mstaaf...
26/08/2016

UPDATE KUTOKA VIKINDU: Wamek**atwa jumla ya majambazi 14 na wengi wao ni askari wastaafu.

- Kiongozi wao ni Kanali Mstaafu wa Jeshi.

Zaidi, soma => https://goo.gl/ACkKNn

Address

Morogoro
3022

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when The PISON Ministry-Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to The PISON Ministry-Tanzania:

Share