East-Central Tanzania Conference

East-Central Tanzania Conference Huu ukurasa umefunguliwa rasimi leo kwa ajili ya kufikisha neno la MUMNGU kwa watu wote, kutoa taarifa na yanayojiri kutoka makao makuu ya Konferensi, ECT

Uzinduzi wa uinjilisti katika milima ya Uluguru
26/12/2024

Uzinduzi wa uinjilisti katika milima ya Uluguru

03/11/2024
Salamu za pongezi na shukrani kutoka kwa Mwenyekiti wa Konferensi ya Mashariki-Kati mwa Tanzania ECT kwa ufaulu mzuri wa...
30/10/2024

Salamu za pongezi na shukrani kutoka kwa Mwenyekiti wa Konferensi ya Mashariki-Kati mwa Tanzania ECT kwa ufaulu mzuri wa Shule ya Agape inayomilikiwa na Konferensi hiyo.

ECT YAUNGANA NA KANISA LA WAADVENTISTA WA SABATO ULIMWENGUNI KUSHEHEREKEA MIAKA 150 YA UTUME.Konferensi ya Mashariki-kat...
28/10/2024

ECT YAUNGANA NA KANISA LA WAADVENTISTA WA SABATO ULIMWENGUNI KUSHEHEREKEA MIAKA 150 YA UTUME.

Konferensi ya Mashariki-kati mwa Tanzania (ECT) imeshiriki kikamilifu katika sherehe hizi zilizoanza tarehe 25 -26, Oktoba 2024, zikifunguliwa rasmi na Mheshimiwa Daniel Baran Sillo, Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi. Katika hotuba yake, alilishukuru kanisa kwa mchango wake mkubwa katika kujenga taifa kupitia taasisi zake za elimu, afya, na huduma mbalimbali kwa jamii.

Sherehe hizi zilikuwa na kaulimbiu, “Bwana Fufua Kazi Yako - Nitakwenda kwa Utume,” ambapo Mchungaji Godwin Lekundayo, Mwenyekiti wa Kanisa la Waadventista wa Sabato Union ya Kusini mwa Tanzania, aliwahimiza waumini wote kuendelea kudumu katika imani na kuhubiri injili kwa watu wote.

Pamoja na mengi yaliyofanyika Kilizinduliwa kitabu cha utume (Pambano Kuu) pia ECT ilitoa vyeti vya shukrani na pongezi kwa waasisi wa Utume katika ECT na baadhi ya viongozi wa kale wa konferensi hiyo.

Sherehe hizo zilifanyika katika Uwanja wa Jamhuri, Morogoro.
Yafuatayo ni matukio mbalimbali yaliyojiri kwenye sherehe hizo, katika picha.

Salamu za pole
30/07/2024

Salamu za pole

18/06/2024

Karibu katika ibada maalum Kanisa la Waadventista wa Sabato Magomeni jijini Dar es Salaam .

Karibu Tanzania
18/06/2024

Karibu Tanzania

24/05/2024

Dr. Ganoune Diop, General Conference Public Affairs and Religious Liberty director, was admitted to the hospital on May 16, 2024. He is being treated in an intensive care unit for a cardiac ailment of uncertain cause. He is receiving excellent, state-of-the art medical treatment.

The Diop family have shared that Pastor Diop’s condition is currently stable and includes certain surgical procedures that have been performed.

Pr. Ted Wilson thanks the world church family for your prayers of intercession on behalf of a complete recovery for Dr. Diop.

We ask everyone to earnestly pray for the entire Diop family and for Pastor Diop’s healing and complete restoration by the Master Physician.

- GC Communication Department

24/05/2024

Address

Morogoro
82

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when East-Central Tanzania Conference posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to East-Central Tanzania Conference:

Share