BCIM -The Body Of Christ International Ministry

BCIM -The Body Of Christ International Ministry Gospel Propagation

11/02/2024

Mwanzo 3:16 .
Jinsi ya kumtawala mwanamke.

26/12/2023
Nabii Deo Akifanya Maombezi Kwa Mwanamke Ambae Ameteseka Muda Mrefu na ndoto mbaya,maumivu na shida nyingi kwenye ujauzi...
14/02/2021

Nabii Deo Akifanya Maombezi Kwa Mwanamke Ambae Ameteseka Muda Mrefu na ndoto mbaya,maumivu na shida nyingi kwenye ujauzito wake,Mungu alimuweka huru mwanamke huyu na uzao wake upo salama hata sasa.



.
RATIBA ZA IBADA
Alhamisi - Jumamosi
(Saa 9 alasiri -12 Jioni)
Jumapili
(Saa 3 Asbh-8 Mchana)
Kwa Mafundisho ya neno la Mungu na maombezi wa mahitaji ya aina zote mnakaribishwa na Mungu atawaweka huru.

14/02/2021

THE BIG SUNDAY.
Prophet Deo
Mkundi Nguzo Mbili
Morogoro Tanzania
Title:HATUA ZA KUTOKA
K**a ni namna gani unaweza kutoka ndivyo unavyoweza kuingia.

HUDUMA YA MWILI WA KRISTO MOROGORO KUPITIA NABII DEO INAKUKARIBSHA KATIKA IBADA KUBWA YA KINABII JUMAPILI HII.NI MAHALI ...
23/05/2020

HUDUMA YA MWILI WA KRISTO MOROGORO KUPITIA NABII DEO INAKUKARIBSHA KATIKA IBADA KUBWA YA KINABII JUMAPILI HII.
NI MAHALI PALEPALE MKUNDI NGUZO MBILI MOROGORO.
PIA TUTAKUWA LIVE KUANZIA SAA TANO KUPITIA UKURASA HUU WA FACEBOOK
USIKOSE




Body of christ ministries sasa ipo rasmi katika mtandao wa kijamii wa instagram.Unaweza kufollow page ya instagram kwa m...
05/01/2020

Body of christ ministries sasa ipo rasmi katika mtandao wa kijamii wa instagram.
Unaweza kufollow page ya instagram kwa mafundisho na shuhuda mbalimbali ambazo Mungu anazitenda kupitia madhabahu ya BCIM.
Unaweza kufollow page hiyo kwa kugusa tu link hii
https://www.instagram.com/p/B66VbkYhbjw/?igshid=rtlkbmgjom6v
Shalom

04/08/2019
"KILOSA NA VIUNGA VYANGE PANGA KUSHIRIKI BARAKA HIZI"
18/07/2019

"KILOSA NA VIUNGA VYANGE PANGA KUSHIRIKI BARAKA HIZI"

DAY 4.SIKU YETU YA NNE NA YA MWISHO YA MKUTANO WETU WA INJILI,MUNGU AMEFUNGUA WATU KWA NAMNA YA PEKEE NA WATU WENGI WAME...
07/07/2019

DAY 4.
SIKU YETU YA NNE NA YA MWISHO YA MKUTANO WETU WA INJILI,MUNGU AMEFUNGUA WATU KWA NAMNA YA PEKEE NA WATU WENGI WAMEOKOLEWA NA KUMPOKEA BWANA YESU,UTUKUFU KWA MUNGU MKUU

Address

Morogoro

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when BCIM -The Body Of Christ International Ministry posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share