03/07/2022
Ni ibada ya moto k**a nini! Sote tumeitwa kutubu SASA na kuishi maisha matakatifu yanayostahili damu iliyomwagika msalabani kwa ajili yetu. Kuzimu ni mahali pabaya sana kuwa, epuka hukumu hio.
Tazama ibada hii ya moto hapa: https://www.youtube.com/watch?v=8-XvxjBlLkM