Shirika la Mtakatifu Augustino - Vicarieti ya Tanzania

Shirika la Mtakatifu Augustino - Vicarieti ya Tanzania Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Shirika la Mtakatifu Augustino - Vicarieti ya Tanzania, Catholic Church, Morogoro.

Tuungane na Fr. Geofrey Mtitu OSA kumshukuru Mungu kwa Zawadi ya siku yake ya kuzaliwa
05/05/2026

Tuungane na Fr. Geofrey Mtitu OSA kumshukuru Mungu kwa Zawadi ya siku yake ya kuzaliwa

Karibuni Mshirikishe Mwenzio kwa Elimu Bora na Malezi Mazuri
22/01/2026

Karibuni Mshirikishe Mwenzio kwa Elimu Bora na Malezi Mazuri

Picha Mbalimbali za Watawa na Mapadre wa Shirika letu Tanzania, katika Mkutano Mkuu leo Tarehe 14/01/2026.
14/01/2026

Picha Mbalimbali za Watawa na Mapadre wa Shirika letu Tanzania, katika Mkutano Mkuu leo Tarehe 14/01/2026.

Mkutano wa Pili wa Vikarieti ya Tanzania 2026
14/01/2026

Mkutano wa Pili wa Vikarieti ya Tanzania 2026

13/09/2025
Tunamshukuru Mungu kwa Zawadi ya Mapadre ndani ya Shirika letu.
13/09/2025

Tunamshukuru Mungu kwa Zawadi ya Mapadre ndani ya Shirika letu.

Tunamshukuru Mungu kwa Zawadi ya Miito ndani ya Shirika letu leo tumepata Padre Mpya Tumwombee ili adumu katika wito wak...
23/08/2025

Tunamshukuru Mungu kwa Zawadi ya Miito ndani ya Shirika letu leo tumepata Padre Mpya Tumwombee ili adumu katika wito wake

08/05/2025

Tunamshukuru Mungu
Kwa zawadi ya Papa mpya Robert Francis Revost, OSA. ndani ya Kanisa.
PAPA LEO WA 14

K**a Shirika tunamshukuru Mungu zaidi kwa sababu ni Mwanashirika wetu wa Shirika la Mtakatifu Augustino.

Tumwombee afanye kazi ya Mungu vizuri

PAPA LEO XIV
08/05/2025

PAPA LEO XIV

Tumtakie kheri na Baraka Padre Geofrey Mtitu OSA Paroko wa Parokia ya Mt Nicholas wa Tolentino Msingwa Dar es Salaam kat...
05/05/2025

Tumtakie kheri na Baraka Padre Geofrey Mtitu OSA Paroko wa Parokia ya Mt Nicholas wa Tolentino Msingwa Dar es Salaam katika Utume wake leo anapofanya Kumbukumbu ya Kuzaliwa kwake.

Happy birthday kwako Padre

Address

Morogoro

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Shirika la Mtakatifu Augustino - Vicarieti ya Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Shirika la Mtakatifu Augustino - Vicarieti ya Tanzania:

Share