18/01/2026
π SOMO:
π Karibu uungane nasi katika ibada zetu za kumtukuza Mungu.
Ni wakati wa kujifunza Neno, kuabudu na kubarikiwa pamoja.
π Mahali: Morogoro β Msamvu
(Jirani na Stendi ya Mabasi)
π€ BISHOP: Albinus Samson
π Mawasiliano / Support ya Huduma:
0713 421 904
β¨ Usikose baraka zako β karibu sana!