Mashujaa wa Imani

Mashujaa wa Imani Religious

16/11/2024

Sistahili ila nitambebaYesu

16/11/2024

Avoid sin at all costs you will be free

02/09/2024

Macho yako yametazama nini leo?

12/01/2024

Heri yao waliotangulia mbele za haki huku wakiwa wameandaa Jeshi la kusali kwa ajili yao.

KUNA UWEZEKANO MBINGU ZIKAHUSIKANi jambo la kawaida sana kujifunza mambo mengi na magumu wakati ukiwa unapita kipindi ki...
23/10/2021

KUNA UWEZEKANO MBINGU ZIKAHUSIKA

Ni jambo la kawaida sana kujifunza mambo mengi na magumu wakati ukiwa unapita kipindi kigumu

K**a ulikuwa huwezi kuamini Nguvu ya SALA basi utaijifunza k**a uzima wako au kesho yako inategemea na sala yako ya leo

Huwezi kujifunza IMANI, MATUMAINI na MAPENDO katika hali ya kawaida.

Jiulize, leo unaishi ukiwa na tumaini gani kesho? K**a ukijikuta huna hata nguvu ya kuombea jambo lako unalolitumaini basi fahamu kuwa umeshakata tamaa au huamini k**a kuna uwezekano MBINGU zikakusaidia

Changamoto unayopitia leo, IKUMBATIE ili upate nafasi ya kupanda kitu ndani ya MOYO wako

Usiharakishe kukimbilia kuitatua au kutafuta kuombewa kabla haujatumika fursa hiyo kuona ni nini unaweza kupanda hapo je ni TABIA mpya? Rafiki mpya? elimu Mpya? angalia sio bure tu unakwama kuna Mbegu unatakiwa kuipanda hapo kwa ajili ya kesho yako

Namna pekee MBINGU zitahusika katika maisha yako ni kupitia YALE AMBAYO hayaelezeki KATIKA ulimwengu huu

Usiache mateso au mapito yawe bure, Jenga, jambo jipya 🙏

KESHENI“Na hilo niwaambialo ninyi, nawaambia wote, Kesheni.”‭‭Mk‬ ‭13:37‬ ‭SUV‬‬🩸“Angalieni, kesheni, [ombeni], kwa kuwa...
14/10/2021

KESHENI

“Na hilo niwaambialo ninyi, nawaambia wote, Kesheni.”
‭‭Mk‬ ‭13:37‬ ‭SUV‬‬🩸

“Angalieni, kesheni, [ombeni], kwa kuwa hamjui wakati ule utakapokuwapo.”
‭‭Mk‬ ‭13:33‬ ‭SUV‬‬ 🩸

“Kesheni, mwombe, msije mkaingia majaribuni; roho i radhi, lakini mwili ni dhaifu.”
‭‭Mt‬ ‭26:41‬ ‭SUV‬‬ 🩸

“Kesheni, simameni imara katika Imani, fanyeni kiume, mkawe hodari.”
‭‭1 Kor‬ ‭16:13‬ ‭SUV‬🩸

“Kwa hiyo kesheni, mkikumbuka ya kwamba miaka mitatu, usiku na mchana, sikuacha kumwonya kila mtu kwa machozi.”
‭‭Mdo‬ ‭20:31‬ ‭SUV 🩸

14/10/2021

Hakuna sala ya kuondoa vishawishi na vikwazo ila ipo ya kuongeza nguvu ya imani🩸

“The Lord looks down in love, bending over heaven’s balcony. God looks over all of Adam’s sons and daughters, looking to...
14/10/2021

“The Lord looks down in love, bending over heaven’s balcony. God looks over all of Adam’s sons and daughters, looking to see if there are any who are wise with insight— any who search for him, wanting to please him.”
‭‭Psalms‬ ‭53:2‬ ‭TPT‬‬
https://bible.com/bible/1849/psa.53.2.TPT

07/10/2021

Kuna Jambo ambalo tunapaswa kulifanya leo ila wote hatulijui, ila tunataka kesho yetu iwe Bora zaidi ya leo, TUMSHUKURU TU MUNGU

07/10/2021

Kwa Imani Ibrahim alipokea urithi, Imani ni zawadi kubwa sana, huwezi kuihamisha wala kulazimisha, ni zawadi💞

Address

Dodoma Road
Morogoro

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mashujaa wa Imani posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Mashujaa wa Imani:

Share