RUAHA FPCT

RUAHA FPCT Yohana 16:24
[24]Hata sasa hamkuomba neno kwa jina langu; ombeni, nanyi mtapata; furaha yenu iwe timilifu.

Hitherto have ye asked nothing in my name: ask, and ye shall receive, that your joy may be full.

Karibu sana kwenye Semina ya wiki ya pentecostal kanisa la RUAHA FPCT
22/05/2026

Karibu sana kwenye Semina ya wiki ya pentecostal kanisa la RUAHA FPCT

Leo ni siku yetu ya pili Tufike wote.
21/05/2026

Leo ni siku yetu ya pili Tufike wote.

Jana tulianza semina yetu ilikuwa nzuri sana tulikula chakula kizuri cha Roho Mtakatifu.
21/05/2026

Jana tulianza semina yetu ilikuwa nzuri sana tulikula chakula kizuri cha Roho Mtakatifu.

Tunawakalibisha watu wote kwenye semina ya wiki la pentecostal.Kanisa la RUAHA FPCT
21/05/2026

Tunawakalibisha watu wote kwenye semina ya wiki la pentecostal.
Kanisa la RUAHA FPCT

Mathayo 12:18.Tazama, mtumishi wangu niliyemteua; Mpendwa wangu, moyo wangu uliyependezwa naye; Nitatia roho yangu juu y...
13/05/2026

Mathayo 12:18.
Tazama, mtumishi wangu niliyemteua;
Mpendwa wangu, moyo wangu uliyependezwa naye;
Nitatia roho yangu juu yake,
Naye atawatangazia Mataifa hukumu.

03/01/2025

Sijui ufanyavyo Yesu weeeee sijui utendavyo kile nacho jua ukiamlisha vinakamilika. Follow page yetu hii kupata update ya kila Ibada zetu hapa RUAHA FPCT

Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.
28/04/2024

Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.

28/04/2024
Moja kati ya wapiganaji vyombo wetu.
20/04/2024

Moja kati ya wapiganaji vyombo wetu.

Matukio kwa ibada zetu RUAHA FPCT @
20/04/2024

Matukio kwa ibada zetu RUAHA FPCT @

Address

Morogoro

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when RUAHA FPCT posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share