PNN Catholic Media

PNN  Catholic Media CATHOLIC MEDIA ni jukwaa la mtandaoni linaloongozwa na Frt. PROTAS NICODEMUS NGAWAYASI (PNN)

Tunawatakia waumini wote wa Katoliki Kwaresima njema yenye toba na baraka.Kufunga, kusali na kutubu ni njia za kutuweses...
18/02/2026

Tunawatakia waumini wote wa Katoliki Kwaresima njema yenye toba na baraka.
Kufunga, kusali na kutubu ni njia za kutuwesesha kutenda wema kwa wengine, hututakasa dhidi ya mazoea mabaya, hutuimarisha kiroho, hutuchochea kuwasaidia wenye uhitaji, na hutuwezesha kuwa karibu zaidi na Mungu na wenzetu.

Karibu unaweza tumia link kusubscribe👇 👇https://youtube.com/Au ukaandika PNN CATHOLIC MEDIA kupitia youtube
03/05/2023

Karibu unaweza tumia link kusubscribe👇 👇
https://youtube.com/
Au ukaandika PNN CATHOLIC MEDIA kupitia youtube

LINK 》》 https://youtube.com/Uongozi wa  CATHOLIC MEDIA unawaalika wote kushiriki zoezi la uinjilishaji kwa ku- subscribe...
25/04/2023

LINK 》》 https://youtube.com/

Uongozi wa CATHOLIC MEDIA unawaalika wote kushiriki zoezi la uinjilishaji kwa ku- subscribe channel yetu iliyopo youtube. CATHOLIC MEDIA ni channel ya mkononi yenye lengo kuu la uinjilishaji kupitia vipindi vya nyimbo, tafakari, maisha ya watakatifu na taarifa mbalimbali zenye maudhui ya Kanisa Katoliki. KARIBUNI WOTE.

Address

Ifakara
Morogoro
0000

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when PNN Catholic Media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to PNN Catholic Media:

Share