Utoto Mtakatifu Morogoro

Utoto Mtakatifu Morogoro Mtoto ni Malezi

time to go18 Juni 2026  ni Yetu      Twenzetu
13/05/2026

time to go
18 Juni 2026
ni Yetu
Twenzetu

  ni Yetu    Twenzetu Karibuni sana Kwa mahitaji ya Sare za Utoto Mtoto Mtakatifu.Watoto na Walezi  Haraka na Nafuu  tup...
06/05/2026

ni Yetu
Twenzetu
Karibuni sana Kwa mahitaji ya Sare za Utoto Mtoto Mtakatifu.Watoto na Walezi
Haraka na Nafuu
tupigie simu Sasa πŸ“ž0766101415
Tunakuletea popote Tanzania


05/05/2026

Morogoro tutakuwepo
ni Yetu
Twenzetu

TANZIA !Kwa Masikitiko makubwa Naomba Kuwapa taarifa ya kifo Cha Mmisionari Mwenzetu (Mtoto)  VANESA RAYMOND kutoka Kani...
27/04/2026

TANZIA !
Kwa Masikitiko makubwa Naomba Kuwapa taarifa ya kifo Cha Mmisionari Mwenzetu (Mtoto) VANESA RAYMOND kutoka Kanisa Kuu Kigango Cha KIlakala kilchotokea Jumapili tarehe 26.04.2026
Taarifa zaidi tutawajuza

β€œKwa maana tukiishi, twaishi kwa Bwana; na k**a tukifa, twafa kwa Bwana. Basi k**a tukiishi au tukifa, tu mali ya Bwana.” Warumi 14:8

Imetolewa na Ofisi ya PMS Jimbo la Morogoro

Big shout out to my newest top fans! πŸ’Ž Oliver NgowiDrop a comment to welcome them to our community,
19/03/2026

Big shout out to my newest top fans! πŸ’Ž Oliver Ngowi

Drop a comment to welcome them to our community,

  ni Yetu Basi TwenzetuGharama zilizoanishwa ni Kwa watu wa Jimbo Katoliki Morogoro Hivyo Kila Jimbo limeandaa utaratibu...
11/03/2026

ni Yetu
Basi Twenzetu
Gharama zilizoanishwa ni Kwa watu wa Jimbo Katoliki Morogoro
Hivyo Kila Jimbo limeandaa utaratibu wake
&Kujitambua

TABIA NJEMA NI SILAHAMtu mmoja alisema"Moyo mwema ni bustani,Mawazo mema ni mizizi, Maneno Mazuri ni maua,Matendo Mema n...
09/03/2026

TABIA NJEMA NI SILAHA
Mtu mmoja alisema
"Moyo mwema ni bustani,Mawazo mema ni mizizi,
Maneno Mazuri ni maua,Matendo Mema ni matunda.
Hatuwezi kukwepa maneno haya tunapozungumzia tabia NJEMA
Maana yake mtu Mwenye tabia nzuri anatawala mawazo yake, maneno yake na Matendo yake
njema ni silaha kutabasamu

Rumi 14:8"Kwa maana k**a tukiishi, twaishi kwa Bwana, au k**a tukifa, twafa kwa Bwana. Basi k**a tukiishi au k**a tukifa...
20/02/2026

Rumi 14:8
"Kwa maana k**a tukiishi, twaishi kwa Bwana, au k**a tukifa, twafa kwa Bwana. Basi k**a tukiishi au k**a tukifa, tu mali ya Bwana".

Maisha ni Hatua Pumzika Kwa Amani Binti wa YesuπŸ‘‹πŸ‘‹πŸ˜­πŸ˜­

18/02/2026

ni Mwalimu wa Amani Katika Familia

NIFUNGE NINI KWARESIMA.?β€’ Hili ni swali tunalojiuliza wengi, ila majibu yake ni k**a ifuatavyo:1. Funga dhambi upate uta...
18/02/2026

NIFUNGE NINI KWARESIMA.?

β€’ Hili ni swali tunalojiuliza wengi, ila majibu yake ni k**a ifuatavyo:

1. Funga dhambi upate utakatifu.

2. Funga huzuni upate furaha.

3. Funga majivuno upate utukufu.

4. Funga wivu upate baraka.

5. Funga kinyongo upate faraja.

6. Funga uchoyo upate neema.

7. Funga dharau upate heshima.

8. Funga hofu upate imani.

9. Funga kiburi upate unyenyekevu.

10. Funga hasira upate upole.

11. Funga ujinga upate hekima.

12. Funga umbea upate amani.

13. Funga matusi upate uchaji.

14. Funga aibu upate ujasiri.

15. Funga chuki upate marafiki.

16. Funga uvivu upate mafanikio.

17. Funga ulevi upate afya.

18. Funga uzinzi upate wongofu.

19. Funga roho mbaya upate upendo.

20. Funga starehe upate muda wa sala.

β€’ Mpendwa! Yatupasa kipindi hiki cha Kwaresima tufunge yote yaliyo mabaya, ili tupate mema tusiyoyatarajia kutoka kwa Muumba wetu. Hivyo Kwaresima ya mwaka huu, ikawe ya tofauti sana maishani mwetu.

NAWATAKIA KWARESMA NJEMA

Address

Morogoro

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Utoto Mtakatifu Morogoro posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Utoto Mtakatifu Morogoro:

Share