Luzu Prayer Mountains

Luzu Prayer Mountains TO MAKE FAMILY WATCHERS . BY PRAYER IN FAITH WE HEAL LAND. JAMES 5:15-17. AM A WORRIOR PRAYER...

15/05/2026

To be returned...Day 76
1Sam 10:6..

15/05/2026

1Samweli 10:6...
Hakuna wa kubadirisha maisha yako nabii wa maisha yako ni kinywa chako kilichovuviwa Roho wa Bwana.
Dont miss haya maombi ya siku tatu hzi hapa luzu .
Jitahidi ujiungamanishe nasi kila jtano,ijumaa na jpil jion.
Kupitia facebook na You tube acaunt.
Mungu ametupa mahali pa makimbilio Tanzania napo ni hapa luzu prayer point ..
Watsup group prayer 0712901414.
Huduma za maombezi na sadaka iman 0752854513(James Mwasomola).
Karibu ushiriki nasi neno na maombi..

Day 76... Heloe family of luzu tumevuka mno kati ya siku zile 90 tumebakisha siku chache mno kuhitimisha safari yetu. Mi...
15/05/2026

Day 76...
Heloe family of luzu tumevuka mno kati ya siku zile 90 tumebakisha siku chache mno kuhitimisha safari yetu.
Mim mtumishi wako nataka kukwambia kuwa nakuhakikishia kuwa upo ushindi mbele yako .
Usiache kuungana nasi hapa siku hzi tatu kwa ajili ya kugeuza maisha yetu kwa roho ya kinabii ya kinywa chako.
1samweli 10:6 anatukumbusha kuwa ni baada ya kukutana nao tu ile roho ikamwingia and what we belive ni kuwa utakapokutana na neno hili maana ile Roho imeshakuingia na kwa kuwa hapa tulipo ni matokeo ya maneno ya vinywa vyetu basi unaweza kubadili na kugeuzwa kuwa mtu mwingine kwa maneno yako mwenyewe..
Usiache komaa mwanafamilia wa luzu...

Day 69....Ezra 6:1....Vikaanza kurejeshwa ...Its time to us kurejesha vyote vilivyochukuliwa na ufalme mwingine ...Leo t...
08/05/2026

Day 69....
Ezra 6:1....
Vikaanza kurejeshwa ...
Its time to us kurejesha vyote vilivyochukuliwa na ufalme mwingine ...
Leo tutarejesha Afya zetu,uchumi wetu,Rejesha ndoa,rejesha heshima ,rejesha kibali,rejesha amani,rejesha furaha maana Bwana ametupa wakati ya kuwa ufalme umevunjwa uliokuwa kizuizi chako....
Luzu prayer mountain ni leo jion mpaka jpil...
Be strongly

06/05/2026
Yeremia 28:1-2..Ni ufalme gani ulio mbele yako uliokusumbua kwa miaka mingi basi jua Bwana wa Majeshi ametujia kwa sauti...
05/05/2026

Yeremia 28:1-2..
Ni ufalme gani ulio mbele yako uliokusumbua kwa miaka mingi basi jua Bwana wa Majeshi ametujia kwa sauti kubwa kuwa majira haya ya mwezi wa tano hakikisha unajitenga na kupata muda wa kupeleka maombi yako mbele yaje maana amevunja hicho kiambaza cha huo ufalme na sasa upo huru....

03/05/2026

Day 63..
Yeremia 28:1-2...
Ilipofika mwezi wa Tano akavunja nira ya mfalme wa Babeli....
Usimiss this prayer katika uwanja wa vita....

Address

Sangasanga
Morogoro
BOX518

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Luzu Prayer Mountains posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Luzu Prayer Mountains:

Share