Enhakore International Ministry

Enhakore International Ministry Maombi na maombezi

28/02/2022

Zaburi 18:1-2 Wewe, BWANA, nguvu zangu, nakupenda sana; BWANA ni jabali langu, na boma langu, na mwokozi wangu, Mungu wangu, mwamba wangu ninayemkimbilia, Ngao yangu, na pembe ya wokovu wangu, na n…

Unakaribisha wewe mkazi wa Morogoro pamoja na wakazi wa jirani na Morogoro kwenye semina kubwa ya neno la Mungu itakayoa...
25/05/2021

Unakaribisha wewe mkazi wa Morogoro pamoja na wakazi wa jirani na Morogoro kwenye semina kubwa ya neno la Mungu itakayoanza siku ya kesho Jumatano tarehe 26/05/2021 hadi tarehe 30/05/2021 kuanzia saa 9:30 alasiri mpaka saa 12:00 jioni, ni pale Kiegea A mtaa wa mapacha watatu,
Seminar itaongozwa na mtumishi wa Mungu nabii Kensika kutoka Kenya pamoja na mwenyeji wake mtumishi wa Mungu nabii Emmakulatha Mwambi, Mwimbaji maarufu wa nyimbo za injili Godfrey Mwakipembati atakuwepo na wengine wengi, njoo ukutane na nguvu ya Mungu ya kufunguliwa vifungo vya giza, uponyaji na nyota ya fedha,
karibuni sana watu wa dini zote mnakaribishwa

Kutana na mtumishi wa Mungu nabii Immakulatha Mwambi kwa maombi na maombezi, pamoja na unabii wa mtu mmoja mmoja, ni kig...
09/04/2021

Kutana na mtumishi wa Mungu nabii Immakulatha Mwambi kwa maombi na maombezi, pamoja na unabii wa mtu mmoja mmoja, ni kigea A kata ya Kihonda mkoa wa Morogoro, karibu sana kwa mawasiliano piga namba 0714694832

Mtumishi wa Mungu nabii Imakulatha Mwambi anawatakia Pasaka njema, anawapenda wote na anawaombea, mbarikiwe wote
04/04/2021

Mtumishi wa Mungu nabii Imakulatha Mwambi anawatakia Pasaka njema, anawapenda wote na anawaombea, mbarikiwe wote

Tunakukaribisha ibadani wewe mkazi wa Morogoro pamoja na wakazi wa jirani na Morogoro kuanzia saa 3:30 asubuhi mpaka saa...
28/03/2021

Tunakukaribisha ibadani wewe mkazi wa Morogoro pamoja na wakazi wa jirani na Morogoro kuanzia saa 3:30 asubuhi mpaka saa 7:30 mchana ni pale Kiegea mtaa wa mapacha watatu, karibuni sana watu wa dini zote mnakaribishwa

Jiunganishe na ibada ya leo nabii wa Bwana anaenda kufanya muujiza wa kuondoa mapooza yote yaliyokutesa, mapooza ni vitu...
21/03/2021

Jiunganishe na ibada ya leo nabii wa Bwana anaenda kufanya muujiza wa kuondoa mapooza yote yaliyokutesa, mapooza ni vitu vizuri vinavyozaliwa vinakufa, karibuni watu wa dini zote mnakaribishwa, ni pale kiegea A panda daladala za kihonda mkundi ushukie mzani wa zamani, kisha chukua bodaboda mwambie akupeleke kanisa jipya utakuwa umefika Enhakore International Church Morogoro

2 Wafalme 2:19
Watu wa mjini wakamwambia Elisha, Angalia, twakusihi, mahali pa mji huu ni pazuri, k**a bwana wangu aonavyo; lakini maji yake hayafai, na nchi huzaa mapooza.

Usipange kukosa mtu wa Mungu karibu ibada ya kuvuliwa vazi la aibu na kuvikwa vazi la utukufu, ni  kiegea A mtaa wa mapa...
10/03/2021

Usipange kukosa mtu wa Mungu karibu ibada ya kuvuliwa vazi la aibu na kuvikwa vazi la utukufu, ni kiegea A mtaa wa mapacha watatu kata ya Kihonda, watu wa dini zote mnakaribishwa!

We proud of you our super woman
08/03/2021

We proud of you our super woman

15/02/2021

USIKOSE KUMSIKILIZA MTUMISHI WA MUNGU KENSIKA KUTOKA KENYA SAA 3:KAMILI USIKU MPAKA SAA 4 KAMILI USIKU MVIWATA FM MOROGORO 106:7

Kaa karibu na redio yako Muda unakaribia, karibuni Sana

Ni bahati nyingine tena Mungu ametupendelea katika huduma yetu ya Enhakore International Church, tunatarajia kumpokea mt...
14/02/2021

Ni bahati nyingine tena Mungu ametupendelea katika huduma yetu ya Enhakore International Church, tunatarajia kumpokea mtumishi wa Mungu kutoka Kenya Apostle Kensika, atakuwa anatuhudumia katika semina ya neno la Mungu kuanzia siku ya Jumatano tarehe 17/02/2021 mjini Morogoro kata ya Kihonda Kiegea A unashuka mzani wa zamani kisha unapanda bodaboda mwambie akupeleke kanisa jipya, karibuni Sana njoo na familia, alika na wengine, tutakuwa na mwimbaji maarufu wa nyimbo za injili Godfrey Mwakipembati pamoja na waimbaji binafsi, watu wa dini zote mnakaribishwa

Shalom! ShalomNakukaribisha wewe mkazi wa Morogoro na nje ya Morogoro kwenye ibada yetu ya Jumapili ya  tarehe 07/02/202...
04/02/2021

Shalom! Shalom
Nakukaribisha wewe mkazi wa Morogoro na nje ya Morogoro kwenye ibada yetu ya Jumapili ya tarehe 07/02/2021

Mungu anaenda kusema na wewe kupitia mtumishi wake, PROPHETESS IMMAKULATA MWAMBI

Neno la Jumapili
IBADA YA KUTAMBULIKA
Warumi 10:13-15 kwa kuwa, Kila atakayeliitia Jina la Bwana ataokoka.
14 Basi wamwiteje yeye wasiyemwamini? Tena wamwaminije yeye wasiyemsikia? Tena wamsikieje pasipo mhubiri?
15 Tena wahubirije, wasipopelekwa? K**a ilivyoandikwa, Ni mizuri k**a nini miguu yao wahubirio habari ya mema!

Kuna watu utambulisho wao umefutwa,Utambulisho wa nafasi mbalimbali.

NI Jumapili hii ndani ya Enhakore international Church Morogoro.

Usikose ibada hii njoo na familia, ndugu, jamaa,marafiki na wenye uhitaji kwani lipo jina la Yesu ambalo ukilikimbilia maisha yako yapo salama.
Ibada inaanza saa 3:00 asubuhi.
Mahali- ENHAKORE INTERNATIONAL CHURCH (Kihonda Kiegea A Morogoro) Mungu akubariki sana.

21/01/2021

SEMINA SEMINA SEMINA
NIKUMBUSHE KESHO SEMINA YA WAMAMA NA MABINTI KANISANI ENHAKORE INTERNATIONAL CHURCH MOROGORO KIEGEA A, INAANZA KUANZIA SAA TISA MCHANA MPAKA SAA KUMI NA MBILI JIONI. MADA MBALIMBALI MUNGU ATATUWEZESHA
KARIBUNI WAMAMA NA MABINTI TUNA JAMBO LETU

Address

Morogoro

Telephone

0714694832

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Enhakore International Ministry posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share