Pastor Amos Komba

Pastor Amos Komba Pastor Amos Komba is a Bishop of Mount Of Salvation International Ministry (MOSIM) It is a fast growing church in Tanzania.

Pastor Amos Komba is the Bishop of Mountain of Salvation International Ministry in Mtwara Tanzania. Bishop Amos Komba loves you so much and invites you to view this page in particular. In Mountain of Salvation International Ministry, we believe that the word of God (Holy Bible) is the final authority. And thus captives are set free, things which have been stolen by the satan are restored and dead

are raised by the mighty name of our LORD, Jesus Christ. When you read good news in this page never give glory to any man just give all the glory to the LORD who is our everlasting Father in heaven. Feel free to invite and share this page with your friends and all the people around the world to view this page!!!

IBADA  YA KUKUTANA NA BWANA ILIYOFANYIKA TAREHE 16/MAY/2025
19/05/2025

IBADA YA KUKUTANA NA BWANA ILIYOFANYIKA TAREHE 16/MAY/2025

09/01/2025

Sikiliza mpaka mwisho kisha sema Amen kwa coment3

MOSIM CHURCH JUMAPILI YA TEREHE 05/01/2025 NI JUMAPILI YA KWANZA YA MWAKA 2025TUMEANZA MWAKA KWA KUMFANYIA BWANA IBADA Y...
06/01/2025

MOSIM CHURCH
JUMAPILI YA TEREHE 05/01/2025 NI JUMAPILI YA KWANZA YA MWAKA 2025
TUMEANZA MWAKA KWA KUMFANYIA BWANA IBADA YA KUMSHUKURU KWA YOTE AMETUTENDEA 2024 NA SASA TUNAMWOMBA ATUAMINI MWAKA 2025 TUENDELEE KUWA WATENDA KAZI KATIKA SHAMBA LAKE.

Karibu tushiriki pamoja hii ibada nzuri
04/01/2025

Karibu tushiriki pamoja hii ibada nzuri

UFUNGUO WA MWAKA 2025MWANZO 1:2828 Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha...
01/01/2025

UFUNGUO WA MWAKA 2025
MWANZO 1:28
28 Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi.

14/12/2024

Roho Mtakatifu kazini

MOSIM CHURCH IBADA YA JUMAPILI YA TAREHE 20/10/2024KANISA HILI LIPO MBEZI BEACH BAGAMOYO ROAD UKUMBI WA MATEO TUNAKARIBI...
20/10/2024

MOSIM CHURCH
IBADA YA JUMAPILI YA TAREHE 20/10/2024
KANISA HILI LIPO MBEZI BEACH BAGAMOYO ROAD UKUMBI WA MATEO

TUNAKARIBISHA WATU WA DINI ZOTE

Nimejitokeza kukukaribisha katika hii Ibada Jumapili kesho saa nne asubuhi mahali ni Mbezi Beach Goigi Bagamoyo Road Uku...
19/10/2024

Nimejitokeza kukukaribisha katika hii Ibada Jumapili kesho saa nne asubuhi mahali ni Mbezi Beach Goigi Bagamoyo Road Ukumbi wa Mateo.

ALIZALIWA K**A TAREHE YA LEO NA MWEZI WA LEO. NA HILI NI OMBI LANGUZABURI 89:50-51Ee Bwana, ukumbuke, Wanavyosimangwa wa...
05/09/2024

ALIZALIWA K**A TAREHE YA LEO NA MWEZI WA LEO. NA HILI NI OMBI LANGU

ZABURI 89:50-51
Ee Bwana, ukumbuke, Wanavyosimangwa watumishi wako; Jinsi ninavyostahimili kifuani mwangu Masimango ya watu wengi. Ambayo adui zako wamesimanga, Ee Bwana, Naam, wamezisimanga hatua za masihi wako.

IBADA NA IMANIKuna vitu vinatafakarisha kuhusu ibada na imani. Kuna kawaida ambayo ipo watu kuzifunika imani zingine, na...
27/08/2024

IBADA NA IMANI
Kuna vitu vinatafakarisha kuhusu ibada na imani. Kuna kawaida ambayo ipo watu kuzifunika imani zingine, na hili wingu lipo kubwa kwa nyakati za sasa.
Sehemu kubwa sasa zinafanyika ibada zao tena kwa ushawishi mkubwa huku mioyo ya watu ikivutwa huko. Macaptain wao kabla ya kunyanyua kombe ibada kwanza. Uwe wa upande ule au ule kwa tendo hili umeshiriki ibada yao na usipokuwa na macho ya mbele utaona jambo hili ni la kawaida ila linaathiri sana upande huu.
Wasemaji wao wote ni wa imani na kila wanapoongea wanatumia salamu ya kiimani, bila kujali kuna imani tofauti tofauti. Wanaenda mbali zaidi wanatumia nafasi zao kuipa nguvu imani moja, wanatumia nafasi zao kutangaza mambo ya imani yao. Huwezi ona madhara sasa ila kwa baadaye ni hatari sana kwa imani nyingine.
Matajiri wa hizo timu wote wanaimani zao, na wanaziendesha hizo timu kwa imani yao, na wanapenyeza imani yao kwa kutumia nguvu kubwa na akili nyingi mno.
Wachezaji wao likifungwa goli imani mbele, wanapewa matangazo mengi kukuzwa majina yao, hata wakiwa wa kawaida ila tu kwa sababu wanatumika kiimani.
Wakiitwa sehemu hata k**a si za ibada huvaa mavazi ya kiimani na kutoa salamu za kiimani.
Wakati imani hii inayoshambuliwa kwa kiasi kubwa ikitumiwa kuwashambulia wale watoto wao waliowakuza kwa kuwachafua ili wadhohofike. Ile imani imeinua watu wenye akili sana na wameshawasambaza kila sehemu, wengi sasa ni viongozi wa imani hii inayoshambuliwa. Wamewawekea mtazamo kuwa washirika wenu wanahama wanahamia kwa watoto wenu, na sasa imani inayoshambuliwa. Inazishambulia imani zenzake ndogo, kwa kuwaonyesha kwa jamii kana kwamba hawafai na wasisikilizwe.
Kumekuwa na mahojiano ya viongozi wa imani ambayo inashambuliwa, yenye matamko ya ukakasi kwa imani inayoshambuliwa. Chakushangaza inatumika nguvu kubwa kutangaza matamshi ayo yanayoleta ukakasi. Ukijiuliza kwa nini? Jibu unakuja kupata imani moja inashambulia imani nyingine ili wajijenge kitaifa kila sehemu.
Hatutakiwi kulinda dhehebu tunatakiwa kulinda imani, hatutakiwi kuwalinda watu tunatakiwa kuzilinda imani zao. Hata k**a mtu alikuwa kwako akatoka, kuujenga mwili wa Kristo na bado yupo kwenye imani ile ile alindwe na asaidiwe na sio kuwapa nguvu wale wa ile imani.
Imani inapigwa, imani inatikiswa, imani inabomolewa na baada ya miaka 6 tu mbele hali itakuwa mbaya sana kwa hii imani inayopigwa.
MTU ALIKUWA ANANISIMULIA NIKIWA NIMELALA KWENYE SGR KUTOKEA MORO KUJA DAR ASUBUHI YA LEO.

MOSIM CHURCH MBEZI BEACH GOIGI BAGAMOYO ROAD UKUMBI WA MATEO. Ukifika kwa hii Madhabahu Mungu atakuhudumia. Karibu Jumap...
22/08/2024

MOSIM CHURCH
MBEZI BEACH GOIGI BAGAMOYO ROAD UKUMBI WA MATEO.
Ukifika kwa hii Madhabahu Mungu atakuhudumia. Karibu Jumapili tumwabudu Mungu.

21/08/2024

Ni sehemu kidogo tukiwa ibada. Usiteseke njoo tuombe na Yesu atakuponya na kufungua. Mahali ni Mbezi Beach Goigi Bagamoyo Road Ukumbi wa Mateo. Piga hii namba 0755 85 654 kwa maelekezo zaidi. Leo tuna maombi ya mfungo tunafuta maneno yaliyotakwa na wazee wa Ukoo.

Address

Mbae
Mikindani
255

Telephone

+255755851654

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pastor Amos Komba posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Pastor Amos Komba:

Share